WanaJF!
UTARATIBU uliopo CHADEMA wa kuwa na watu wachache wenye kujulikana na kukubalika una UMBUA chama kwa sasa, kwani miaka ya hivi karibuni CHADEMA imejikuta inapoteza umaarufu wake kwa...
Hakuna jambo lililo jema kama kupanga mipango yako mapema kabla ya utekelezaji. Kwa vile ni dhahiri kuwa kwa kutumia demokrasia huru,wananchi wa Tanzania lazima wataiondoa serikali ya CCM...
CHADEMA kimekuwa kikilalamika mara kwa mara kabla na baada ya matukio. Cha kusikitisha kimekuwa chepesi cha kuthibitisha kuwa wana ushahidi, lakini cha ajabu mambo yamekuwa yakiishia kwenye vyombo...
Ninajiuliza wanajamvi mnisaidi,barabara,bustan,na kila kona atakayopita mhe rais Obana panakarabatiwa au kujengwa,hizi pesa zinatoka wapi? Na kifungu gani?,na je? Ukarabati mpaka aje obama? Huu si...
Our prime minister has proved 2b very weak because he once said albino killers must b killed immeadetely but after being asked why u said so he cried in parliament to restore his position and get...
Bila shaka chadema ni chama chenye nguvu ila kisipojitathmini ni hatari sana kwani hakuna kitu kibaya kama kulewa sifa ukija stuka umepoteza. Baadhi ya viongozi wanashindwa kutoa kauli za staha...
Mama Makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharura na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge, hivyo kambi hiyo imeshindwa kuwasilisha...
Iweje ziara ya Obama wawe na fedha za kufanya usafi katika Kijiji cha Dar es Salaam?Hii ni sawa na mtu anaota ndoto usiku kuwa alikuwa tajiri kumbe kiuhalisia yeye ni maskini.
Hii...
Ndugu wanajamvi napenda kushirikiana na nyinyi kwenye hili suala la katiba mpya, kwa jinsi ninavyoona hawa CCM wanavyolazimisha kuhodhi mchakato wa katiba mpya ambayo haikuwa kwenye ilani yao...
Mgimwa anasema baada ya kubanwa sana jana serikali imeamua kuondoa ongezeko la kodi iliyokuwa imependekezwa kwenye mafuta .
mtakumbuka michango ya wabunge makini Mdee, Mnyika , Lissu jana ...
Friday, June 28, 2013
NA MWINYI SADALLAH
28th June 2013
Hofu ya kutopatikana tija kwa fedha nyingi zinazoidhinishwa katika bajeti kwa ajili ya miradi ya kupambana na ukimwi imesababisha...
Nimejaribu kufuatilia mwenendo mzima wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA toka baada ya uchaguzi wa 2010 na kugundua kama sio kuwa na mawakili thabiti chama kingeshakufa hasa kwa sababu ya...
NI MATESO, DHULUMA NA UKATILI MTWARA.
Naibu Mkurugenzi wa Oganaizesheni Uchaguzi na Bunge wa Chama Cha Wananchi CUF - Shaweji Mketo anashikiliwa na wanausalama na wanajeshi waliopiga kambi...
Ziara nyingi za hawa viongozi wa nchi za magharibi zinafanyika kwa malengo fulani.Malengo yao ni kupata rasilimali mbadala kwa ajili ya kuvilisha viwanda vyao ili kuzalisha kwa wingi na baadae...
CHADEMA inajigamba kuwa ina ushahidi wa VIDEO unaothibitisha ushiriki wa askari polis kwenye ulirushaji wa bomu na jinsi jeshi hilo lilivyoshiriki katika kumtorosha mtuhumiwa. Chama hicho...
HECHE AISHUKIA SERIKALI "ASEMA HAIKUPASWA KUWA MADARAKANI MPKA LEO"
~Heche amesema maneno hayo alipokuwa akihojiwa kwenye kipind cha HOT MIX nanuku "Serikali hii imekuwa ikitudhalilisha sio...
Mhe Tundu Lissu akiwa ana changia kwenye muswaada wa sheria ya fedha (Finance Bill) amesema, serikali ya wala rushwa haiwezi kukusanya kodi. Maneno haya amenukuu kutoka kwa baba wa taifa miaka 20...
Katika taarifa iliyosomwa na Mh. Ntemi Chenge (MB) (Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti) pamoja na mambo mengine amesema waliowasilisha majedwali ya mabadiliko kwenye sheria ya fedha...
Wakuu kunamtu siku moja kwenye michango yake aliwahi kusema kuwa mbunge wa igunga dalali kafumu ilikuwa lazima ubunge wake utenguliwe tu.
Alieleza sababu kuwa jaji aliyekuwa anasimamia kesi ni...
WAKILI WA HENRY KILEO NA JOYCE KIRIA WAFUNGUKA
RE: HENRY JOHN KILEO.
BAADA YA SINTOFAHAMU KUHUSU KILICHOMSIBU HASA HENRY JOHN KILEO, NA BAADA YA MAJIBU YA JESHI LA POLICE KUHUSU JUHUDI ZA JOYCE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.