Ombi langu kwa CHADEMA

Ombi langu kwa CHADEMA

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
2,602
Reaction score
409
Chadema kama chama makini,chenye wasomi wa kila aina,viongozi makini( mh.Mbowe,Dr.Slaa,Tundu Lissu,Prof.Safari na wengine wengi). Pia ni chama chenye wanasheria makini kama Tundu Lissu,Prof Safari,Mabere Marando,Peter Kibatara nk.

Najua sheria zipo na wanasheria makini wanajua kuzitafsiri kwa kina na kwa umakini zaidi.Ivi,tuhuma zinazowakabili ccm akiwemo kinana na majangili wenzake hawezi kufikishwa mahakamani?

Ccm na serikali yake dhaifu wamekuwa wanawatuhumu viongozi wa chadema na wanachama wake na kuwafungulia mashtka yasiyo na ushahidi.Kwa nini chadema kama kuna ushahidi tusiwafungulie kesi mahakamani wale wote tuliowahi kuwatuhumu? Akiwemo Kamuhanda,kinana, na wengine wengi.Mbona wao(ccm) wanafungua mashtaka hata kama hawana ushahidi? Sasa chadema kama kuna ushahidi kwa nini kisifanyike hicho?

Tumechoka,viongozi wa chama kusumbuliwa kwa kufunguliwa mashtaka yasiyo na ushahidi,kwa nini tusifanye mambo kwa kubalance? Nadhani kama kuna ushahidi litakuwa ni jambo jema.

Naomba kuuliza hivi kama mtuhumiwa anajulikana hivi hakuna sheria za kufungulia mashtaka mahakamani na akamatwe kwa warrant kutoka mahakamani,halafu ndipo upelelezi ufanyike?

Huu sio haki wanachama na viongozi wa Chadema wameonewa vya kutosha mpaka unawaonea huruma.

kwa pamoja tutamshinda mkoloni mweusi(serikali ya kikoloni ya ccm). Tuungane,tupambane na kutiana moyo ukombozi upo karibu hakuna kukata tamaa,hata mzee madiba alifungwa miaka 27 gerezani.Katika ukombozi taabu,mateso,matukio ya kinyama ya kila namna hufanyika,lakini kama kuna nia,dhamira uwezo wa kuleta ukombozi wa kweli unawezekana.
 
hakuna ushahidi wowote mlio nao,na hakuna mtu yeyote ambaye mmemtuhumu tuhuma zake ni za kweli mnapoteza mda na kujisumbua.

majungu na uongo ndiyo asili yenu.
 
Una hoja nzuri ila nahisi CDM iko kujibu tuhuma kwa njia ya matamko tu na sio kwenda mahakamani. (rejea tuhuma alizozitoa Mtikila, Nape, Mwigulu n.k). Hilo linafanya wananchi waanze kuwa na mashaka kuhusu tuhuma zinazotolewa dhidi yao na hatua wanazozichukua. Ni chama kinachopenda kufanya kazi kwa kutumia mdomo zaidi. Wanasheria wao nahisi ni wa wazuri kujitetea tu ila hawawezi kushitaki.
 
kinana,Ighondu,jairo nk.Acha bangi wewe naona kiroba bado kinazunguka kichwani,kimbilia buku saba fasta ujumbe wako tumeuona
 
chadema hawana ushahidi wowote juu ya tuhuma wanazozitoa dhidi ya viongozi wa serikali na ccm. wanachokifanya ni kupandikiza chuki kwa wananchi dhidi ya raia wao. mchungaji msigwa ataanza kuipata fresh kwa moto aliochokoza dhidi ya kinana
 
Una hoja nzuri ila nahisi CDM iko kujibu tuhuma kwa njia ya matamko tu na sio kwenda mahakamani. (rejea tuhuma alizozitoa Mtikila, Nape, Mwigulu n.k). Hilo linafanya wananchi waanze kuwa na mashaka kuhusu tuhuma zinazotolewa dhidi yao na hatua wanazozichukua. Ni chama kinachopenda kufanya kazi kwa kutumia mdomo zaidi. Wanasheria wao nahisi ni wa wazuri kujitetea tu ila hawawezi kushitaki.

