Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,751
Wana JF,
Baada ya kupata taarifa kuwa uchaguzi wa kata nne au tano za jijini Arusha umepigwa kalenda mpaka tarehe 14.07.2013 na ikumbukwe ulipigwa kalenda kutoka tarehe 16.6.2013 mpaka 30.06.2013 kutokana Mwigulu Nchemba na wahuni wenzake kurusha bomu na kuwa piga risasi zilizo wa wauwa na kuwajeruhi zaidi ya watu 100, sasa najiuliza kama swala hili lina weza kupelekea kuahilishwa uchaguzi kwa kisingizio kuwa hali si shwari jijini Arusha kitu ambacho siyo kweli kwanini nasema siyo kweli baada ya bomu na risasi za Mwigulu Nchemba za tarehe 15.06.2013 kesho yake watu walikusanyika kwa wingi sana kwenye viwanja vya soweto na siku iliyofuata yaani tarehe 17.06.13 watu walikusanyika kwa wingi sana na tarehe 18.06 watu walikusanyika tangu saa tatu mpaka saa kumi na moja walipo shambuliwa na polisi kwa kupigwa mabomu ya machozi lakini siku moja baada ya tukio hilo watu walikusanyika kwa wingi sana kwenye mazishi ya Judith William Moshi na kumaliza salama kabisa bila hata sisimizi kuuwawa sasa ushwari ambao unadaiwa kutoweka jijini Arusha ni upi? ambao polisi walio sheheni mabomu ya kuuwa wanachadema kwa kutumia SMG na Bastola wameenda wapi? kwanini serikali isimuombe Mwigulu Nchemba aache kuwalipua wana chadema tukafanya uchaguzi ambao ni haki yetu kabisa wana Elerai, Themi, Kimandolu,kaloleni na Sombetini!? je kama ndiyo njia sahihi kuhahirisha uchaguzi je nikisema hakutakuwa na uchaguzi mwaka 2015 wangapi wanasema nimekosea? nasema hakuna uchaguzi mwaka 2015 kwasababu kwa namna siasa za tanzania zilipofikia na kwa namna ambavyo CCM haiko tayari kuachia madaraka kwa njia ya demokrasia nategemea kuanzia mwaka ni kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na kwenye katiba kutakuwa na mtifuano kwani sioni dalili za chadema nao kulegeza kamba hasa kwa video hiyo waliyo nayo ya namna Mwigulu na jeshi la polisi walivyo shiriki kurusha na baadae kuwaua na kuwajeruhi kwa risasi..
Ndgu zangu watanzania jambo hili siyo la kuchekelea kuna wahuni wamevamia nchi hii wanatoa maamzi ya kihuni huni tu kwa masilahi ya jiji/halimashauri moja na hii itatupeleka kubaya kama kweli tunaipenda nchi yetu tuwakatae wao na matendo yao, nasema hivyo kwani najua hata hiyo tarehe waliyo itaja hakutakuwa na uchaguzi..
kwanini wanafanya hivyo, CCM baada ya kupima umaji wameona ni ya shingo kwao wanatafuta kila namna kuhakikisha uchaguzi haufanyiki kwasasa huku wakiendelea kukichafua chama cha Demokrasia na Maendeleo angalau wapate kata moja ili swala ambalo hawatakilitokea la kunyagwanywa na chadema lifutike na uozo ulioko pale halmashauri sijulikane na wengi kama ulivyo bainishwa na mkaguzi mkuu wa serikali.
******
Picha ya siku ya mlipuko
picha ya tarehe 17.06
View attachment 99558
Picha ya tarehe 18.06 siku ambayo polisi walipiga mabomu ya machozi kwa zaidi ya saa tatu...
Siku ya mazishiya Judith William