Polisi imesema kutokana na ugen mkubwa unaotarajiwa kuwasili iv karibun, imeamua kusitisha maandamano ya CUF, kutokana na sababu za kiusalama, hayo yamesemwa na kamanda kova jioni hii, katika tarifa ya habar ya ITV ya saa kumi na mbili Jion.

....Sidhani kama Obama anawaamini hawa warusha mabomu kwenye mikutano ya CHADEMA.Jeshi la polisi mkoani Dar es salaam imepiga marufuku maandamano yaliyokua yameandaliwa na chama cha CUF.
Akiongea na waandishi wa habari kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Suleman Kova amesema kuwa maandamano hayo yamepigwa marufuku na kuwa yeyote atakae shiriki ni batili.
Alisema kwa sasa polisi wameimarisha ulinzi kote jijini Dar es salaam kutokana na ugeni mkubwa utakao kuwepo.
Source: ITV HABARI
masikini wa liberali...lakini nao si watawala kule visiwa vya pemba na zimbabwe
Cuf inatisha kama njaa!!! Tunasubiri kauli ya jemedari lipumba!!!!!! Sema baba tunasubiri kauli yako