Kwanza nadeclare interest mi ni mwanachama wa CHADEMA, ninasema hvyo kwa sababu vyama vyetu havina umoja wala havipo serious kuitoa CCM madarakani. Nmefuatilia sana hoja za wabunge wa upinzani...
Kuna taarifa kuwa kutokana na mipango ya CCM na Polisi kutaka kuhujumu uchaguzi wa Kata nne za Arusha Chama hicho kinaweza kuwatumia vijana wake makamanda kutoka mikoa mbalimbali kuimarisha ulinzi...
Viongozi wa ccm na wanachama wao hawaelewi nini tofauti kati ya matkio ya kisiasa na matukio ya kitamaduni tabia hii imewafanya watanzania walio wengi kutokufahamu nini tofauti ya matukio hayo...
:mad:Sasa ni wazi, CC ya CCM imeamua kuendeleza ubabe kwa kupinga uwezekano wa kuanzishwa serikali ya Tanganyika, Nilidhani wameridhia hiyo hoja maana Rasimu ilitakiwa iwe imepitiwa na wakulu na...
Kila nikiungalia muungano mwenzenu sipati jibu, kwa mfano Muungano unapingwa sana na Wazanzibar kuliko Watanganyika, lapili ni kuwa Viongozi wanaung'ang'ania sana! Kwa nini muungano uvunjike? Na...
na Shehe Semtawa
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amesema mkutano wa siri wa nchi tatu wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EA), uliofanyika nchini Uganda hauna...
Nimekuwa nikijiuliza sana juu ya hulka ya Chama cha Magamba (CCM) kujaribu kuaminisha umma kwamba Tanzania kuna ugaidi unaofanywa na chama cha siasa.
Walijaribu kuhalalisha madai yao kwa kutumia...
Shughuli ya kuaga Kigoda cha Mwalimu iko live ITV kutoka Nkurumah Hall UDSM.
Mada kuu ni "utatanishi na ukimya katika rasimu ya katiba mpya".
wageni mashuhuri ni pamoja na prof...
Mbunge wa Nzega, Dk. Hamisi Kingwangalla (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa CCM nchi za SADC, Kelvin Nyamori (katikati) na Mbunge
wa Kisesa, Luhanga Mpina, nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana.
Wasalaam,
Katika miaka ya karibuni, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejipambanua kuwa chama cha upinzani chenye nguvu zaidi Tanzania. Hii imetokana na ukuaji wake wa kasi...
Amani imetoweka katika kijiji cha KAKOLA kilicho jilani na mgodi wa BULYANHULU.Sasa hivi ni mapigano kati ya police na wananzengo wa kijiji cha KAKOLA.Issue ni kwamba wananchi wamefunga barabara...
Nelewavyo Tanzania ni pamoja na Zanzibar.Sasa je Obama atafka Zanzibar/atakutana na viongozi wa Zbar espcl Rais .?!!!
Au muungano ndo usha vunjika so ataishia Tanganyika tuuuuu?!!!!
Lucas Seleli alikuwa mmoja wa wajumbe wa tume iliyochunguza kashfa ya Richmond chini ya uenyekiti wa Dr. Harrison Mwakyembe. Ripoti ya tume ile ndiyo iliyopelekea Lowassa kujiuzulu uwaziri mkuu...
Nikiwa katika mji wa Dodoma kwa takriban wiki tatu sasa nimebahatika kuzungumza na makundi tofauti ya watu katika maeneo ya Kikuyu, Mkonze, Ipagala, Swaswa, Chang'ombe, Majengo na Mailimbili...
Mnyukano mkubwa wa biashara ya kahawa mbivu kati ya mabepari wachache na wakulima umetokea na kuiyumbisha serikali. Tatizo ni aliyekuwa waziri wa kilimo Prof. Jumanne Magembe aliyeteua Bodi ya...
Chama cha wananchi CUF Leo muda wa saa 10 alaasiri watafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika jimbo la Kitope ambako ni ngome kuu ya makamo wa pili wa raisi wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi...
Kweli serikali ya CCM na mawaziri wake naona wameambukizana.
Leo cha kushangaza Lukuvi katamka hela ya Tanzania kuwa hela ya madafu, na alipobanwa na mbunge wa CUF akashindwa kuliambia bunge nini...
Kile kipengele cha kutaka kila jimbo kuwe na mwanamke,siungi mkono,kigezo kiwe uwezo sio JINSI,mambo Jinsia katika nafasi za ubunge sioni,wakitaka waweke katika makamu wa Rais au Mawaziri
Wana-JF!
Inaposemekana kuwa CHADEMA ni chama cha kikanda na kidini, sio kwamba maneno hayo yanatoka kwa hisia tu,lah hasha, bali ni mfumo uliopo huko CHADEMA katika utoaji wa fursa za uongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.