Hivi kweli hatuwezi?

Hivi kweli hatuwezi?

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,618
Ona haya ya polisi,
Wanatumiwa na watu wachache kuhujumu nchi,
Wanaamrishwa kuua raia wasio na hatia,
Wanafanya biashara haramu za bangi,
Wanabambikiza watu kesi za ajabu,
Wanakula rushwa,
Wanashirikiana na magenge ya waarifu,

Hivi tukijipanga kupambana nao sisi (umma tulio wengi) - (wao walio wachache) hatuwezi kweli kuwadhibiti? Ya nini kuendelea kutesswa na wajinga waliofeli O'level wakakimbilia kozi ya miezi tisa - wakaja mitaani kuzunguka na manguo yasiyowatosha na kutufanyia vurugu?

Wewe unayesoma hapa unaweza sema huusiki eti kwa sababu ni kada wa ccm lakini hujui mtoto wako ni kada wa chama gani, siku akiwa kwenye mkutano wa chama mbadala akatunguliwa kwa risasi ndo utajua kuwa polisi sio walinzi wako bali ni genge tu la waharifu na walinzi wa ccm.
 
tunaweza mkuu, na hadi sasa tumeweza ndo maana hao policcm wanapiga kwa kuviziavizia, wanaujua moto wa umma vizuri sana.
 
tunaweza mkuu, na hadi sasa tumeweza ndo maana hao policcm wanapiga kwa kuviziavizia, wanaujua moto wa umma vizuri sana.

Nilifurahi kule Ngara walipomzingira trafiki na kumpa kipondo hadi akatanguli mbele ya kifo. Tunaishi nao mitaani, tunakaanao kwenye baa, iweje watufanyie mabaya namna hii tuendelee kuwa nao kana kwamba tunawaogopa?
 
Back
Top Bottom