Katika kuonyesha kwamba mambo ndani ya CCM yanaenda Mrama, kumetokea Mpasuko mkubwa. Hii imetokea baada ya vyuo vitatu kujitenga na kitu kinachoitwa siasa feki.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana, uongozi wa Chuo cha Jamii, sayansi ya lugha na chuo cha sayansi ya Dunia wamesema kwamba wanakandamizwa kidemokrasia na Uongozi wa chuo Cha Elimu ambao unaongozwa na uongozi pandikizi wa CHADEMA. Amesema kiongozi huyo mwenye kadi ya CDM Namba 0386464 aliyochukua Dodoma mjini amekuwa hanabusara za kiongozi na lengo lake ni kutugawa.
Viongozi hao ambao juzi wamejipambanua kuwa Wanamuunga Edward Lowassa kugombea urais, wamesema kiongozi huyo wa Kitivo cha Elimu ametafna shilingi laki nne baada ya yeye kujichagua na kujipa Majukumu ya Uhazina.
Kwa kweli hana welidi, ni mjinga na mshenzi kabisaa, hawezi fanya kitu hicho tukamfumbia macho ati tunaogopa, tutampeleka Polisi, alisema moja ya kiongozi wa juu wa Tawi la Sanaa na lugha.
Hata hivyo moja ya viongozi wa makao Makuu alipopigiwa simu alisema taarifa wanazo lakni wanasubiri malalamiko hayo kiofisi. Pia Katibu Mstaafu wa kitivo cha elimu alipopigiwa simu alisema hajui chochote kwa kuwa mda wake wa uongozi umeisha. "Mimi sijui kama kuna tatizo, na sidhani kama kutakuwa na matatizo akakata simu" alisema.
Dawati hili litaendelea kutafta uongozi wa elimu ili kuweza kujua undani huu.