Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

na Ibrahim Yassin BAADHI ya wananchi wilayani Kyela, Mbeya wamemtaka mbunge wao, Dk. Harrison Mwakyembe kumkumbusha Rais Jakaya Kikwete kutimiza ahadi ya kupeleka meli mpya katika Ziwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mtu yoyote anae pingana na sisi pigeni tu....mh pinda
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mauaji holela ya raia TZ na askari au dola yamekuwa yakitokea kila kukicha, na yamekuwa yakijirudia rudia. Wauaji wamekuwa wakijitetea kwa sababu nyepesi nyepesi. Bahati mbaya sana record huwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nadhani ulipotufata ili tukupe lidhaa yetu kuna ahadi kedekede ulituahidi. Cha ajabu hakuna ata moja ulilotufanyia ambalo tutakukumbuka zaidi ya kutupandikizia chuki wenyewe kwa wenyewe. Ushauri...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Kama mnakumbuka huko Visiwani wakati wa utawala wa aliyejiita Komandoo mara tu baada ya usajili wa vyama vingi polisi walimuua mfuasi mmoja wa CUF katika kijiji cha Shumba Mjini mapema June 1993...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kutokana na kauli ya Waziri Mkuu Pinda Bungeni kuwa watu wanaokaidi sheria wapigwe na Polisi je ina maana jeshi letu la Polisi hawana mbinu nyingine ya kuwadhibiti wahalifu ila kwa kuwapiga tuu...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
  • Closed
Jamani kwa mda mrefu nimekuwa nikifuatilia hali ndani ya nssf.hi ni kutokana na uhalisia unapoingia tu ofc yoyote ya nssf hasa hapa dsm.nilipata kwenda ubungo kwa ajili ya kudai hela zangu.welcome...
0 Reactions
59 Replies
7K Views
Kwanza kabisa pole na majukumu ya kila siku. Mhe natambua unapata taarifa za mambo mengi yanayojiri sehemu mbali mbali za Tanzania. Ikiwa ww ndiyo Amiri jeshi mkuu ningeomba uunde tume huru ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa siku za karibuni hasa baada ya vuguvugu za kidini kuongezeka kama uchomwaji wa makanisa, mauaji ya padre, kulipuliwa bomu kanisani ni wazi sasa speed ya KIKWETE kuhudhuria kanisani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa aliyeshiriki au aliyeangalia picture ya eneo la mkutano wa CCM pale iliboru siku a bomb ktk kutano wa CDM ataona watu walikuwa wakisubiri sana...na hapakuwa na watu....na kwa geografia ya...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Polisi wetu wamefeli katika kuwalinda raia hv ss watu wanang"olewa kucha,mabomu yanalipuka ovyo bila shaka igp mwema na wenzake walipaswa wawe wamefukuzwa kazi kwani inchi iko shakani,chadema nao...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Siasa katika mazingira ya vyama vingi kama Tanzania ni uwezo wa kutoa hoja ili kushawishi watu kwa wingi wao kuamini itikadi yako, mipango yako na mtizamo wako wa nchi unayoiona baadae. Siasa...
0 Reactions
1 Replies
926 Views
at a press conference in Kigali, Kagame spoke passionately about the level of hate and genocide ideology promoted recently Mtikila, and wondered whether Kikwete's comments had nothing to do with...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wamesema kuwa hawako tayari kukaa kimya huku wakiona amani na utulivu nchini ikivurugika, badala yake wataendelea kusema ili amani na utulivu viweze kurejea Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
UONGOZI Institute interviews the 3rd President of Tanzania on leadership and the challenges faced. Mr. Mkapa, a journalist, diplomat and politician, was elected President of Tanzania in November...
0 Reactions
1 Replies
926 Views
Kuna taarifa za kiuchumi zinadai watali wamepungua kuja arusha. Chanzo ni vurugu za mara kwa mara ktk jimbo la arusha mjini. Mh.lema ni vyema ukajiuliza kwa nini kwenye majimbo yakina mbowe etc...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Katika nchi yetu kuna ombwe kubwa ambalo linahitaji msaada mkubwa kutoka kwa wasomi na viongozi mbalimbali wa dini. Tuanze na hali halisi ya siasa hapa kwetu. Kwa sasa siasa imeleta uhasama...
0 Reactions
1 Replies
867 Views
Nimetumiwa na mdau mmoja, kazi kwenu muone tulivyo. 1. Taifa ambalo binti zake wakimwona Mzungu wanadhani ana ela. 2. Taifa ambalo ukiongea kiingereza unaonekana umesoma. 3. Taifa ambalo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tangu tulipoanza mchakato wa chaguzi ndogo za madiwani kulikuwa na machafuko karibu kila kona ya Tanzania. Tumeshuhudia mabomu yakilipuliwa mkoani mbeya, kuumizwa vibaya kwa viongozi wa CHADEMA...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Amelipa nguvu jeshi la polisi kuua raia kila wanapokaidi wakati ni kinyume na haki za binadamu na utawala wa kisheria. Kwa kauli ya Pinda askari akiomba rushwa ukakaidi upigwe tu! Pia hii inaleta...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom