Edward Lowasa na Mustakabali wa Taifa

MPANDA Jr

MPANDA Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2011
Messages
1,298
Likes
3
Points
135
MPANDA Jr

MPANDA Jr

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2011
1,298 3 135
Wana GT...

Kabla sijaandika mengi naomba kuweka kumbukumbu sahihi kwamba Edward Lowasa ALIJIUZURU uwaziri Mkuu kwa kashfa ya ufisadi, wala hakustaafu.

Lakin leo naona kundi kubwa la viongozi wa dini wakimpapatikia mhujumu uchumi huyu eti kwa sababu tu anagawa Dau kubwa ukimwalika kukuchangia ujenzi.

Leo nimesikia TANGAZO likinadi harambee ya ujenzi wa nyumba ya ibada, na mchangiaji mkuu ni Lowasa. Mimi kinachonikera mimi sio kujenga, kuchangia au kuhamasisha dini, bali ni namna Lowasa personally anavyojibaraguza kugawa fedha alizotuibia kupitia ufisadi. Pia nawashangaa viongoz wa dini wanapomsafisha Lowasa kwamba ni mwema. Maandiko ya dini zote yanapiga marufuku UNAFIQ na UPENDELEO kwa minajiri ya kujipatia fedha.

Lowasa anautaka urais kwa njia ya kidini?
 
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined
May 9, 2012
Messages
7,915
Likes
2,483
Points
280
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined May 9, 2012
7,915 2,483 280
mkuu Mimi nasema siku zote! utumiaji wa maeneo ya dini kwa minajili ya siasa ni hatari na si jambo la afye kwa ustawi wa nchi yetu.Sasa wanaoendelea na wanaowaunga mkono, huku serikali imekaa kimya mimi sina la ziada.
 
Kiwi

Kiwi

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2009
Messages
1,031
Likes
258
Points
180
Kiwi

Kiwi

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2009
1,031 258 180
Heshima kwako mleta mada,

Ukweli ni kwamba si viongozi wa dini peke yao, bali hata viongozi wa serikali, vyombo vya habari n.k vinataka kuwalaghai wananchi na kujenga dhana ya kuwa Lowassa ni msaafu. Mada kama hii ilishaletwa siku za nyuma humu jamvini na kujadiliwa, lakini bado kuna watu wenye mtazamo finyu ambao wanafikiri watanzania wote ni wajinga na wanaweza kudanganywa kirahisi. Ukweli ni kuwa Lowassa ni fisadi, amejitajirisha kwa pesa za walipa kodi, na sasa anazikosha pesa hizo (money laundering) kwa kuzigawa kama pipi. Kwa kuwa viongozi wa makanisa wamekazana kukusanya pesa kwa njia ya harambee, hapo ndipo fisadi huyu Lowassa anapopata mwanya mzuri sana wa kutimiza azma yake.

Kabla hujapokea pesa ambayo unaihitaji kwa maendeleo yako, unapaswa kujiuliza hiyo pesa imetoka wapi. Nyumba za ibada hazistahili kujengwa kwa pesa za wizi. Hizi harambee zinazoendelea kila siku na zinazopokea pesa za wezi na mafisadi ni kinyume kabisa na maadili ya kikristo na ninaamini hata maadili ya imani zingine zisizo za kikristo.

Vyombo vyote vya habari vijichunguze kuhusu hili. Acheni kumsafisha mwizi...

charaz.blogspot.com/2008/02/lowassa-ajiuzulu.html‎
 
Kipokola

Kipokola

Senior Member
Joined
Apr 16, 2013
Messages
166
Likes
7
Points
35
Age
31
Kipokola

Kipokola

Senior Member
Joined Apr 16, 2013
166 7 35

Fisadi ni neno tata sana rejea maneno ya Kardinali Pengo"anayelalamika ufisadi tz ni yule tu ambaye hajapata nafasi ila akipata hataki kuckia kuhusu ufisadi"

Inawezekana sana wew unatishika binafsi na Lowassa kutoa misaada na kufanya harambee sijui ni kwanin?? kwani hata wew waweza fanya na hao unawaona wanastahili sana urais wa nchi hii.. wanaouzungumzia udini ndo wadini wakubwa kuliko kwan huyu bwana EL hachangii makanisa tu ila hata miskit na saccos za akina mama. mbona huzitaji hizo kama wew si mchochez na una chuki binafsi!!!

Pil,SiS Watanzania wepesi sana wa kulaumu na kuimba nyimbo tusizozijua ya Richmond muda yalishabadilika yakawa Dowans na baadaye Symbion na wahusika wakaja moja kwa moja Ikulu na si Masaki kwa Lowassa na wanaoimba ufisadi wapo serikalin leo hii ila hakuna wanalofanya wala hakuna mabadiliko yeyote zaidi hali ya serikali kuzidi kuwa mbaya... acha chuki za kisiasa fanya yako na Lowassa afanye yake, wew si MUNGU ajuaye yaliyomo moyoni mwa watu na yale yajayo.. weka unafiki wako mbali ili kujenga taifa imara.

