Kikwete: In Black And White | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete: In Black And White

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasana, Oct 9, 2007.

 1. K

  Kasana JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2007
  Joined: Apr 3, 2007
  Messages: 413
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nilikuwa napia pita mtaani (kwenye internet) nikavutiwa na wasihi wa Muungwana, sijachukua taarifa yote.

  JAKAYA MRISHO KIKWETE:

  He received his primary education at Msoga Primary School between 1958 and 1961 and his middle school education at Lugoba School from 1962 to 1965. He then moved from Lugoba School to Kibaha Secondary School for O-level education between 1966 to 1969. The following year he joined Tanga Secondary School for advanced level education. Kikwete attended the University of Dar es Salaam from 1972 to 1975, where he earned a degree in Economics.

  His leadership talents emerged at early stages in life. He was a student leader both in middle and secondary schools and at the University of Dar es Salaam. He was elected Chairman of the Students Council at Kibaha Secondary School and Deputy Head Prefect at Tanga Secondary School. He became very active in student politics at University. He was eventually elected Vice President of the Dar es Salaam University Students Organisation and de-facto President of the student government at the Main Campus in 1973/74.

  As a student leader, he spearheaded efforts to fight for student's rights and welfare. He was in the forefront in bringing about awareness and activism in liberation and anti-apartheid politics in the campus and the University community at large. He represented the Dar es Salaam University students and the students and youths of the African continent in several international conferences. Among such meetings were the International Youth Population Conference in 1974 in Bucharest, Romania.

  Graduating with a degree in economics in 1975, he opted for a low-paying job as an executive functionary/officer of the ruling Party (TANU later CCM). This gave him the opportunity to work at the grassroots in rural regions and districts of Tanzania.

  President Kikwete throve in the military and grassroots party political organisation, mobilisation and administration until 1988 when he was appointed to join the Central Government. The then President Ally Hassan Mwinyi appointed him Member of Parliament and, simultaneously, Deputy Minister for Energy and Minerals on November 7, 1988. In 1990 he was promoted to full Minister responsible for the Ministry of Water, Energy and Minerals. Later the same year he successfully contested for a parliamentary seat in his home constituency of Bagamoyo. He was reappointed Minister for Water, Energy and Minerals in the government formed after the elections.

  In 1994, at 44, he became one of the youngest Finance Ministers in the history of Tanzania. At the Treasury, he established discipline in public finance management and accountability and, until today, he is still remembered for establishing cash budget system and revamping of revenue collection structures, methods and institutions, including preparations for the formation and eventual establishment of the Tanzania Revenue Authority.

  President Kikwete's governing philosophy and political views are influenced by those of Mwalimu Julius Nyerere whom the President was privileged to be close to. So far Kikwete's government has received accolades across the country and in the donor community for fighting corruption, investing in people, particularly in education, and push for new investiments.

  In the past two years of Kikwete's presidency, a remarkable 1,500 new secondary schools have been built, and a new 40,000-student science university is being built in Dodoma, central Tanzania.

  These successes have led the United States government to grant Tanzania US $698 million under the the Millenium Challenge Account assistance program, the UK government US $500 million for education, and the New York based Africa-America Institute (AAI) to award Tanzania the Africa National Achievement Award in September 2007 in New York.
   
 2. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Jakaya Mrisho Kikwete ni moja kati ya Watanzania wanaogombea kiti cha Urais wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM. Katika kipindi cha miaka 5 iliyopita yeye ndiyo amekuwa Rais wa JMT (Jamuhuri ya Muunganao wa Tanzania).

  Lakini je, Kikwete ni nani hasa?

  Historia na Uwezo wake ukoje?

  Maisha yake yake yakoje?

  Thread hii inakusudia kuweka kwa undani yote hayo yanayomhusu in Black and White ili wapiga kura wake waweze kumfahamu kwa undani mbali na propaganda za kisiasa. Na hii ni haki ya Mtanzania.

  Kwa kuanzia ninaweka wasifu wake hapa:

  Source: Gazeti la Uhuru

  RAIS Jakaya Kikwete alizaliwa Oktoba 7, mwaka 1950 katika kijiji cha Msoga, wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani. Ni mtoto wa sita wa Mzee Khalfani Kikwete. Baada ya elimu ya msingi mwaka 1958-1961, Kikwete alijiunga na Shule ya Kati Lugoba mwaka 1962-1965.

