Siri imefichuka.. Viongozi CHADEMA kuweni makini

Siri imefichuka.. Viongozi CHADEMA kuweni makini

bluetooth23

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
348
Reaction score
326
Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka wizara ya mambo ya ndani ni kuwa, baada ya kuona mambo yanakwenda vibaya na kuumbuka kwa serikali kunakaribia juu ya ushahidi wa KWELI alionao Mbowe na Lema wa mauaji yaliyofanywa na POLISI pale Arusha ambayo inaanza kuaminika ni matokeo ya kikao cha Dodoma mwishon mwa mwez wa 5 kati ya Mngullu, Chagonja, Mwigulu Nchemba na Isihaka.

Serikali imebuni mbinu mpya haraka sana KUPOTEZEA ushahidi huo au kuzuia usitoke kabisa. Mbinu hyo ilianza juz kwa kuifufua kesi ya tindikali Igunga haraka sana na kumkamata Henry Kileo wa Chadema ili ipelekee kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA hasa Mbowe, Lema, Lissu na Dr Slaa.

Ufanikishaji wa kukamatwa kwa viongoz hawa kutafanya wawe bize mno na kusahau mambo ya mikanda ya ushahidi kwa kuwa watakuwa ndani na pia wananch watasahau na hata Media zitasahau. Vijana wanne kutoka Dsm wanapelekwa airport kwenda Tabora kama mashahidi wa kutengeneza, Hery Kileo wa CHADEMA ashapelekwa Tabora jana kwa helkopta ya polisi.
 
Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka wizara ya mambo ya ndani ni kuwa, baada ya kuona mambo yanakwenda vibaya na kuumbuka kwa serikali kunakaribia juu ya ushahidi wa KWELI alionao Mbowe na Lema wa mauaji yaliyofanywa na POLISI pale Arusha ambayo inaanza kuaminika ni matokeo ya kikao cha Dodoma mwishon mwa mwez wa 5 kati ya Mngullu, Chagonja, Mwigulu Nchemba na Isihaka. Serikali imebuni mbinu mpya haraka sana KUPOTEZEA ushahidi huo au kuzuia usitoke kabisa. Mbinu hyo ilianza juz kwa kuifufua kesi ya tindikali Igunga haraka sana na kumkamata Henry Kileo wa Chadema ili ipelekee kukamatwa kwa viongozi wa Chadema hasa Mbowe, Lema, Lissu na Dr Slaa. Ufanikishaji wa kukamatwa kwa viongoz hawa kutafanya wawe bize mno na kusahau mambo ya mikanda ya ushahidi kwa kuwa watakuwa ndani na pia wananch watasahau na hata Media zitasahau pia. Tayari muda huu vijana wanne kutoka Dsm wanapelekwa airport kwenda Tabora kama mashahidi wa kutengeneza na pia Hery Kileo wa CDM naye ashapelekwa Tabora jana kwa helkopta ya polisi.

Tulishaambiwa kwamba kitakacho fuatia ni kuanzisha kesi ya UHAINI. Na ndio tunapo elekea huko.
 
kama hawana ushahidi watafanyaje au watamtumia yule jaji waliemtumia kurejesha ubunge wa kafumu?
 
Mbinu za kizamani sana hizi na obviously kwa kujulikana tu tayari wanasheria wetu makini wanajua jinsi ya kupanga counter-attacks.
Mtu mwenyewe wanatembea naye majukwaani na amekuwa mtaji wa kuongezea kura zao.
 
Tulianza na Mungu
Tutamaliza na Mungu tu 2015

"ehe! mungu wa ibraimu tupia ugonjwa wowote kat ya changoja, mwigulu na mgullu... ili uzalimu huu uishe kabisa, kwani wanatasema watu bure hivi tupia lolote tu kwako baya.... ameni"

Sending with barmed phone (B BAR) using jamiiforums
 
Tulifundishwa na Mwl Nyerere kila mtu kuwa mlinzi wa mwenzake ili kuwashinda maadui wa ndani na nje!
Kila watakae mshirikisha siri itajulikana tu!
Wanadhani hata hao askari wote wanafurahia!
 
Asante mkuu,

Hata mimi nilishastuka toka jana baada ya kusikia Kileo amepelekwa kusikojulikana. Mapambano yanapofikia hatua kali mara nyingi upande unaoelemewa hujaribu kutumia mbinu chafu, hii ikiwa mojawapo. Tuendelee kuhabarishana, lakini ninaamini hata wafanye nini, ukombozi wa Mtanzania umekaribia!

Waingereza wanausemi ya kuwa 'It gets the darkest just before sunrise!'
 
Si wawakamate Lema, Mbowe na Dr ili tukinukisha...
Wanatishia nyau!
 
Mungu wasaidie CHADEMA ili kama kweli wanaonewa basi ukweli ujulikane. Sijawahi kuona chama ambacho kina malalamiko kila siku kama Chadema.
 
kama ukweli upo basi upo tu. utazungushwa lakini iko siku utakuwa wazi.
 
Mods plz usiunganishe hii. Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka wizara ya mambo ya ndani ni kuwa, baada ya kuona mambo yanakwenda vibaya na kuumbuka kwa serikali kunakaribia juu ya ushahidi wa KWELI alionao Mbowe na Lema wa mauaji yaliyofanywa na POLISI pale Arusha ambayo inaanza kuaminika ni matokeo ya kikao cha Dodoma mwishon mwa mwez wa 5 kati ya Mngullu, Chagonja, Mwigulu Nchemba na Isihaka. Serikali imebuni mbinu mpya haraka sana KUPOTEZEA ushahidi huo au kuzuia usitoke kabisa. Mbinu hyo ilianza juz kwa kuifufua kesi ya tindikali Igunga haraka sana na kumkamata Henry Kileo wa Chadema ili ipelekee kukamatwa kwa viongozi wa Chadema hasa Mbowe, Lema, Lissu na Dr Slaa. Ufanikishaji wa kukamatwa kwa viongoz hawa kutafanya wawe bize mno na kusahau mambo ya mikanda ya ushahidi kwa kuwa watakuwa ndani na pia wananch watasahau na hata Media zitasahau. Vijana wanne kutoka Dsm wanapelekwa airport kwenda Tabora kama mashahidi wa kutengeneza, Hery Kileo wa CDM ashapelekwa Tabora jana kwa helkopta ya polisi.

Tumekusoma mkuu, yote hayo ni sehemu tu ya mapambano kuelekea Tanzania tuipendayo! We shall cross the bridge when we get to it; otherwise no retreat no surrender, Aluta continua
 
Back
Top Bottom