SMART Partnership Dialogue in Dar es Salaam - Tanzania

habariyamujini

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Posts
3,094
Reaction score
457
Tbc wanarusha live majadiliano ya smart partnership diolog, wageni ni wengi sana wa kutoka mataifa mbalimbali ikiwemo marais 8 toka nchi mbalimbali.

- Mgeni rasmi ni Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete.
- Ni majadiliano kwa manufaa ya wote, ndani ya ukumbi wa Nyerere.

Kuna kitu kizuri sana kinazinduliwa kuhusu afya ya jamii yaani TELEMEDICINE ambapo kutakuwa na mtandao wa mawasiliano wa kutoa huduma za afya kutoka hospitali mbalimbali hapa nchini, tatizo la upungufu wa madaktari sasa basi na mgonjwa hana haja ya kusafirishwa kwenda mbali kutafuta huduma wala kukaa foleni kusubiri huduma.ELIMU MTANDAO GOES ON.

TUFUATILIE
 
Tbc wanarusha live majadiliano ya smart partnership diolog, wageni ni wengi sana wa kutoka mataifa mbalimbali ikiwemo marais 8 toka nchi mbalimbali.
Mgeni rasmi ni Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete.
Ni majadiliano kwa manufaa ya wote, ndani ya ukumbi wa Nyerere.

Maji safi ya kunywa bado ni tatizo kwa majority ya watanzania tangu uhuru,
hilo la Telemedicine ni rahisi kuliko hili la maji?
 
Tbc wanarusha live majadiliano ya smart partnership diolog, wageni ni wengi sana wa kutoka mataifa mbalimbali ikiwemo marais 8 toka nchi mbalimbali.
Mgeni rasmi ni Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete.
Ni majadiliano kwa manufaa ya wote, ndani ya ukumbi wa Nyerere.
Kuna kitu kizuri sana kinazinduliwa kuhusu afya ya jamii yaani TELEMEDICINE ambapo kutakuwa na mtandao wa mawasiliano wa kutoa huduma za afya kutoka hospitali mbalimbali hapa nchini, tatizo la upungufu wa madaktari sasa basi na mgonjwa hana haja ya kusafirishwa kwenda mbali kutafuta huduma wala kukaa foleni kusubiri huduma.ELIMU MTANDAO GOES ON.

TUFUATILIE

Hii ndio taabu ya akili ndogo kuongoza kubwa. Huyo daktari yeye atakaa wapi ili aweze kuwafikia wote kwenye huo mtandao? Usijetudanganya kuwa sasa madaktari watakuwa wanachukua historia ya wagonjwa wakiwa waeunganishwa kama darasa!

Ili mfumo huo ufanikiwe ni lazima kuwe na madaktari wa kutosha ambao wanaweza kugawanywa kulingana na specialisation zao. Daktari mmoja akiwa kwenye mtandao, atawasilina na mgonjwa yupi ndani ya wagonjwa 500 wanaohitaji huduma yake kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania?

Ni vyema kutafakari kabla ya kujilisha upepo!!!!!
 
wageni bado wanaendelea kufika ukumbini, kuna wageni kama 800 hivi watahudhuria mkutano huu.
 
mkurugenzi wa kampuni ya simu ya huawei toka nchini china yupo, anaitwa moses pailler
 
moja ya mada ni utatumiaje telecom kurahisisha huduma ya afya
 
lakini pia kuna kitu kinaitwa teleprisence, yaani ni tekonologia ya kufundishia, mwalimu anaweza kufundisha shule zote zilizounganishwa kwenye hiyo system..hata zikiwa rukwa mwl tuko mtwara, na wanafunzi wanaweza kuuliza maswali
 
mwalimu anaweza kuwa dar akafundisha wanafunzi wa hisabati nchi nzima,
 
Hii ndio taabu ya akili ndogo kuongoza kubwa. Huyo daktari yeye atakaa wapi ili aweze kuwafikia wote kwenye huo mtandao? Usijetudanganya kuwa sasa madaktari watakuwa wanachukua historia ya wagonjwa wakiwa waeunganishwa kama darasa!

Ili mfumo huo ufanikiwe ni lazima kuwe na madaktari wa kutosha ambao wanaweza kugawanywa kulingana na specialisation zao. Daktari mmoja akiwa kwenye mtandao, atawasilina na mgonjwa yupi ndani ya wagonjwa 500 wanaohitaji huduma yake kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania?

Ni vyema kutafakari kabla ya kujilisha upepo!!!!!

wapumbavu kama wewe ndio mzigo ktk hii nchi, get an info if u find mistakes sahihisha for the benefits of the members.
 
wapo marais kenyatta uhuru, rais wa malysia, rais wa uganda, lesotho, msumbiji
 
Peleka hizi Ndoto zenu huko pumbavu!!!!! Kilimo kwanza kimewashinda mnadandia mambo ambayo hamuyawezi
 
Mc aliyeandaliwa ndiyo anafanya hotuba ya utangulizi,.

namuona jk yupo,chisano na marais wengine.
 
Kikundi cha burudani kutoka nyumbani tanzania kinatumbuiza kwa lugha ya kiswahili.
 
Back
Top Bottom