Ndugu wana jamvi kwa mujibu wa gazeti la Tanzania daima la tarehe 26 june ni wameandika kuwa uchaguzi tajwa hapo juu umeahirishwa hadi tarehe 14 july, na gazeti la Raia mwema la tarehe hiyo hiyo yaani tarehe 26 june linasema uchaguzi tajwa hapo uko pale pale ya tarehe 30 june, naomba kwa mwenye ukweli atuwekee hapa