  Mwaka 1966-1969 alisoma katika Shule ya Sekondari ya Kibaha na mwaka 1971-1972, alisoma kidato cha tano na cha sita katika Shule ya Sekondari ya Tanga. Mwaka 1972-1975 alisoma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuhitimu Shahada ya Kwanza ya Uchumi. Alijiunga katika mafunzo ya maofisa wa Jeshi katika Chuo cha Uongozi wa Jeshi Monduli, mwaka 1976-1977 na baadaye Mafunzo ya Makamanda wa Jeshi katika Chuo hicho, mwaka 1983-1984.

  Kuanzia shule ya kati, sekondari hadi chuo kikuu alikuwa kiongozi wa wanafunzi. Alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanafunzi katika Shule ya Sekondari Kibaha na baadaye Naibu Kiongozi Mkuu wa Wanafunzi katika Shule ya Sekondari Tanga. Katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alikuwa mwanaharakati wa siasa za wanafunzi na alichaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu hicho, mwaka 1973-1974.

  Katika nafasi yake hiyo, alikuwa mstari wa mbele kuchochea vuguvugu la ukombozi kwa nchi za kusini mwa Afrika. Aliwawakilisha wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na vijana wa bara la Afrika katika mikutano ya kimataifa. Miongoni mwa mikutano hiyo ni ule wa International Youth Population Conference mwaka 1974, Bucharest, Romania. Jakaya Kikwete alipata mafunzo ya awali ya kijeshi kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa la Ruvu, na mafunzo ya uofisa wa kijeshi katika Chuo cha Uongozi wa Kijeshi, Monduli. Alifuzu na kuwa luteni 1976-1977.

  Nchi ilipoingia katika mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, Kikwete akiwa na cheo cha luteni Kanali, alistaafu jeshini, ili aendelee na siasa. Kikwete amekuwa katika utumishi wa Chama kwa miaka 35 na katika utumishi wa Serikali katika nafasi mbalimbali za Uwaziri kwa miaka 22. Akiwa na umri wa miaka 25, Kikwete alijiunga katika utumishi wa chama cha TANU, kilichoongoza mapambano ya kudai uhuru wa Tanganyika.

  Alianza utumishi akiwa Katibu Msaidizi wa TANU wa Mkoa, mwaka 1975-1977. Baadaye akawa Katibu Msaidizi wa CCM Ofisi Kuu Zanzibar, mwaka 1977-1980; Ofisa utumishi wa CCM Makao Makuu, mwaka 1980-1981; Katibu Mtendaji wa CCM Mkoa wa Tabora, mwaka 1981-1983; Kamisaa wa Siasa katika Chuo cha Uongozi wa Jeshi, Monduli, mwaka 1983-1986 na Katibu wa CCM Wilaya ya Nachingwea na baadaye Masasi mwaka 1986-1988.

  Amekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM tangu mwaka 1982, na baadaye Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM hadi sasa. Katika utumishi wa Serikali, Rais Kikwete aliuanza kwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Nishati, Madini na Maendeleo ya Maji, mwaka 1988-1990, Waziri wa Nishati, Madini na Maendeleo ya Maji mwaka 1990-1994, Waziri wa Fedha mwaka 1994-1995 na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushjirikiano wa Kimataifa mwaka 1995-2005.

  Kikwete amekuwa Mbunge wa kuteuliwa (1988-1990), Mbunge wa Bagamoyo (1990-1995) na Mbunge wa Chalinze (1995-2005). Ndani ya Chama, kipaji chake cha uongozi kilichoambatana na moyo wa kujitolea kilijidhihirisha mapema baada ya kumaliza masomo chuo kikuu alipoamua kujiunga na utumishi wa Chama, badala ya kukimbilia ajira serikali kulikokuwa na masilahi makubwa. Hutekeleza kazi kwa ufanisi na uadilifu. Kikwete ni mwanamichezo, mwenye haiba na mvuto na mwenye maono katika uongozi. Ana mke, Salma Rashid Kikwete, na ni baba wa watoto wanane; wanaume sita na wanawake wawili.

  Je, ni hayo tu wananchi wanastahili kuyajua?

  Kama yako mengine ni yapi?

  Jakaya Mrisho Kikwete ni nani hasa in Black and White?
   
 3. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Of Course yeye kwa sasa ndiye Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania toka 2005 hadi 2010 . . . . .
   