Kuwa na fedha si ufisadi ni kujituma wapo wengi walikwiba sana wahusika wa kashifa kubwa kama IPTL lakni hawana chochote na tunajipendekeza kwao...Lowassa anachokifanya ni kizuri hatukani mtu kama wenzake hafanyi kampeni so na wew fanya yako badala ya mawazo maovu juu ya wengine... nikuulize wew ni msafi kiasi gani??? na umewai kufanya nin cha maana kwa taifa hili kulinganisha na huyo Bwana haramberee, anaalikwa kutokana na uwezo wake wa ushawishi au ulitaka ualikwe wew??? au ulitaka nani badala yake??

My take, tuache unafiki ana haki kama wengine na kikubwa anachokifanya kinamanufaa kwa wahusika, nyie ni sawa na wale MAKUHANI WALIOMTULUMU YESU KWA KWENDA KUPATA CHAKULA KWA ZAKAYO KISHA N MKUSANYA USHURU" ila wao wachumia tumbo kwa migongo ya watu.. Lowassa na kashifa tata ya Richmond kila cku kama inakuuma nenda mahakamani, waambie na wenzeko kama kweli mna uchungu na si unafki huku ukweli mkiuficha moyoni ndo mana hatuendelei...Ndo yale yale ya Zuma na Mbeki.. Africa mambo ya ajabu sana kulalama na kulaumu ila hatujiangaliii matendo yetu yanavyonuka na kutoa mafunza tuko busy kutengeneza jamaa iliyojaa chuki kati ya m2 na dini na dini..itaturudia muda si mrefu.:disapointed:
 
F

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Messages
4,807
Likes
258
Points
180
F

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2012
4,807 258 180
Mh Lowasa took bullet to serve JK, Mh Lowasa ni jemedari asiyeogopa kujitoa chambo kulinda heshima. Mh Lowasa ni kiongozi shupavu
 
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Messages
1,740
Likes
9
Points
0
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2012
1,740 9 0
hanpha musri wana gt...

Kabla sijaandika mengi naomba kuweka kumbukumbu sahihi kwamba edward lowasa alijiuzuru uwaziri mkuu kwa kashfa ya ufisadi, wala hakustaafu.

Lakin leo naona kundi kubwa la viongozi wa dini wakimpapatikia mhujumu uchumi huyu eti kwa sababu tu anagawa dau kubwa ukimwalika kukuchangia ujenzi.

Leo nimesikia tangazo likinadi harambee ya ujenzi wa nyumba ya ibada, na mchangiaji mkuu ni lowasa. Mimi kinachonikera mimi sio kujenga, kuchangia au kuhamasisha dini, bali ni namna lowasa personally anavyojibaraguza kugawa fedha alizotuibia kupitia ufisadi. Pia nawashangaa viongoz wa dini wanapomsafisha lowasa kwamba ni mwema. Maandiko ya dini zote yanapiga marufuku unafiq na upendeleo kwa minajiri ya kujipatia fedha.

Lowasa anautaka urais kwa njia ya kidini?
wewe una stress za makundi yenu yenye njaa na mbinu mbovu za kulia lia kunyukwa na lowasa...lowasa aljiuzulu kutokana na ftna za kna sita ambaye aliahidiwa uwazri mkuu na kikwete baadaye kikwete akamtosa sta na kumpa lowasa hvyo akawa na bifu na lowasa ambapo klichofanya jk ampe lowasa uwazri mkuu ni uwezo wake....pili kna membe ambaye kpndi hicho alkuwa naibu wazr wa nishat almhujumu lowasa kwa kile alichodai kutokutendewa hak kwa kupewa unaibu wazr wanafk wakubwa nyie lowasa anachukua nchi 2015 huku mkimsngzia magufuli kuwachangia kama karata na yeye kawaruka mtalia sana subiri...kaa vizuri iingiiiiiie midmu na wango'a kucha wakubwa nyie...kaaa vzur iingie...lowasa ni jembe atapga hatrck za kufa mtu...kwenye chaguz za ccm mnakumbuka alichowafanyia mkaja na siasa zenu majitaka mlizmfanyia masaun ambazo tumeshazgundua wez wakubwa nyie midmu mnaoiba kuptia safar za rais
 
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Messages
1,740
Likes
9
Points
0
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2012
1,740 9 0
by fitna mwko mh lowasa took bullet to serve jk, mh lowasa ni jemedari asiyeogopa kujitoa chambo kulinda heshima. Mh lowasa ni kiongozi shupavu
lowasa ni jembe rais mtarajiwa wa jamhuri ya muungano wa tanzania 2015...nitampgia kura yangu,kampeni,nitalnda kura zake na nitahudhuria sherehe za kuapshwa kwake na stak anpe cheo chochote
 
