Kenyatta na ujio wa Obama TZ

md4doctor2000

JF-Expert Member
Jun 19, 2012
736
315
Kenyatta alipanga safari ya Russia, China na Japan wakati Obama atakapokuwepo TZ, eti kuonyesha hababaiki na ujio wa Obama hapa TZ...lakini naona yamewashinda, Ikulu ya Nairobi imekanusha kuwepo kwa safari hiyo!
 
Back
Top Bottom