 4. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Mimi nilikuwa mmoja wa mashabiki wakubwa wa Mh. Rais toka mwaka 1994 akiwa waziri wa fedha. Lakini huenda bado nilikuwa mdogo na niliwahi kusikia tu stori za huyu bwana kutoka mzee wangi au kwa watu wakaribu.

  Lakini pia sikuwahi kusikia nini haswaaaa amekifanya kwa mafanikio hadi watu wakamfahamu na kuwa kipenzi cha watu. Mwenye data zake kabla hajawa rais, kikwete alifanya nini cha kujivunia kutoka kwake hadi kuwa kipenzi cha watu mwaka 1995 na 2005? sina uhakika sana na mafanikio ya Mh Rais katika utendaji wake ndo maana nataka mwenye data atujuze zaidi.

  NB: Mtu anaweza kufanya kazi sehemu mbalimbali lakini mafanikio hakuna. Au kuna watu wachapa kazi lakini hawapendi kujiweka mbele mbele pia.
   
 5. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,938
  Likes Received: 2,087
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni CV tu ambayo hijawa loaded enough kumfanya awe kiongozi mzuri. Mfano, kuna wakati DARUSO imekuwa na viongozi bogus. Hata mimi nikiweka CV yangu hapa utasema ninafaa kuongoza nchi hii! Sasa kama CV hiyo ni bomba mbona anachemsha? Level ya hiyo CV ni ya chini?
   
 6. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Ni Story zipi uliwahi kusikia? Tunaomba utujuze tafadhali . . .
   
 7. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu, kuwa muwazi na very specific . . . amechemsha kivipi na katika maeneo yapi?
   
 8. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo wa kujadiliwa hapa ni Kikwete tu?
  Basi hii thread hainihusu ngoja niwaachie wadau mwendelee.
   
 9. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Wewe wasema, tafadhali tuwe wawazi . . . sambamba na hili tutaanzisha pia thread za wagombea wengine, kama hazipo bado.

  Tupe ya ziada kama unayo mkuu . . .
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Unajua huwa najiuliza mwaka 1976 Graduate kujiunga jeshi wakati mpaka miaka ya 1990s graduate kwenda jeshini ilikuwa issue.

  Naona kuna kitu apo in between
   
 11. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu, unahisi kuna kitu gani? Au unafahamu chochote?
   
 12. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
 13. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Biography

  Kikwete grew up witnessing the exercise of leadership by his grandfather Mrisho Kikwete as a local chief and father as a District Commissioner in colonial Tanganyika and Regional Administrative Secretary and an Ombudsman in post-colonial Tanganyika and the United Republic of Tanzania. He spent part of his childhood moving from one area of country to another as his father was transferred to different outposts. He also spent a better part of his childhood in the village under the guidance of his grandfather. Kikwete became a natural choice for leadership in school and later in the party (TANU and CCM) youth movements.

  His leadership talents emerged at early stages in life. He was a student leader both in middle and secondary schools and at the University of Dar es Salaam. He was elected Chairman of the Students Council at Kibaha Secondary School and Deputy Head Prefect at Tanga Secondary School. He became very active in student politics at University. He was eventually elected Vice President of the Dar es Salaam University Students Organisation and de-facto President of the student government at the Main Campus in 1973/74. As a student leader, he spearheaded efforts to fight for student's rights and welfare. He was in the forefront in bringing about awareness and activism in liberation and anti-apartheid politics in the campus and the University community at large. He represented the Dar es Salaam University students and the students and youths of the African continent in several international conferences. Among such meetings were the International Youth Population Conference in 1974 in Bucharest, Romania.
   
 14. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Education

  He received his primary education at Karatu Primary School between 1959 and 1963 and his middle school education at Tengeru School from 1962 to 1965. He then moved from Tengeru School to Kibaha Secondary School for O-level education between 1966 to 1969. The following year he joined Tanga Secondary School for advanced level education. Kikwete attended the University of Dar es Salaam from 1972 to 1975, where he earned a degree in Economics.
   
 15. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Personal

  President Kikwete is a keen sportsman having played basketball competitively in school. He has been a patron of the Tanzania Basketball Federation for the past 10 years. He is married to Mama Salma Kikwete, and together they have eight children.
   
 16. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Leadership and political career

  Graduating with a degree in economics in 1975, he opted for a low-paying job as an executive functionary/officer of the ruling Party (TANU later CCM). This gave him the opportunity to work at the grassroots in rural regions and districts of Tanzania.