MPANDA Jr

MPANDA Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2011
Messages
1,298
Likes
3
Points
135
MPANDA Jr

MPANDA Jr

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2011
1,298 3 135
Wananchi wa Monduli wanalalamika sana kwamba, ni kwann Mbunge wao E. Lowasa anagawa Mabilioni ya pesa makanisani, huku wao wakiteseka bila hata support. Zipo kata hawana maji kabisa, hawana umeme, hawana shule za kueleweka... Mbunge wao kiguu na njia anagawa mapesa tu
 
naninibaraka

naninibaraka

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Messages
907
Likes
488
Points
80
Age
39
naninibaraka

naninibaraka

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2011
907 488 80
Wananchi wa Monduli wanalalamika sana kwamba, ni kwann Mbunge wao E. Lowasa anagawa Mabilioni ya pesa makanisani, huku wao wakiteseka bila hata support. Zipo kata hawana maji kabisa, hawana umeme, hawana shule za kueleweka... Mbunge wao kiguu na njia anagawa mapesa tu
Nashangaa mnaobaki mkipiga kelele,mimi binafsi nimefika monduli,maendeleo ya monduli ni ya mfano wa kuigwa Tanzania,usiropoke wakati hujafika ukajionea maendeleo,Lowassa aliamua kujiuzulu kwa kuwa fitna na majungu si sehemu ya maisha yake,ni jasiri katika kutenda,leo kuna vitu akisimama jukwaani anajivunia kuifanyia nchi yake,huyo membe na sitta wapiga majungu wameifanyia nini nchi hii zaidi ya majungu na fitna? Lowassa ni mtu asiyekata tamaa kwa wenye akili mjiulize tokea amejiuzulu mpaka sasa ni 5 yrs alikuwa nafanya nini zaidi ya kuwa karibu na watz katika shughuli mbalimbali,hata tunaopanda madalala,makazini wanamzngumzia yeye,mikoani wanampa heshima zote,tuwaache watz wataamua wenyewe wanataka rais mchapakazi au dhaifu?
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
15,058
Likes
5,780
Points
280
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
15,058 5,780 280
Wana GT...

Kabla sijaandika mengi naomba kuweka kumbukumbu sahihi kwamba Edward Lowasa ALIJIUZURU uwaziri Mkuu kwa kashfa ya ufisadi, wala hakustaafu.

Lakin leo naona kundi kubwa la viongozi wa dini wakimpapatikia mhujumu uchumi huyu eti kwa sababu tu anagawa Dau kubwa ukimwalika kukuchangia ujenzi.

Leo nimesikia TANGAZO likinadi harambee ya ujenzi wa nyumba ya ibada, na mchangiaji mkuu ni Lowasa. Mimi kinachonikera mimi sio kujenga, kuchangia au kuhamasisha dini, bali ni namna Lowasa personally anavyojibaraguza kugawa fedha alizotuibia kupitia ufisadi. Pia nawashangaa viongoz wa dini wanapomsafisha Lowasa kwamba ni mwema. Maandiko ya dini zote yanapiga marufuku UNAFIQ na UPENDELEO kwa minajiri ya kujipatia fedha.

Lowasa anautaka urais kwa njia ya kidini?
2005 kwa kikwete walisema ni chaguo la mungu; sasa hili la lowasaa 2015 sijui litakuwa chaguo la nani?
 
MPANDA Jr

MPANDA Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2011
Messages
1,298
Likes
3
Points
135
MPANDA Jr

MPANDA Jr

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2011
1,298 3 135
2005 kwa kikwete walisema ni chaguo la mungu; sasa hili la lowasaa 2015 sijui litakuwa chaguo la nani?
Viongoz wa dini wanatukaanga kwa malipo madogo tu... Leo nimesikiliza kituo fulani cha Habari ripota toka Monduli, anaeleza kilio cha wananchi, ambao hawana huduma kabisaaaa. Lowasa anatazama mbele tu(URAIS)
 
BRUCE LEE

BRUCE LEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Messages
2,090
Likes
1,179
Points
280
BRUCE LEE

BRUCE LEE

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2010
2,090 1,179 280
si mwanachama wala shabiki wa chama chochote, nijuzeni hayo mapesa anayogawa lowasa kayatoa wapi?
 
bucho

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Messages
4,821
Likes
1,050
Points
280
bucho

bucho

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2010
4,821 1,050 280
Hakuna kiongozi imara,mfanyakazi hodari kama lowassa. Amefanya mambo mengi makubwa mazuri ambayo hakuna kiongozi wa sasa hivi anayeweza kufanya. Pili sio muoga kuamua jambo kwa manufaa ya hii nchi hata kama jambo ni gumu kiasi gani lowassa analitatua. Wote wanaompinga wana chuki za kisiasa.
NA HUYU NDIO RAISI WETU TANGANYIKA INAYOMUHITAJI KWA SASA.

