N/mkurugenzi wa mipango na uchaguzi Mh SHEWEJI MKETO, pamoja na baadhi ya viongozi wengine aliokuwa nao pamoja wametekwa jana ucku mkoani Mtwara , Mh MKETO alikuwepo huko MTWARA kwa shughuli ya...
Namuomba mheshimiwa Zitto Zubery Kabwe kama hana uhakika wa kurudi bungeni kupitia Kigoma basi aje agombee Ubunge Morogoro Mjini kwani matumaini ya kupata Ubunge hapa 2015 ni makubwa sana...
Leo asubuhi Joseph Mbilinyi (Sugu) alipelekwa mahakamani kwa shitaka la kutumia lugha ya matusi dhidi ya Waziri Mkuu, shtaka hili lilifunguliwa kwenye mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Dodoma na...
Ndugu wadau,
Namleta kwenu Mheshimiwa Juma Suleimani Nkamia (Mbunge), kutoka Kondoa Kusini CCM, aliwahi kuwa mtangazaji wa RTD, VOA, BBC na TBC , pia aliwahi kuwa katibu mwenezi wa wekundu wa...
Ndugu zangu watanzania,hivi hii halia ambayo tunayo huku Mtwara ndio kusema hakuna wanaoguswanayo ama inaleta maana gani?.Dhuluma ambazo wananchi tunafanyiwa mpaka wengine kupoteza maisha wala...
Tangu kuzinduliwa kwa rasimu ya katiba mpya na Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na Jaji mstaafu Joseph Warioba kumeibuka mjadala juu ya mambo mbalimbali yaliyopendekezwa. Moja ya jambo...
Mr. President Barack Hussein Obama, welcome to Africa your homestead land. We Africans are proud of our being and God made us deserve that, we are the source of human being and therefore we have...
Ningependa kuwasahauri CHADEMA na vyama vingine ambavyo ama kwa vitendo au kwa imani (japo vimebanwa na mfumo dhalimu uliopo) vinapenda maendeleo ya taifa letu kuwa makini juu ya haya...
Imechapishwa Jumamosi, 29 Juni 2013 00:45 imeandikwa na katuma Masamba imesomwa mara: 34 VIONGOZI sita wa Chama Cha Wananchi (CUF), wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wakidaiwa kukukutwa na ujumbe...
Polisi imesema kutokana na ugen mkubwa unaotarajiwa kuwasili iv karibun, imeamua kusitisha maandamano ya CUF, kutokana na sababu za kiusalama, hayo yamesemwa na kamanda kova jioni hii, katika...
Imefikia mahali hata yule ambaye anategemewa kukisaidia chama nae anakosa mwelekeo,, nimekuwa nikifuatilia na kusikiliza speech nyingi tu za viongozi mbalimbali wa chama na serikali,, wengi kwenye...
Tbc wanarusha live majadiliano ya smart partnership diolog, wageni ni wengi sana wa kutoka mataifa mbalimbali ikiwemo marais 8 toka nchi mbalimbali.
- Mgeni rasmi ni Rais wa Tanzania Jakaya...
Rais wa Marekani Barack Obama ambaye
yuko katika ziara yake ya Afrika, amesifu
nchi ya Senegal kwa kuwa moja ya nchi
zenye demokrasia thabiti barani Afrika.
Akiwahutubia waandishi wa habari...
Wengi sana wameikosoa rasimu ya katiba hii karibu katika kila ibara.
Mimi naomba niikosoe katika ulimwengu wa leo:
Ukiangalia nchi mbalimbali, utaona maandamano kupinga utawala sasa je...
Ni muhimu hata ukiona dalili ya mwua uwahi kuanua ulichokianika juani na hata ikiwezekana ukimbilie ndani usije lowana mvua.
Hii ni mwanzo wa kupokea mabadiliko kwa wema ambayo hayana budi...
Ndugu wana jamvi kwa mujibu wa gazeti la Tanzania daima la tarehe 26 june ni wameandika kuwa uchaguzi tajwa hapo juu umeahirishwa hadi tarehe 14 july, na gazeti la Raia mwema la tarehe hiyo hiyo...
When in Senegal talked about about the rights of gays and lesbians and urged the government not to treat homosexuality as a crime, but make sure that gays and lesbians were not discriminated...
Hawa ndugu zetu wa CUF huwa wanajidai wanaiponda CHADEMA na kuitetea CCM. Naona sasa na wao CCM imewageuka. It appears harakati za CCM kuumaliza upinzani nchini ni dhahiri. Uwezo wa akina Pinda...
Waziri Mkuu, MIZENGO PINGA amesisitiza kuwa wote watakaochezea amani ya nchi kwa kuanzisha vurugu na kuwachochea wananchi watachukuliwa hatua kali.
MYTAKE:binafsi nimefurahishwa sana na msimamo...
Ni katika Uchaguzi wa Rais wa Chuo uliofanyika jana, ambapo pamoja na kutumia pesa nyingi na watoto wa "Mahasimu wawili", Sitta na Lowasa kuwa mstari wa mbele kuokoa jahazi lakini bado mgombea wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.