Namsikiliza kwa makini mwenyekiti huyu akiendelea kuwasilisha maoni ya kamati kuhusu mabadiliko ya sheria yapatayo 21 katika mswada wa Fedha. Maoni anayotoa yana mashiko na anatetea vitu vya...
CHADEMA na harakati hizi tangu uchaguzi uishe wanadai nini? CUF walitaka tume huru ya uchaguzi, je CHADEMA mnatataka nini? Hebu jamani tujuzeni maana harakati za kila siku ambazo hazina kichwa...
Alhamis ya tar 20 waziri mkuu Mizengo Pinda akijibu maswali ya wabunge bungeni alisema serikali imewaelekeza wawekezaji mbali mbali wa nguo na viwanda vya kutumia pamba pamoja na kilimo cha zao...
Katika Hali isiyokuwa ya kawaida Meya ya jiji Hilo CCM nyamagana Bwana Mabula amenusurika kwenye kura ya Madiwani wenzake ya kutokuwa na Imani na yeye fununu: za kikao cha Mwisho cha Madiwani wa...
Kwa muda mrefu sasa jimbo la Serengeti ni kama vile halina mbunge. Pamoja na kuwa na rasilimali nyingi za kitalii watu wa Serengeti bado wapo kwenye ufukara mkubwa. Dr Kebwe akiwa anachangia...
Huyu mama alikuwa pale Ngome kama Director wa personnel na sasa hivi kahamishiwa ikulu. Mimi namwona tu yuko Ikulu, hivi yuko kitengo gani? Au ameenda kuchukua nafasi Othuman wa usalama wa TAIFA?
by AFROAMERICA NETWORK on JUNE 1, 2013
Tanzanian President Jakaya Kikwete and General Paul Kagame of Rwanda are in Japan where they are taking part in the Tokyo International Conference on...
Kamati kuu imesema ccm haitaki muundo wa serikali tatu bali mbili hayo yamesemwa kwenye kikao kule dodoma hivyo katiba shakani kupita kwani ccm itakua na wabunge wengi katika bunge la katiba...
Wana Tanganyika wenzangu, natangaza nia ya kugombea Urais wa Tanganyika kupitia mgombea Binafsi. Nia na Lengo langu ni kujenga nchi, kurudisha heshima ya watanganyika, nidhamu kazini na...
PEOPLEEEEEES!
Ndugu Waheshimiwa wanachi,kwanza kabisa poleni na majukumu na changamoto mnazokutana nazo katika kuitafuta Tanzania tuitakayo.Na pia hongereni kwani nguvu zenu zinathaminiwa na...
Wednesday, June 26, 2013 | 11:24 AM
Serikali imetoa tamko bungeni kuhusu mauaji ya raia mikononi mwa polisi ikieleza kuwa sheria ya kanuni ya adhabu inaruhusu kutumia nguvu za kadiri hata kiasi...
Wanajamii, najua wengi wetu niwaelewa, wasikivu na wapambanuzi wa mambo, ningepenga kujua umuhimu hasa waMuungano, na kwanini wengi waZanzibari wanataka mamlaka kamili ya nchi yao na kukosekana...
June 27, 2013
Tanzania will spend 343 billion shillings ($211 million) over the next 12 months upgrading Dares Salaam Port as it seeks to match the efficiency of Mombasa in neighboring Kenya, the...
Tahadhari: Tafadhali fungua ukiwa mbali na watoto kwa kuwa kuwa ni video ya kikatili
WANAJF,
Video hii ni sehemu ya kwanza tu inayoonyesha kabla na baada ya bomu kulipuka hali ilivyokua bila...
Ikiwa leo tayari umetimia mwaka tangu kutekwa, kuteswa na kutelekezwa kwa Dr Ulimboka katika msitu wa mwabepande... Je kesi hiyo imeishia wapi? Kuna taarifa zozote rasmi kesi imekwisha au...
Moderator na Wanajamii,
NingependaCandid kutoa maoni yangu kuhusu jinsi tunavyojadili masuala mengi ikiwa ni pamoja na yale yanayohus EAC. Ningependa tufanye uchambuzi bila chuki na vilevile...
July 1 with a meeting with President JK, who will host a state dinner that evening for the US leader and First Lady Michelle Obama
On the same day (July 1) he will speak in Dar es Salaam with a...
Kufuatia tamko la Mh. waziri Mkuu wiki iliyopita kuwa wananchi wapigwe, tupo kwenye kampeni ya kumtaka Waziri huyo atenguwe statement yake hiyo kwani si haki na wala si sawa, kindly nawaomba msign...
WanaJF!
Kumekuwa na upotoshaji kuwa polisi wakifanya mauaji au kupiga ni kuvunja katiba au sheria za nchi, lakini leo naibu waziri wa mambo ya ndani ametolea suala hilo ufafanuzi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.