TEAM LOWASSA 2015.
 
NDESSA

NDESSA

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Messages
1,893
Likes
1,574
Points
280
NDESSA

NDESSA

JF-Expert Member
Joined May 2, 2013
1,893 1,574 280
Lowassa ni kiongozi imara,acheni fitna muacheni awakimbize 2015
 
Mohamed Mbelwa

Mohamed Mbelwa

Verified Member
Joined
Apr 13, 2013
Messages
470
Likes
45
Points
45
Mohamed Mbelwa

Mohamed Mbelwa

Verified Member
Joined Apr 13, 2013
470 45 45
Hakuna kiongozi imara,mfanyakazi hodari kama lowassa. Amefanya mambo mengi makubwa mazuri ambayo hakuna kiongozi wa sasa hivi anayeweza kufanya. Pili sio muoga kuamua jambo kwa manufaa ya hii nchi hata kama jambo ni gumu kiasi gani lowassa analitatua. Wote wanaompinga wana chuki za kisiasa.
NA HUYU NDIO RAISI WETU TANGANYIKA INAYOMUHITAJI KWA SASA.

TEAM LOWASSA 2015.
hela zake zimekuchanganya. Fanya kazi sio kujikomba kwa mafisadi
 
I

IKINGO

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
1,701
Likes
1,051
Points
280
I

IKINGO

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
1,701 1,051 280
HAYO MAPESA YA KUGAWA MAKANISANI KAYATOA WAPI KAMA SIYO JAMBAZI LA KISIASA HILO??????????????????????????????????????????????????.Kwa wale msio mjua LOWASA ni mtu mbaya kulko hata JK.
 
Ston Merchant

Ston Merchant

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Messages
395
Likes
14
Points
35
Ston Merchant

Ston Merchant

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2011
395 14 35
Hakuna kiongozi imara,mfanyakazi hodari kama lowassa. Amefanya mambo mengi makubwa mazuri ambayo hakuna kiongozi wa sasa hivi anayeweza kufanya. Pili sio muoga kuamua jambo kwa manufaa ya hii nchi hata kama jambo ni gumu kiasi gani lowassa analitatua. Wote wanaompinga wana chuki za kisiasa.
NA HUYU NDIO RAISI WETU TANGANYIKA INAYOMUHITAJI KWA SASA.

TEAM LOWASSA 2015.
Hapo kwenye red naomba unipe mifano michache...
 
V

Vianelly Vian

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Messages
339
Likes
18
Points
35
V

Vianelly Vian

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2011
339 18 35
Wewe toka uzaliwe umefanya mangapi au ameiba vingapi ofisini kwako?acha kuwa na roho ya hivyo wewe,pocble hata kama alifanya mabaya akawa kaamua kmrudia Mungu so tatizo liko wapi hapo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
A

ANC-KWA ZULU NATAL

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Messages
325
Likes
0
Points
0
Age
48
A

ANC-KWA ZULU NATAL

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2013
325 0 0
wana gt...

Kabla sijaandika mengi naomba kuweka kumbukumbu sahihi kwamba edward lowasa alijiuzuru uwaziri mkuu kwa kashfa ya ufisadi, wala hakustaafu.

Lakin leo naona kundi kubwa la viongozi wa dini wakimpapatikia mhujumu uchumi huyu eti kwa sababu tu anagawa dau kubwa ukimwalika kukuchangia ujenzi.

Leo nimesikia tangazo likinadi harambee ya ujenzi wa nyumba ya ibada, na mchangiaji mkuu ni lowasa. Mimi kinachonikera mimi sio kujenga, kuchangia au kuhamasisha dini, bali ni namna lowasa personally anavyojibaraguza kugawa fedha alizotuibia kupitia ufisadi. Pia nawashangaa viongoz wa dini wanapomsafisha lowasa kwamba ni mwema. Maandiko ya dini zote yanapiga marufuku unafiq na upendeleo kwa minajiri ya kujipatia fedha.

Lowasa anautaka urais kwa njia ya kidini?
we lov u lowasa ma presdent 2015 is lowasa no one like lowasa ndani ya ccm kwa sasa ni kiongozi imara na jasri na anayesmamia anachokiamini bila kuyumba...nazan maadui zake kisiasa kna membe,sta,mwakyembe na wengneo wanaujua moto wa lowasa hashkiki hakamatiki..lowasa ni jembe
 
Forum statistics

Threads 1,275,220
Members 490,932
Posts 30,536,052