Zitto Kabwe in German for bilateral talks.

Ng'wamapalala

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
6,808
6,502
ON Friday 21st June 2013, Zitto visited the Government of Lower Saxony in Hannover for a discussion about deepening the partnership between Tanzania and Lower Saxony. The discussion was led by the Government Spokesperson Mrs. Anke Pöksen (photo) in the presence of the Deputy Prime Minister and Minister for Environment, the head of International Office and the Chief of Protocol.

It was principally agreed that the bilateral cooperation be built in the period between 2013 to 2015 as a climax of the partnership whereby partnership agreement will be signed in Tanzania. The year 2013 marks the 100 years since MV Liemba was built in the city of Papenburg, and 2015 marks the 100 years since MV Liemba was put on Lake Tanganyika in Kigoma.

During this period from 2013 to 2015 the partnership between Tanzania and Lower Saxony will be formalized, several activities carried out and finally a German delegation will travel to Tanzania.

It was emphasized that, In order to create best synergies and links the partnership should first seek to establish a continuation of the rehabilitation of the MV Liemba, support business investments and softer diplomacy like cultural activities and cities cooperation. Tanzania will have to appoint 3 football clubs to be brought into partnership with 3 clubs in Bundesliga from Lower Saxony – VfL Wolfsburg, Hannover 96 and Braunschweig. Proposed city cooperation are for Mtwara with Wilhamshafen, Mbeya with Hannover and Kigoma with Papenburg.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    78.2 KB · Views: 1,005
"The signs of a good day are seen in the early morning hours".

To the hater, Zitto Kabwe is two faced politician.
To those who seek political inspiration, Zitto Kabwe is their role model.
To me, Zitto Kabwe is damn the Torpedoes.

You can't be successful politician if you don't know how to play politics and you can't play politics if your not a politician.

Mr. Zitto is getting ready to "go out" of Tanzania politics in 2015 with a BANG and his political position bang for one's buck.

Who will emulate Zitto in Tanzania politics after 2015 rather than looked on him with a jaundiced eye.

He's warming up for 2015 ministerial office as we know, huhitaji kuwa wanasiasa kuuvaa uwaziri come 2015 with new constitution. BINGO!.

Kumbe aliona mbali ambako wanasiasa na wananchi wengi hawakuona!.
 
Mkuu kuuliza nako ni tatizo; chadema kina wagonjwa 2 Ujerumani; mmoja yupo kwa matibabu mwingine kupandikiziwa mbegu; sioni kuna ubaya gani kwa naibu katibu mkuu kuwasalimia wagonjwa wake; inawezekana pia ndio ameenda kukabidhiwa ofisi rasmi

ofisi gani tena?
 
Wanataka tuanze kuzodoana mambo ya Zitto ili wapumuwe!
Tuwapuuze turudi kwenye mijadala muhimu ya damu zisizo na hatia kule Arusha hakuna mtuhumiwa yeyote aliyekamatwa hadi sasa!
 
Kama mbunge na maongezi yalikuwa yanahusu maendeleo katika jimbo lake la uchaguzi. Hakuna kitu cha ajabu hapo na wabunge wengi mbona wameisha fanya mazungumzo ambayo baadaye serikali ilijulishwa nakuingiza hiyo miradi kwenye mpango wake wa maendeleo.

Kwa hiyo wewe ndio Zitto mwenyewe usihangaike hapa JF peleka habari Uhuru,Mzalendo,Mtanzania na Jambo Leo, upate ujiko baba masifa
 
Zitto Kabwe amefunguka na kudai kuwa kwa sasa wanajiandaa kufanya mapinduzi ya nchi endapo watu walioficha mabilioni uswiswi hawatashughulikiwa ipasavyo.... Suala la baadhi ya Watanzania kuhifadhi mabilioni ya fedha nchini Uswisi limechukua sura mpya, baada ya tume maalumu kuwahoji vigogo 200 wakiwamo wabunge, wanasiasa na wafanyabiashara.

Habari zilizopatikana zinaeleza kuwa tume hiyo inayoongozwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema tayari imeshafanya kazi hiyo kwa miezi miwili sasa. Tume hiyo maalumu iliyoundwa na Serikali kwa Azimio la Bunge lililotolewa mwishoni mwa mwaka jana, inatarajiwa kukamilisha uchunguzi huo wakati wowote kuanzia sasa na kuwasilisha ripoti hiyo katika kikao kijacho cha Bunge.

Zitto Kabwe anatoa angalizo katika hatua hiyo ya jaji Werema kwa kusema kuwa hatua hii isiwe "zima moto" na daganya toto ili kuwafumba macho watanzania...

Ubabaishaji wowote kwa mujibu wa Zitto Kabwe utasababisha mapinduzi ya nchi..... 
Kwa hiyo wewe ndio Zitto mwenyewe usihangaike hapa JF peleka habari Uhuru,Mzalendo,Mtanzania na Jambo Leo, upate ujiko baba masifa
Kama wewe ambaye hata hukukaribishwa hapa JF zaidi ya kujileta na kujiandikisha bila hata kuombwa kufanya hivyo unaweza kuniambia niondoke, Je, itakuwaje kwa wale waliopata wazo na wazo likabadilika kuwa kitendo ambacho kilizaa JF watasema nini?.

Wewe huna tofauti na gate-crasher wanaojifanya sherehe ni yao.

Have you ever contribute anything towards JF administration costs atleast to justify your empty rhetoric?.
 
Back
Top Bottom