Matamko ya CHADEMA tangu 2010

Tume ya Katiba

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
4,896
1,862
Wapendwa JF,

Miongoni mwa mada ambayo hujadiliwa sana na pengine kuwa updated every time ni ile ya safari za rais, binafsi pamoja na kuunga mkono hilo, nimeonelea kuwa kuna haja ya kuanzisha post mahsus ambayo itakuwa ina track MATAMKO yote yaliyotolewa na CHADEMA kupitia wasemaji wake rasmi.

Ikumbukwe kuwa kwa siku za hivi karibuni CHADEMA imekuwa ikitoa matamko ya mara kwa mara na mengi ya hayo matamko yamekosa utekelezaji kutokana na ukweli kwamba yametolewa kwa jazba au bila kushirikisha wadau wote muhimu katika chama Mfano "La kujitoa kwenye tume huru mh Baregu" au kwa kushinikizwa na "WAMILIKI" wa chama.

Kwa sasa ninaendelea kuyakusanya matamko yote na la mwisho likiwa lile la juzi la mnyika na kwa idadi tu ni kuwa huenda yasipungue 250!. Ninachukua fursa hii kuwaomba wadau wote kila anayelikumbuka TAMKO lolote aniPM au aliweke kwenye bandiko hili, mimi nitaliattach kwenye main post.

Ikumbukwe kuwa lengo la kukusanya haya matamko si lingine ila ni kuassess ni kwa vipi yamewanufaisha wanachama na waTZ ka ujumla, maana moja ya madhara ya haya matamko ni "KUPOTEZA WAKATI" wa watu hasa vijana na upotevu wa pesa hasa kwa kununulia gazeti la Tanzania Daima ambalo mara yingi(kama sio zote) huyaweka matamko haya kwenye front page.

Ninaomba ushirikiano wenu.

MOD naomba muisticky hii post ni muhimu sana ili kuweka record sawa.

ADC kwa maendeleo yetu
 
[h=5]DW (Kiswahili)
[/h][h=5]Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema kiongozi wa zamani wa nchi hiyo Nelson Mandela yuko katika hali mbaya sana hospitalini. Zuma amesema, madaktari wanafanya kila liwezekanalo kuhakikisha hali ya Mandela mwenye umri wa miaka 94 inaimarika.

[/h]
 
Back
Top Bottom