LOOOK
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,389
- 674
inatia aibu kwa serikali hasa wabunge wanawake wanao dai wapewe nafasi halafu wanalitumia bunge kama sehemu ya mipasho kweli nimeamini wabunge wa CCM hakuna wa afadhari na haya ni madhara ya kupeana ubunge kisa tu una hela hata kama huna elimu shame on CCM.kweli CCM 1000 ni sawa na chadema 1 .