Hatimaye aliyemchinja yule kada wa CHADEMA Arumeru akamatwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye aliyemchinja yule kada wa CHADEMA Arumeru akamatwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, May 31, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  MTUHUMIWA HUYO ALMAARUFU KWA JINA LA (CHEWAJA)ALIKUWA NI MPANGAJI KATIKA NYUMBA YA MAREHEMUNI (waliishiwote myumba moja) NI MZALIWA WA SINGIDA,MKAZI WA ARUMERU MASHARIKI,AMEKAMATWA DODOMA AKIWA KWA MGANGA WA KIENYEJI,AWATAJA ALIOSHIRIKIANA NAO KATIKA MAUAJI HAYO MMOJA WAPO NI KADA WA CCM NA PIA NI MWANYEKITI WA KIJIJI,VILIO VILITAWALA BAADA YA MTUHUMIWA HUYO KURUDISHWA KIJIJINI CHINI YA ULINZI MKALI WA JESHI LA POLISI KUONYESHA OLIKOFICHA VIFAA VYA MAUAJI WANANCHI WAPANDWA NA HASIRA WATAKA KUMUUA ASKARI WAZUIA,SILAHA ZAKUTWA SHAMBANI KWA MWENYEKITI ZIKIWA ZIMEFUKIWA CHINI AMBAPO BAADA YA KUFUKUA WALIKUTA BUNDUKI MBILI,KISU PANGA,NA MASHINE YA KUKATIA MITI ILIYO TUMIKA KUMCHINJIA MAREHEMU ALIFANYA MAUAJI HAYO KWA UJIRA WA SHILINGI ZA KITANZANIA MILIONI MBILI(SH.2.000,000/=)YASEMEKANA HATA UKO SINGIDA ALIKIMBIA KESI YA MAUAJI.

  source:MIMI MWENYEWE LIVE KUTOKA KATIKA TUKIO.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  ritz Rejao, MAFILILI njoni huku mkaitetee ccm dhidi ya tuhuma za mauaji ya mwenyekiti wetu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Dah....watu wana roho ngumu sana. Yaani mpaka kuchinjana kwa sababu ya siasa tu!
   
 4. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Du! huyu jamaa ni mkatili sana ,hata kama ni chuki hiyo imepitiliza
   
 5. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Hakika awayeyote mwenyezi mungu si sikiwi kama serikali yetu,sala na dua ndio matokeo yake. Damu ya mwenyehaki haipotei
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Hatareeee
   
 7. m

  mamajack JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  duh.kweli ni chama cha majambazi,
   
 8. shegaboy

  shegaboy JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Inasikitisha sana sasa tunaanza kuamini kuwa watakaoleta machafuko Tanzania ni CCM hapa akuna ubishi kabisa kwani tumeona wenyewe na tunaendelea kuona kama mwenyekiti alishiriki hii ni kwamba CCM imeshiriki kwa namna moja katika mauaji haya jamani tunaipeleka wapi nchi yetu.
   
 9. s

  sananga1 New Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hatimaye sheria ichukue mkondo wake
   
 10. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Pongezi kwa Jeshi la Polisi. Sasa ingieni kwa undani kujua driving force ilitokana na nini, fukua fukua ili kila mtu apate haki yake kulingana na matendo yake. Kila la heri polisi wetu.
   
 11. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  huyo mwenyekiti wa kijiji bado yuko hai? ila wasiwauwe watusaidie kuwatajia waliowatuma (mapapa)
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Haihusiani na siasa, alikuwa mpangaji wake.
   
 13. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dah! Mmeniliza tena kwa mara nyingine. Damu ya marehemu itakumbukwa milele. Kwakuwa imeshaanza kuthibitika ameuwawa kwaajili ya siasa CDM embu ifikirieni familia yake tena, ili na wengine wapate moyo wa uzalendo
   
 14. iron2012

  iron2012 JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 358
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kwa hali hii itanzania inakuwa kama somalia aibu kwao, poleni sana ndugu wafiwa acha sheria ichukue mkondo wake. pongezi kwa jeshi la polisi kufanikiwa kumkamata muuaji
   
 15. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  mtu kama huyu unaondoa mikono unamwacha uraiani hakuna hata haja ya kupeleka gerezani akale bure tu,
   
 16. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nikisema watu kama hawa wanyongwe napigwaga bun leo nasema waachiwe huru ili mod ufurahie!
   
 17. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hawa ni wazee wa Porojo tu? Nashukuru Maige amewashtukia wao pamoja na bosi wao Nape... Maana wanafanya fitina tu.
   
 18. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kweli "northing is impossible under the MOON"
   
 19. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,071
  Trophy Points: 280
  anatokea kwenye nchi ya Tanzania iliyohubiri amani na upendo kwa mika 50 akiwa ameshirikiana na chama kilichosimamia hiyo kaulimbiu, CCM!!!
  Bibi yangu nakumbuka aliwahi kuniambia, kua uyaone!
   
 20. T

  TMwamafupa Member

  #20
  May 31, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa jeshi la polisi limefanya kazi yake iliyoainishwa kwenye Katiba ya Nchi.Nitafurahi zaidi wakifuatilia wale waliowanyonga wale vijana wanne.Wakipatikana wauaji hao tutazuia mauji ya kipuuzi kwenye jamii yetu na kuongeza confidence na uchumi wetu.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...