Mishahara Mipya kwa Walimu Kuanzia Julai 1 2013 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mishahara Mipya kwa Walimu Kuanzia Julai 1 2013

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAN OF CHANGES, Jun 19, 2013.

 1. MAN OF CHANGES

  MAN OF CHANGES JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2013
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimekuta hii ofs ya manispaa nkaona si mbaya zikija hapa kwa uhakika zaidi.Mweny uhakika tujuze zaid.Asante
  WARAKA NO M/D20/CL524.......
  YAH.MABADILIKO YA MUUNDO WA UTUMISHI NA MADARAJA KWA WAALIMU.

  ..................Waraka huu kuanza kutumika tar 1/7/2013 na sivinginevyo.hakikisha unatoa ushirikiano kwa wahakiki kutoka hazina kuu.muundo mpya utakua kama ifuatavyo -certificate Tgts D1=532450
  -Diploma Tgts E1=692741
  -Digree Tgts F1=852425

  C C: halimashauri zote TANZANIA,Ofisi ndogo za hazina kwenye kila halmashauri,na kwa makatibu tawala wote wa mikoa.
   
 2. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2013
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,353
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 0
  scan uweke hapa
   
 3. NAMKWAKWA

  NAMKWAKWA Member

  #3
  Jun 19, 2013
  Joined: May 16, 2013
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  acha porojo nani kakuambia TGTSD ni mtu wa cheti
   
 4. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2013
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mi sijui bhaaana!
   
 5. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2013
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,067
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 0
  mkuu tgts d unapoandika certificate unamaanisha nini , mbona kwa ngazi ya zamani mshahara wa wenye digri wengine ulikuwa unagradiwa hapo hapo kwenye tgts d . mwenye uelewa zaidi tunaomba ufafanuzi zaidi
   
 6. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2013
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,067
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 0
  ndiyo mimi pia nilikuwa nashangaa hapo.
   
 7. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2013
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hizi taarifa zilianza siku nyingi hapa tunaitaji uhalisia sio teena kujazana mahopes na kwa muelekeo wa bajeti ya sasa ilivyo hilo swala ni ndoto
   
 8. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2013
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kama ndivyo basi inawezekana JK amekata mzizi wa fitina na walimu na atakuwa rafiki mkubwa wa Mkoba na Oluoch na CWT wote.Itakuwa kufuru la ajabu.inabidi waajiri daraja la kwanza na pili tu kama ndivyo siyo hawa vihiyo wengine failure kabisa
   
 9. m

  mchengeli JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2013
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wee ni mtuu wa ajabu sanaaa unaanzisha thread unaquate hadi figure zilizopo kwenye waraka halafu unatuuza mwenye uhakika atujuze zaidi. Haya ni matatizo ya product za vyuo na sekondari za kata
   
 10. m

  mussy p Member

  #10
  Jun 19, 2013
  Joined: Jan 11, 2013
  Messages: 49
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 15
  Mkuu funguka vizuri..ungeichimba kidogo upate uhakika.
   
 11. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2013
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,054
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Unabahati walimu tuko wachache hapa jf, la sivyo tungekutafuta kwa umoja mpaka ulipo na utuonyeshe hilo tangazo umelipata wapi.huwezi kuleta utani hapa wakati watu tuna njaa,na bado mgomo endelevu uko active.usichezee akili
  zetu!
   
 12. MAN OF CHANGES

  MAN OF CHANGES JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2013
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu umeelewa maana ya maneno "Muundo Mpya"? au unaropoka tu?kwan cha ajabu nn?
   
 13. N

  Ngeme Member

  #13
  Jun 19, 2013
  Joined: Jun 1, 2013
  Messages: 33
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  We! Nyambafu kabisa kwa serikali hii ya ccm usitarajie kitu cha namna hiyo.
   
 14. mtungutu

  mtungutu JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2013
  Joined: Jun 3, 2013
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana aisee maana hizi story nimezisikia muda sasa ila nikijaribu kuuliza.sniper wangu hawanipi ushirikiano, anyway time will tell
   
 15. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2013
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 6,728
  Likes Received: 894
  Trophy Points: 280
  Mwezi wa saba si mbali subilini muone salio tu, haya maelezo hayajitoshelezi
   
 16. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2013
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 480
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Waraka wa mishahara unataka tarehe 20/06/13 hizo nyengine porojo unless mtu a scan huo waraka auweke hapa.
   
 17. M

  Msafwa wa swaya JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2013
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hakuna dhambi mbaya kama uongo...!!we jamaa na huu waraka wako usipothibitisha...lazma tukutafute utolewe kucha na meno.watu tunajaa kali alaf unaleta porojo!
   
 18. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2013
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 13,656
  Likes Received: 994
  Trophy Points: 280
  Nadhani D ni kwa ajili ya wenye degree za Miaka 3 wenye degree za mikaa minne wanaanzia E.
   
 19. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #19
  Jun 19, 2013
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Jamani hata mi toka jana nilitumiwa sms km hiyo, ila huo waraka sijauona. Inaweza ikawa kweli wenye taarifa mtujuze
   
 20. S

  Septemba11 JF-Expert Member

  #20
  Jun 19, 2013
  Joined: Jan 18, 2013
  Messages: 493
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 60
  kweli maajabu hayatoisha na wewe ni moja ya hayo maajabu, hivi kweli kwa macho yako hyo barua umeiona, ukaisoma na deteils zake umeziattach hapa then still unauliza uhakika wake, hilo ni ajabu!!!!!
   
Loading...