sure mkuu, ingekuwa kwenye masumbwi, ningesema kuwa wanasheria wa chadema wamejifunza kujikinga tu na si kushambulia. mtu anayetumia muda mwingi kujikinga hawezi kuwa mshindi kwa maana hajishughulishi katika kumshambulia adui. mwisho wa siku anakuja kupigwa yeye
 
chadema hawana ushahidi wowote juu ya tuhuma wanazozitoa dhidi ya viongozi wa serikali na ccm. wanachokifanya ni kupandikiza chuki kwa wananchi dhidi ya raia wao. mchungaji msigwa ataanza kuipata fresh kwa moto aliochokoza dhidi ya kinana

kwani ccm na serikali yake wanafanya nini,issue ya Lwakatare imefikia wapi,kifo cha mwangosi walisema chadema lakini kilitokea nini? Kutekwa kwa Dr ulimboka mtuhumiwa hajakamatwa,kilichofanyika ni kukamata mtu asiye na akili timamu kama zima moto.Sasa issue ya Arusha mnatapatapa mkihofia ushahidi wa Mh mbowe mmeanza kuandaa mipango michafu ya kuwakamata viongozi wa chama ili kuipotezea kiana,Mwisho wenu umefika.
 
ishu za mwangosi na lwakatare zote zipo mahakamani. serikali inaongozwa kwa misingi ya sheria. haikurupuki tu kama wafanyavyo viongozi wa chadema.
 
Acha bangi wewe,kma ni misingi ya sheria mbona mzee wa kulialia(pinda) karuhusu mauaji na hii sio mara ya kwanza? Niambie,ushahidi wa mwigulu wa duniani na mbinguni umefikia wapi juu ya gesi ya ugaidi ya lwakatare? Matokeo yake imefutwa,ushahidi hakuna,you are empty headed.
 
hakuna ushahidi wowote mlio nao,na hakuna mtu yeyote ambaye mmemtuhumu tuhuma zake ni za kweli mnapoteza mda na kujisumbua.

majungu na uongo ndiyo asili yenu.
Mpango wa Kikwete na serikali yake kuwafungulia kesi nyingi machedema ili wa loose focus sasa chadema haiwezi kuingia kwenye mtego wao mahakama ya maccm ni wananchi tu
 
Acha bangi wewe,kma ni misingi ya sheria mbona mzee wa kulialia(pinda) karuhusu mauaji na hii sio mara ya kwanza? Niambie,ushahidi wa mwigulu wa duniani na mbinguni umefikia wapi juu ya gesi ya ugaidi ya lwakatare? Matokeo yake imefutwa,ushahidi hakuna,you are empty headed.

vurugu duniani pote huamliwa kwa matumizi ya nguvu hasa kwa wale makaidi. masuala ya sheria yapo mahakamani kama zilivyo kesi za mwangosi na lwakatare
 
hata Hosni Mubarak alitumia nguvu,lakini mambo yalipokuwa magumu baada kusomewa mashtaka yake aliugua makusudi.Hata nyie jifarijini tu,siku zenu zinahesabika The Hague iko kwa ajili yenu,unafuraaahi sana kuona mauaji ya aina hii na kauli za kipuuzi sio? Hivi wangekuwa ndio ndugu zako wamekufa kwa kupigwa risasi,kuteswa na kubambikizwa kesi zisizo na ushahidi ungeyashabikia haya yote? Gamba lililokomaa hata hujui lolote,kachukue buku 7 ukachukue viroba.
 
hakuna ushahidi wowote mlio nao,na hakuna mtu yeyote ambaye mmemtuhumu tuhuma zake ni za kweli mnapoteza mda na kujisumbua.

majungu na uongo ndiyo asili yenu.

Kwa kuwa mc...i Wahasira leo amempongeza wakupinda kwamba policcm waendelee kupiga wananchi basi serikali ina mipango ya kuchoka.Kwa tafsiri nyepesi ni kwamba mtu akichoka au serikali ikichoka kifuatacho ni hasira,vitisho na mauaji.MAMBO KAMA HAYA HUKOMAZA KIBURI KWA MPINZANI ANAYESEMA MIMI NINA NGUVU TOKA NIKUPOKEE KAMA UMECHOKA MAANA UKIWATISHA,UKIWAPIGA NA KUWAUWA UTASABABISHA NCHI KUKOSA WAFANYAKAZI WALEMAVU KADHALIKA WAZALISHAJI.SASA IFIKAPO JAN 1 2014 CCM KWISHA,IJITAHIDI MWAKA 2013 KUIMALIZA CDM,OTHER WISE TUTAKUWA TUNASEMA MWAKANI TUNAINGIA IKULU.
 
Back
Top Bottom