Wazanzibar wengi wamekuwa wakilalamika kuhusiana na kunyonywa na Tanganyika na wao kukosa maendeleo. Lakini lakujiuliza ni juwa wananyonywa nini? Mbona uchumi wao unategemea karafuu,utalii na...
Habarini, Miongoni mwa vyama vyenye wabunge katika bunge la Tanzania ni pamoja na NCCR, TLP na UDP. Binafsi ninaamini kuwa vyama hivyo vimekua na mchango mkubwa katika ujenzi wa demokrasi hapa...
Wana jamvi,mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni,,mh rais wetu kajitahidi saana kupunguza kero za walimu wetu..mf kupata mshahara kwa wakati,,hasa wakati wa ajira mpya,,,kupanda madaraja nk. Katika...
MAMBO YA KAGAME, KWELI ANA-SURVIVE KWA KUTUMIA MTUTU WA BUNDUKI.
By Gasasira, Sweden
Reliable Information obtained by Umuvugizi confirms that Kagame's intelligence outfit continue to heighten...
Siku za karibuni upepo wa kisiasa kwa CHADEMA umekuwa unavuma kwenda chini. Wamekumbwa na mambo mengi,wamefanya matamko(press) nyingi lakini Vyombo vya habari vimeachana nazo kabisa.Ni Tanzania...
Polisi mkoani Arusha wakishirikiana na kikosi kilichoundwa kufatilia swala la bomu na risasi walizofurumishiwa wana chadema tarehe 15.06.2013 zilizopelekea vifo vya watu wanne na majeruhi zaidi ya...
Kenyatta alipanga safari ya Russia, China na Japan wakati Obama atakapokuwepo TZ, eti kuonyesha hababaiki na ujio wa Obama hapa TZ...lakini naona yamewashinda, Ikulu ya Nairobi imekanusha kuwepo...
1999
AGREED MEMORANDUM BETWEEN CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM)
AND
THE CIVIC UNITED FRONT(CUF)
THE CURRENT IMPASSE
1.. Chama Cha Mapinduzi (CCM) and the Civic United Front (CUF) realise that...
RAIS wa Marekani, Barack Obama anadaiwa kuwa na siri nzito na Tanzania kutokana na uamuzi wake wa kufanya ziara nchini, siku chache tu baada ya Rais wa China, Xi Jinping kufanya hivyo mwezi Machi...
Wana jf.
Habari za uhakika zilizopatikana hivi punde zinaeleza kwamba,
Katika kile kinachotafsiriwa kuwa ni fitina,chuki au kukosa uzalendo katibu mkuu wa chadema Dr wilbrod Slaa alikutana na...
Ndugu zangu wana JF,
Nawasalimu.
Katika kutafakari yanayojiri nchini mwetu, hali ya kisiasa na usalama,leo nimeitumia siku yangu tangu asbh kuiangalia tena filamu ya Sarafina. Sote, au wengi...
MTAFARUKU mkubwa umeibuka ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) baada ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kuchangia harambee ya Sh milioni 100 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha...
Binadamu lazima akue na busara zake ziongezeke, tuzo ya umri mkubwa ni busara. Nje ya busara, kuwa na umri mkubwa bila maarifa ni upumbavu. Kama mto upelekavyo maji baharini na kujaza maji...
Bunge la Mchana siku ya Jumamosi wakati akihitimisha Hotuba ya Wizara ya Nishati na Madini mh Prof Muhongo alimuita Sendeka kuwa ni muongo kwa kutaka kumlisha Mh Rais Maneno ambayo hakuyasema...
Tangu kuingia kwa mfumo wa vyama vingi, mabadiriko mbalimbali yamekuwa yakitokea, Wakati tuu mfumo wa vyama vingi unaanza, likatokea tukio la Mrema deflection! Akaenda chama cha NCCR Mageuzi na...
Nilikuwa napia pita mtaani (kwenye internet) nikavutiwa na wasihi wa Muungwana, sijachukua taarifa yote.
JAKAYA MRISHO KIKWETE:
He received his primary education at Msoga Primary School between...
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula
MWELEKEO wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika mabadiliko ya muundo mpya wa Serikali ya Muungano, ni wa kuwa na Serikali moja, yenye Rais mmoja...
Ni mda mrefu sasa viongozi wa CHADEMA kila mmoja kwa wakati wake wamekuwa wakitoa kauri zenye utata sana.
Alianza mzee Slaa akasema kuwa nchi hii haitatawalika,baadaye akaongeza kwa kudai kuwa...
WanaJF,
Wakati wa kuahirisha vikao vya Bunge mpaka msimu ujao, Spika wa Bunge Anna Makinda aliutumia muda huo kuwashukuru wabunge wote kwa namna walivyochangia katika mijadala mbalimbali. Pia...
Nilimsikiliza Kamanda wa polisi Arusha akihojiwa na Radio Sunrise jioni na alisema hivi.
AICC walikataa uwanja wao usitumike kuaga miili ya waliouwawa juzi Jumamosi kwa hiyo polisi waliwekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.