Na Maggid Mjengwa,
BARACK Obama ametua Afrika. Mguu wake wa kwanza ameukanyagia Senegal. Neno lake kuu akiwa Senegal ni DEMOKRASIA. Ameisifu Senegal kwa kuwa mfano wa kuigwa katika kukuza...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
TAARIFA
KWA MADAKTARI ,
WAFAMASIA
, MAAFISA AFYA MAZINGIRA NA
MAAFISA WA
T
EK
NOLOJIA MAABARA
WALIOPANGIWA VITUO...
KWA namna fulani, uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umeshurutisha wabunge waliochaguliwa na wananchi kupitia chama hicho katika majimbo mbalimbali, kutoshiriki mjadala wa...
Wakati akijibu maswali ya Wakenya kwa njia ya mawasiliano ya satellite, Rais Obama alisema kesi inayowakabili viongozi wakuu wa Kenya katika mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai (ICC) ndiyo...
Raisi Obama amewahutubia vijana wa Chuo kikuu cha Johanesburg kilichopo maeneo ya Soweto. Baadhi ya Mambo aliyozungumzia ni:
Uwekezaji na kufanya kazi pamoja hasa katika Food Security
Ugaidi...
Salama wanawanchi,
Ukifatilia ziara ya Obama Southafrica, utaona jinsi media za kwao zilivyokuwa busy ku speculate mategemea ya wananchi kwa ujio wa obama. Kwetu TZ ni tofauti media na hata watu...
Nakumbuka mheshimiwa alihahidi gari za mabulance na ngede ya helikopter.
Je ahadi ilikuwa hewa au??
Kumbuka kina mama wanajifungulia katika mazingira magumu ,
tunaomba jibu - kabla ya kampeni
SATURDAY, JUNE 29, 2013
Rais wa Sri Lanka Mahinda Rajapaksa ambaye yuko nchini kuhudhuria Mkutano wa Global Smart Partneship jana alitembelea Hifadhi ya Taifa Serengeti na kuvutiwa na mandhari...
Dar es Salaam. Idara ya Uhamiaji imesema kwa sasa inapata katika kipindi kigumu katika kutoa hati za kusafiria na kwamba imeamua kuwanyima kabisa baadhi ya watu na hasa vijana wanaotaka kwenda...
SATURDAY, JUNE 29, 2013
SPIKA WA BUNGE LA OMAN NA UJUMBE WAKE WAWASILI DODOMA, ASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO BAINA YA BUNGE LA TANZANIA NA BUNGE LA OMAN
Spika wa Bunge la Oman...
Ni saa 11, gari za mgodi sasa hazitembei kurudisha na kupeleka shift ya usiku.
Hii ni baada ya mtu mmoja kuuawa na polisi kwa madai ya kuchimba dhahabu kwenye eneo la mgodi.
Hapa niko...
Mchungaji maarufu dunia Joshua ameonyeshwa kwenye maono yake uhuni wa NEC na haya ni maneno yake:
There is a country in East Africa, it has election this year,the opposition willwin but it wont...
Rais Obama katika kampeni zake aliunga mkono ndoa za jinsia moja na jana mahakama moja imewapa lesbians and gays haki ya ndoa kama watu wengine yani bibi na bwana. Obama amehidi kusaini muswada...
Wana Jf,
Hii sasa ni dhahiri kuwa ccm na serikali yake wameamua kwa dhati kuhamisha mawazo watu kuhusu tukio la bomu arusha kutoka kwenye siasa kwenda nje ya mipaka yetu.
Ikumbukwe kuwa...
AZIZ Nesin alikuwa mwandishi mahiri Wakituruki aliyeiaga dunia 1995 akiwa na umri wa miaka 79. Aliandika vitabu zaidi ya mia moja vikiwa pamoja na vya hadithi za kubuni. Vitabu vyake vingi...
WanaJF!
Awali ya yote napenda kuweka wazi kuhusu umaarufu wa Dr Slaa, kwa sasa umaarufu wa Dr Slaa upo ICU, na umauti wake rasmi umaarufu huo ni baada ya anguko baya la Dr Slaa mwaka 2015, kama...
Ujio wa Obama umewafanya viongozi wetu kuingiwa na kiwewe. Leo hii mlipa kodi tena halali anasimamishwa kufanya biasha yake inayoliongezea taifa mapato pamoja na familia yake. Matendo haya...
Katika Bunge letu kuna kambi ya chama tawala na kambi ya upinzani.Chama cha upinzani chenye wabunge wengi ndo kina kuwa na uwezo wa kuongoza upande wa upinzani ndani ya bunge. Uwa napata fujo ya...
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, amesema usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda ni sera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya kusaidia kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.