Polisi wa Arusha walalamika kutengwa na jamii

Polisi wa Arusha walalamika kutengwa na jamii

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,956
Reaction score
3,245
Polisi wengi wanaofanya kazi Arusha pamoja na Traffic wamesikitika sana na wanatengwa na jamii.

Wengi wa Polisi wemepanga mitaani, wanaenda bar za mitaani, wamejenga pia..

Sasa kitendo cha kutumika na Nyinyiem kulipua mkutano wa chadema na kesho yake kupiga mabomu kumewatenga na jamii, wanaonekana kama magaidi.

Polisi wanajieleza sana na kuomba msamaha na kusema wao hawahusika, Polisi walioletwa kutoka Morogoro na Kibaha ndo walitumika.

Huu mtindo wa serikali kuhamisha polisi kwenda kuua mikoa mingine ni cha kukemewa na watanzania wote wapenda amani. Mashirika ya Haki za binadamu na vyama vya wafanyakazi mbona wako kimyaaa??

Kwa mfano chama cha waaalimu, chama cha madaktari, TUCTA, chama cha wanasheria tanganyika, viongozi wa dini, kwa pamoja wakemee vitendo vya polisi kutumika na mafisadi na pia kauli ya PM.

Natoa wito kwa Polisi na JWTZ, wawe wazalendo kama baadhi ya usalama wa taifa, ambao wanasaidia kuvujisha siri za vikao vya kuihujumu CHADEMA.

Mie nashangaa, Polisi akistaafu hapewi hata ukuu wa wilaya, ukuu wa Mkoa ama ujumbe wa board!!!!!.....
 
Hii hali ya polisi kutengwa hata mtwara ipo,polisi hapati chumba au nyumba uswahilini.nawapa pole sana polisi wapo katika mtego mbaya
 
Katika uzi mmoja hapa kuhusu matukio hayo ya Arusha, uzi huo ulimhusisha mtu ambae kikazi alikuwa Morogoro ila kwao ni Songea. Uzi huo ulifutwa haraka sana.
 
Hawawezi kukwepa lawama. Hizi taarifa za hujuma na mashambulizi kwa namna yoyote wanakuwa nazo hata kama sio wao watekelezaji. Wanapaswa kuwa wazalendo hata kwa kupenyeza taarifa kuwa kuna mipango ya hujuma imepangwa. Wasubiri tu tunakusanya hasira na ndo watajua uchungu wa kuomboleza misiba.
 
Yani hata mimi ukija kupanga kwangu na nikijua ni polisi sikupangishi
 
wapigeni....mkiwanyoosha vizuri next time watagoma kutumiwa kama mpira
 
Hata bunduki zilizotumika kwenye tukio la mlipuko wa bomu zilisafirishwa siku moja na bomu lililolipuliwa na polisi.
 
Katika uzi mmoja hapa kuhusu matukio hayo ya Arusha, uzi huo ulimhusisha mtu ambae kikazi alikuwa Morogoro ila kwao ni Songea. Uzi huo ulifutwa haraka sana.

Mkuu yule askari ameshatangulizwa kwenda kuzimu!
 
Polisi wengi wanaofanya kazi Arusha pamoja na Traffic wamesikitika sana na wanatengwa na jamii.

Wengi wa Polisi wemepanga mitaani, wanaenda bar za mitaani, wamejenga pia..

Sasa kitendo cha kutumika na Nyinyiem kulipua mkutano wa chadema na kesho yake kupiga mabomu kumewatenga na jamii, wanaonekana kama magaidi.

Polisi wanajieleza sana na kuomba msamaha na kusema wao hawahusika, Polisi walioletwa kutoka Morogoro na Kibaha ndo walitumika.

Huu mtindo wa serikali kuhamisha polisi kwenda kuua mikoa mingine ni cha kukemewa na watanzania wote wapenda amani. Mashirika ya Haki za binadamu na vyama vya wafanyakazi mbona wako kimyaaa??

Kwa mfano chama cha waaalimu, chama cha madaktari, TUCTA, chama cha wanasheria tanganyika, viongozi wa dini, kwa pamoja wakemee vitendo vya polisi kutumika na mafisadi na pia kauli ya PM.

Natoa wito kwa Polisi na JWTZ, wawe wazalendo kama baadhi ya usalama wa taifa, ambao wanasaidia kuvujisha siri za vikao vya kuihujumu CDM.

Mie nashangaa, Polisi akistaafu hapewi hata ukuu wa wilaya, ukuu wa Mkoa ama ujumbe wa board!!!!!.....

Kuna Aliepangisha nyumba yangu nimemwambia kodi yake ikiisha aondoke nataka kufungua biashara lengo aondoke tu
 
Kuna mpango wa kupitisha azimia la kuweka marufuku kwa raia yeyote kuwapangisha hao vimburu polisi sasa ole atakayepangisha
 
Ndipo watajua effects za kutumiwa,halafu mzee wa kulialia anakula zake bata somewhere.
 
sioni ajabu ktk hili! wanatupiga risasi wanapokuwa wamepewa silaha ila huko mitaani 'watupuuu'! tukitaka kuwamaliza tutawanyamazisha mmoja mmoja huko huko mitaani kwetu! jeuri yao wanapokuwa ni silaha tu!
 
Wewe utasikia tu mda si mrefu machalii ya ngalelo watachinjwa ,na wengine kuwawekea sumu wafe.
 
Katika uzi mmoja hapa kuhusu matukio hayo ya Arusha, uzi huo ulimhusisha mtu ambae kikazi alikuwa Morogoro ila kwao ni Songea. Uzi huo ulifutwa haraka sana.

Mkuu ulifutwa but it was too late, habari zilisha enea mtaani wala si siri tena!
 
Back
Top Bottom