Wadau,
Nimeshangazwa sana na habari kuwa Rais Obama amefuta ziara zake katika mbuga za Serengeti na Mikumi, eti kwa sababu za kiusalama. Nikizungumzia zaidi safari za Serengeti, pamoja na...
Mkurugenzi wa Idara ya mambo ya Nje ya CCM, Dr.Asha Rose Migiro akikaribishwa na Katibu wa Wabunge wa CCM, Jenista Mhagama baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma kuhudhuria kikao...
Kwa muda mrefu kumekuwa na mchakato wa kujengwa kwa stendi mpya, kubwa ya mkoa pale maeneo ya Igumbilo..eneo lilishapatikana na mkasema pesa tayari ipo...sasa nini kinakwamisha ujenzi huo kuanza...
Akizungumza na wanahabari mchana huu, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ametangaza kuahirishwa kwa uchaguzi wa Udiwani katika kata za Elerai, Themi, Kaloleni na kimandolu Manispaa ya Arusha...
Mwl. Nyerere alishawahi kusema, " serikali ni sheria. Hakuna kitu kinaitwa serikali bila sheria; na sheria zikishatungwa lazima zifuatwe". Mwisho wa kunukuu.
Kinachoonekana kwa sasa Tanzania ni...
Tunashangaa kwanini FBI wanachagua mawaziri wa kuongea na OBAMA?
Hapa kila waziri atakayepata nafasi hiyo jua wizara yake ina maslahi kwa Wamarekani, mfano hawezi kuondoka bila kuongea na waziri...
Ni wazi kwamba kushindwa kwa CCM kwenye ubunge wa jimbo pendwa la Iringa mjini ilitokana na ccm kumtosa kipenzi cha wana Iringa Fredrick Lugano Mwakalebela kwa kumpakazia kesi za uongo na hatiwaye...
Hili swali haswa liende kwa Chagonja ambaye alipelekwa Arusha kuongoza uchunguzi lakini badala ya kuchunguza tukio aliamua kujiingiza kichwa kichwa katika siasa hivyo kushindwa kutumia uweledi...
Wana Mbeya mjini mara ijayo mchague mbunge ambaye atatumia muda mwingi kutatua matatizo mengi yanayowazunguka kama vile suala la kuondoa watu Soko Matola nk. Muda umefika sasa wa kuacha...
Ni muda sasa wananchi wa Mtwara wanalalamika kuteswa ndani ya nchi yao lakini cha kushangaza hadi sasa watetea wa haki za binaadamu wako kimya,watanzania wako kimya,hivi tunafurahia vitando vya...
Habari ambazo zimethibitishwa na
Kurugenzi ya Mawasiliano ya CUF
kupitia kwa Juma Mtatiro
zimethibitisha kuwa Mkurugenzi wa
CUF wa uchaguzi taifa ni mzima na
hajapata ajali yoyote.
Mtatiro...
Ndugu zangu,
Inasemwa, kuwa kwenye mafanikio ya mwanamme nyuma yake kuna mwanamke. Dhana hii ina walakini, maana, hata hapa, kwenye mafanikio ya mwanamme, tunaamua kwa makusudi kumweka...
Ndugu Wana JF:
Ahadi ni deni. Jana niliahidi kuwaletea sehemu ya Hotuba ya Obama kuhusu kutotembelea Kenya baada ya kuulizwa na Wakenya- Source ni WhiteHouse
KENYA MODERATOR: Thank you, South...
Dar es Salaam - Juni 29, 2013
Wakati magari 150 ya msafara wa ziara ya Rais Barack Obama yamewasili nchini, majina ya mawaziri wa Tanzania yatakayoruhusiwa kumpokea kiongozi huyo kuchujwa na...
Series: Guardian Africa networkPrevious | Next | Index
As the US president visits the continent, experts analyse the changing relationship between America and Africa
James Wan for Think...
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mfalme wa Swaziland, King Mswati katika hafla ya chakula cha usiku alichokiandaa kwenye viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam jana usiku, kwa waliohudhuria Mdahalo...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CDM kimetowa misaada kwa waathirika wa bomu lililolipuka ktk mkutano wa chama hicho tar 15/06/2013 ktk viwanja vya Soweto kata ya Kaloleni Jijini Arusha...
Barazani kwa Ahmed Rajabu
Ahmed Rajab
Toleo la 300
26 Jun 2013
AZIZ Nesin alikuwa mwandishi mahiri Wakituruki aliyeiaga dunia 1995 akiwa na umri wa miaka 79...
Saturday, June 29, 2013 | 11:02 PM
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, amesema usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda ni sera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya kusaidia kukabiliana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.