Jeshi la Polisi Kuimarisha Ulinzi Ziara ya Obama!

Jeshi la Polisi Kuimarisha Ulinzi Ziara ya Obama!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
16,202
Reaction score
8,787
Jeshi la Polisi limesema kuwa litaweka Ulinzi mkali wakati wote wa Ziara ya Rais Obama wa Marekani, na litahakikisha hakuna uhalifu wowote nchini kwa kipindi hicho!

Maoni yangu:
Nimecheka sana!
 
wapuuzi polisi, maana haingii akilini kuwa wanahakikisha hakuna uhalifu utakaotokea na baada ya obama kuondoka uhalifu utaendelea sio? shame on IGP & your team.
 
Waache kutafuta Sifa za bure.Rais wa Marekani anakuja na Platoon Mbili za Jeshi la Marekani zilizokamilika Kivifaa.CIA NA FBI walishakuja wengi na Muda Mrefu.Polisi wa Tanzania wapo kama wasaidizi tu na kiukweli hata wasipoonekana Barabarani hakuna dhara litakalompata Obama.Ana Kikosi chake cha Ulinzi chenye watu na Vifaa vya Kisasa kabisa.Polisi wameshindwa kulinda Mikutano ya CDM,Watawezaje kumlinda Obama anayewindwa na Magaidi wa Kimataifa?.
 
Polisi gani hao watakao weka ulinzi wakati kimombo kinawapiga chenga. Kwenye msafara wa obama mashushu wao wanakuwa frontline halafu hao local police wanakaa nyuma
 
Jeshi la Polisi limesema kuwa litaweka Ulinzi mkali wakati wote wa Ziara ya Rais Obama wa Marekani, na litahakikisha hakuna uhalifu wowote nchini kwa kipindi hicho!

Maoni yangu:
Nimecheka sana!

Mbona nasikia wamarekani wamesema kuwa wao jukumu la ulinzi ni wajibu wao wenyewe .......
 
SEAL's

Ndiyo kikosi cha kumlinda Obama si
PoliccM,na uzuri wamesema wazi hawataki
ushirika kwenye suala la usalama.
 
Jeshi la Polisi limesema kuwa litaweka Ulinzi mkali wakati wote wa Ziara ya Rais Obama wa Marekani, na litahakikisha hakuna uhalifu wowote nchini kwa kipindi hicho!

Maoni yangu:
Nimecheka sana![/QUOTE]

Kiongozi!

Nadhani mimi nimecheka kukushinda. Police wenyewe ndio hawa akina Chagonja? Ambao kwao Usalama wa Raia ni kuua wananchi!! Hii kali ya mwaka.

Wanatafuta sifa wasizo stahili. Obama anakuja na full Platoon na hakuna hata POLICCM kukatiza. Si utawaona FBI juu ya paa la Magogoni? Ndio utajua kwamba hakuna lolote la maana kwa hao POLICCM. Na hata IGP hata kohoa wala kutoa aina yoyote ya ushauri.
 
labda ulinzi wa matumbo yao OBAMA anajilinda mwenyewe KOVA kwa zile tumbo anaweza kweli kuongoza kupanga mipango yaa kubaini kama M23 achilia mbali AL KEIDA wanataka kupiga au kufanya shambululio kweli yeye asubiri kupiga saluti askari wa marekani wakimshangaa akitambulishwa kama RPC na umbo lake tena Duhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Jeshi la Polisi limesema kuwa litaweka Ulinzi mkali wakati wote wa Ziara ya Rais Obama wa Marekani, na litahakikisha hakuna uhalifu wowote nchini kwa kipindi hicho!

Maoni yangu:
Nimecheka sana!

Litakuwa linamlinda nani?
Wamesahau alivyokuja Bush hadi juu ya paa la ikulu walikaa wana usalama wa marekani?
Polisi kazi yao ilikuwa ni kustaajabu msafara
 
Mkuu huo ulinzi utakaoimarishwa ni kwetu sisi kina kajamba nani....hapa jijini tayari kuna dalili za uonevu zimwshaanza kujionesha...Wamachinga wanavunjiwa biashara zao haswa wale waliopo sehemu za City Center na pembezoni mwa barabara kuu...
 
Fuc.....k uuuuuu Policcm tunahitaji ulinzi wenu muda wote sio wakati bwana wenu yupo tu
 
Wamarekani wanasema ni gharama kubwa na nguvu nyingi sana hutumika kumlinda Rais kwenye ardhi ya Africa, kuliko Ulaya na kwao Amerika. Ndio maana anatembelea nchi 3 tu. Wenzetu wako sensitive na security na costs pia. Bongo hatuangalii costs kabisa, tunapuyanga tu.
 
Wameshidwa kulinda mkutano wa Chadema Arusha, watawezaje kuimarisha ulinzi kwa Obama
 
Jeshi la Polisi limesema kuwa litaweka Ulinzi mkali wakati wote wa Ziara ya Rais Obama wa Marekani, na litahakikisha hakuna uhalifu wowote nchini kwa kipindi hicho!

Maoni yangu:
Nimecheka sana!
Mkuu hawa jamaa ni wajinga sana yani hawajui Obama anawajua zaidi ya wao wanavyojijua wenyewe?
 
Waache kutafuta Sifa za bure.Rais wa Marekani anakuja na Platoon Mbili za Jeshi la Marekani zilizokamilika Kivifaa.CIA NA FBI walishakuja wengi na Muda Mrefu.Polisi wa Tanzania wapo kama wasaidizi tu na kiukweli hata wasipoonekana Barabarani hakuna dhara litakalompata Obama.Ana Kikosi chake cha Ulinzi chenye watu na Vifaa vya Kisasa kabisa.Polisi wameshindwa kulinda Mikutano ya CDM,Watawezaje kumlinda Obama anayewindwa na Magaidi wa Kimataifa?.

Asante sn !!gaidi wa mabomu arusha wameshindwa mjua wataweza ulinzi mambulula tu!!puuu!!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom