Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Obama main reasons to visit Tanzania is democracy stability and strengthening economy ties. Yesterday was following the Tv discussion by VOA and almost all participants agreed that Tanzania is...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Dodoma.Rais Jakaya Kikwete ameshauriwa kuondoa kigugumizi na masuala ya kulindana, ili kuinusuru nchi ya Tanzania isitumbukie katika shimo refu zaidi la umasikini kuliko ilivyo sasa. Wito huo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wakuu, Mimi ni mwananchi wa kawaida na ni 'best wisher' mkubwa wa nchi hii. Tangu bomu la trh 15June kulipuka, nimekua nikifuatilia mijadala mbalimbali kuhusiana na bomu hilo...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Ndugu wana JF, kichwa habari hapo juu si kigeni.Kiliandikwa tar.29.10.2008 toleo namba 053 katika gazeti la raia mwema.Ninyofoa baadhi ya maswali ili nipate majibu kwa kuzingatia ugeni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika waandishi wa habari/makala mzee huyu siwezi kulala bila kumaliza makala yake. Tatizo la baadhi ya sisi Watanzania ni WAVIVU mno kusoma ndio maana tunabishana kuhusu muundo wa muungano wetu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu Huu niwakati wakuukataa ufa mkubwa ambao unaanza kujitokeza dhahiri katika nchi yetu. lazima kwanza tuache kulaumiana, tukubali kwamba taifa hili halitajengwa na watu kutoka...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Akiwa ana changia bungeni, mhe Halima Mdee ambae ni mbunge wa jimbo la kawe, ameipa za uso serikali kwa kuiambia amelaani vikali upotoshaji uliofanywa bungeni kuhusu mlipuko uliofanywa Arusha kuwa...
42 Reactions
121 Replies
12K Views
Wiki ya ujio wa Oboma sasa hivi hali ya jiji ni safi sana inapendeza mno kila sehemu, katika ziara yangu nimeanzia Mwenge nikapitia Sinza hadi manzese hali ni nzuri sana hata uvundo na halufu...
0 Reactions
1 Replies
822 Views
JUN262013 Hii ni hatua nzuri ya maendeleo kwa nchi nzima....ukiangalia kwa umakini picha hizi kwa ghafla unaweza usiamini kama ni zanzibar labda baadhi ya muonekano wa juu utagundua ndio...
0 Reactions
50 Replies
16K Views
Jana nilibahatika kulisikiza Bunge la jioni wakati mjadala juu ya Muswada ya Sheria ya Fedha ukiendelea.Niliwasikiliza Wabunge wote,Lakini kwakweli ni michango ya Mh Lissu na Cheyo ndiyo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Chadema imezidi kuonesha kukubalika vyuoni baada ya matokeo ya Uchaguzi wa Rais Serikali ya wanafunzi Taasi ya Ustawi wa Jamii kumwangusha vibaya sana kada wa CCM na UVCCM pamoja na nguvu ya chama...
3 Reactions
69 Replies
6K Views
Mtandao wa Kutetea Waandishi wa Habari Duniani (CPJ), umemwandikia barua Rais Obama ukimtaka kujadiliana kwa kina na mwenyeji wake Rais Kikwete wakati wa ziara yake nchini kuhusiana na vitendo vya...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wana jf kwanza nawapa pole kwa majukumu mazito ya ujenzi wa taifa letu linalohitaji ukombozi wa kweli,pamoja na hayo nawapa pole makamanda wote ambao kwa namna moja au nyingine wamepata matatizo...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimekuwa nikiwaza kwa muda mrefu tangu lilie bomu lilipolipuka kwenye mkutano wa kuhitimisha kampeni kule Arusha,ama ulikuwa ni wa kigaidi au kupangwa na kikundi fulani kwa sababu zao...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa wale wenye muda kufuatilia, namuona Tendwa yuko Start Tv, kwakuwa huwa kuna fursa ya kuuliza maswali, wenye nafasi tumuulize. Kama kawaida ameanza kwa kuwaponda CUF na CDM
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau nimeamua kuandika haya kutokana na ukweli wa hali inayoelezea kipindi tunachopitia Watanzania. Kipindi hiki kilianza wakati wa awamu ya nne ya utawala chini ya Rais J. M. Kikwete, na...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Napenda kutoa ushauri wa bure na wa upendeleo kwa chadema kuwa, mwakani tutaanza kufanya maboresho kwenye daftari la kupiga kura, hivyo ningewaomba mfanye kampeni ya watu wengi au wote wenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa siasa za kiTanzania, Haswahaswa CCM, nadhani baada ya zile imani za chama za zamani kwa sisi wanaCCM wastaafu! (nikisema hivyo kwa vizazi vya kileo watashindwa kunielewa, zamani kila mtu...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Hello: Wana japo nina la kushare kidogo leo. Kutokana na ujio wa Rais wa china Xi Jinping,kuna malalamiko mengi sana yalitokea kutoka pande mabali mbali hapa nchini na nje ya nchi,kufatia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Submit Cancel Submit Cancel...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom