Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,416
Waziri Mkuu, MIZENGO PINGA amesisitiza kuwa wote watakaochezea amani ya nchi kwa kuanzisha vurugu na kuwachochea wananchi watachukuliwa hatua kali.
MYTAKE:binafsi nimefurahishwa sana na msimamo huo wa serikali kwani sasa Nchi itarudi kwenye mstari na wale wote waliokuwa wanataka kuichezea nchi mkia wataufyata.