Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri Bernard Membe amesema wasiomtakia mema rais kikwete wananuna ujio wa Raisi wa Marekani Obama hapa Tanzania. ------------------------- Kwa mujibu wa Benard Membe, viongozi wooote wa East...
0 Reactions
137 Replies
12K Views
Report imetolewa na taasisi ya TWAWEZA ikishirikiana na CEP (Centre for Economic Prosperity). Tathmini hiyo ni kwa kipindi cha Bunge kwa miaka miwili iliyopita. Steve Dii
7 Reactions
45 Replies
5K Views
Nchi ya Tanzania ni nchi ya ajabu kabisa ambayo waziri mkuu kwa kupitia ukumbi wa Bunge amevunja katiba aliyoapa kuitumikia. Katiba inayo heshimu haki za binadamu na utu wa mtu. Hivi Obama hajui...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
PROFESA Issa Shivji na mimi tumetoka mbali. Kwangu, yeye ni kama ndugu. Sote ni waumini wa falsafa ya umajumui wa Kiafrika na tunaitetea kwa nguvu hoja ya umuhimu wa kuungana kwa bara la...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
document Edited excerpts from a White House briefing on the schedule of President Obama's visit to west, southern and east Africa from June 26 to July 2. The briefing was by Ben Rhodes, Deputy...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kwanza niwataarifu kuwa nami nimeitwa polisi Jumanne ijayo! Kisa ni kuwa nilikuwa na likizo fupi nikawa kanda ya ziwa na huko nikaichachafya kiukweli CCM. Niliweka misingi 30 na kufungua matawi 16...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Mchawi mchukieni ila Sifa zake mpeni. Mimi ni miongoni mwa watu wengi kama sio wote wanaochukizwa na kauli na tabia za Naibu katibu mkuu Ccm MWIGULU MCHEMBA. Leo jioni wakihojiwa yeye na mbunge...
0 Reactions
84 Replies
7K Views
  • Closed
WanaJF! Hii dhana ya uwajibikaji imekuwa ikipendwa sana kutumiwa na viongozi wa CHADEMA, hasa kwa viongozi wa serikali pindi taasisi wanazo zisimamia kutoleta matokeo mazuri baada ya usimamizi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Ni sku kadhaa wabunge wa CHADEMA walizuiliwa kuingia bungeni kutokana na kuvaa zilizosadikika kuwa ni sare ya chama chao. Hata hivyo ni muda mrefu wamekuwa wakizivaa hizo nguo (sina hakika kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Akichangia katika msaada wa sheria ya fedha mbunge wa ubungo mh John Mnyika kauita mswada huo ni wa majanga sababu hakuna jipya
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
First family ya Senegal ikiwa rais mkewe na watoto wake watatu imempokea first family ya USA ikiwa na obama mkewe na watoto wake wawili. Watanzania tunasubiri kwa hamu kuona first family ya...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Wana JF, This is not a drill take it from me. Kama mlifatilia jana kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa Clouds FM mlimsikia Gerlad Hando alipokuwa anaukandia huu mtandao tukufu wa kijamii...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Kumetokea matukio mengi ya kudhuru au kujaribu kudhuru viongozi wa vyama vya upinzani nchini. Mbunge wa CHADEMA Kiwia alipigwa vibaya akiwa mwanza tena mbele ya dola, Mh: Nasari pia alikumbana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kupigwa na Wanachama wa CCM wakati wa uchaguzi mgodo wa Udiwani Kata ya Makuyuni...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Ni mkutano mkubwa tunaoambiwa unaanza hapa TZ lakini naona kumbe si mkutano wa kwanza kufanyika na Tz kushiriki. Ilikuwaje kwamba kwa miaka yote ya nyuma haukusikika kama ilivyo sasa hivi? Tena...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ndugu wa tanzania kwa kauli alio itoa mh.waziri mkuu ya kuwapa kichwa zaidi polis kupiga raia nikauli ambazo zinaonesha kwamba sasa taifa linakwenda pabaya kwasababu kuruhusu polisi kupiga watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A Kenyan professor based in the US has published a book on the Culture and Customs of Tanzania ahead of the historic visit of Tanzania by US President Barack Obama. Professor Kefa Otiso, one...
7 Reactions
31 Replies
6K Views
Wana JF.. Salam.. Kwanza natoa pole kwa wana JF woote, wanaoumiza vichwa humu kuwaelimisha wafia chama CCM.. Nije kwenye MADA. Kuna jambo ambalo limekua linapotoshwa na CCM kuhusu suala la...
0 Reactions
1 Replies
908 Views
Mbunge wa Jimbo la NkasiKaskazini kupitia CCM, Mhe. Ali Mohamed Kessy. Ameongea mengi ila haya ni baadhi. Amepingamaoni ya wengi wa wabunge juu ya kodi toka upande wa upinzani na baadhi ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi limesema kuwa litaweka Ulinzi mkali wakati wote wa Ziara ya Rais Obama wa Marekani, na litahakikisha hakuna uhalifu wowote nchini kwa kipindi hicho! Maoni yangu: Nimecheka sana!
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Back
Top Bottom