Jamani Katiba inasemaje kama kambi ya Upinzani haipo kwenye vikao vya Bunge!!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Wakubwa naomba kuelimishwa nini umuhimu wa kambi ya Upinzani kwenye vikao vya Bunge..Je ni halali bunge kuendelea na vikao wakati kambi ya upinzani ikiwa haipo bungeni?\
Je ni halali kwa spika wa bunge kusema kuwa hajui waliko wakati anafahamu kilichoazimiwa kwenye vikao vya NEC ya CCM

Naomba nifahamishwe tu na mengine mengi
 
Back
Top Bottom