Komeni kuhusisha walimu kwenye siasa uchwara!

Wa Busiya

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
326
67
Nimesoma thread ya meljons inayosema kuwa walimu wjiepushe na siasa za maji taka za chadem nikasikitika sana! Moyoni nikahisi walimu tumedhalilishwa! Sina shaka mtu huyu mwenye kila dalili za kuwa magamba products alikusudia kufundisha sisi walimu wake kwa kuamini kuwa hatujui utaratibu na hasa protocol za serikali. Nimkumbushe tu kuwa walimu ndiyo kila kitu! Kama serikali yake isiyokuwa na siasa za maji taka inamthamini mwalimu vilivyo, hana sababu ya kututahadhalisha. Afahamu kuwa matatizo ya mishahara na maslahi ya walimu yapo tangu uhuru, hayaanza baada ya mfumo wa vyama vingi.

Nimpe mfano mdogo tu kuwa walimu tumeua elimu ya watu wazima, lakini katika ripoti za maendeleo ya elimu hiyo hutolewa kila inapohitajika tangu miaka hiyo ya kKambarage kwa sababu maslahi yalikosekana. Ajue pia kuwa walimu wa nyakati hizo wanakula perpendicular na wafanyakazi wa sekta nyingine. Kama ni nyumba wanajenga, magari wananunua, mashamba, viwanja nk. Hatutegemei tena mshahara kama nyie wakuu wa magamba: mnapotuuzi, mjue mabomu yatawachosha
 
Back
Top Bottom