  Kikwete sharpened his leadership acumen in the military. He first had basic military training at Ruvu National Service Camp (1972) and later underwent a basic officers course at the famous Tanzania Military Academy at Monduli, Arusha. This is Tanzania's top military training institution. On successful completion of the course, he was commissioned as a lieutenant in 1976. He also undertook Company Commander's Course in 1983 at the same academy. In his military career, he rose to the rank of Lieutenant-Colonel. From 1984 to 1986, Kikwete was Chief Political Instructor and Political Commissar at the Military Academy. He retired from the military as a lieutenant-colonel when political pluralism was reintroduced to Tanzania in 1992 when he chose to become a full time politician. Prior to that, he was permitted to be both in the military and political leadership.

  In elective Party politics, Kikwete started shining in 1982 when he was overwhelmingly elected by the party (CCM) national congress to be a Member of the National Executive Committee. This is the highest policy and decision-making body of the party. He has won re-elections to the body every five years since then. Also, in 1997, he was elected a member of the party's powerful 31-member Central Committee (CC). He is still a member of the Central Committee since he was reelected in 2002 for another term of 5 years.
   
 17. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  As a party cadre, Kikwete moved from one position to another in the party ranks and from one location to another in the service of the party. When TANU and the Zanzibar's Afro-Shirazi Party (ASP) merged to form CCM in 1977, Kikwete was moved to Zanzibar and assigned the task of setting-up the new party's organisation and administration in the Islands. In 1980, he was moved to the Party's Headquarters as Administrator of the Dar es Salaam Head Office and Head of the Defence and Security Department before moving again up-country – to regional and district party offices in Tabora Region (1981-84) and Nachingwea (1986-88) and Masasi District (1988) in the country's southern regions of Lindi and Mtwara respectively.

  President Kikwete throve in the military and grassroots party political organisation, mobilisation and administration until 1988 when he was appointed to join the Central Government. The then President Ally Hassan Mwinyi appointed him Member of Parliament and, simultaneously, Deputy Minister for Energy and Minerals on November 7, 1988. In 1990 he was promoted to full Minister responsible for the Ministry of Water, Energy and Minerals. Later the same year he successfully contested for a parliamentary seat in his home constituency of Bagamoyo. He was reappointed Minister for Water, Energy and Minerals in the government formed after the elections.

  In 1994, at 44, he became one of the youngest Finance Ministers in the history of Tanzania. At the Treasury, he established discipline in public finance management and accountability and, until today, he is still remembered for establishing cash budget system and revamping of revenue collection structures, methods and institutions, including preparations for the formation and eventual establishment of the Tanzania Revenue Authority.
   
 18. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  In December 1995, he became Minister of Foreign Affairs and International Cooperation, being appointed by President Benjamin William Mkapaa of the third phase government. He held this post for ten years, until he was elected President of the United Republic of Tanzania in December 2005, hence becoming the country's longest serving foreign minister. During his tenure in the Ministry of Foreign Affairs, Tanzania played a significant role in bringing about peace in the Great Lakes region, particularly in Burundi and the Democratic Republic of Congo (DRC).

  Kikwete was also deeply involved in the process of rebuilding regional integration in East Africa. Specifically, several times, he was involved in a delicate process of establishing a Customs Union between the three countries of the East African Community (Kenya, Uganda and Tanzania), where, for quite some time, he was a Chairman of East Africa Community's Council of Ministers. Introducing candidate Kikwete at a campaign rally in Dar es Salaam on 21 August 2005, former President Mkapa described him as a super-diplomat, in recognition of his role in the search for peace in neighboring Burundi and the Democratic Republic of Congo. Kikwete also participated in the initiation, and became a Co-Chair, of the Helsinki Process on Globalisation and Democracy.
   
 19. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  On May 4, 2005, Kikwete emerged victorious among 11 CCM members who had sought the party's nomination for Presidential candidacy in the general election. After a 14 December 2005 multiparty general election, he was declared a winner by the Electoral Commission on December 17, 2005 and was sworn-in as the Fourth President of the United Republic of Tanzania on 21 December 2005.

  President Kikwete's governing philosophy and political views are influenced by those of Mwalimu Julius Nyerere whom the President was privileged to be close to. So far Kikwete's government has received accolades across the country and in the donor community for fighting corruption, investing in people, particularly in education, and push for new investments.

  Although in the past two years of Kikwete's presidency, a remarkable 1,500 new secondary schools have been built (the quality of these new school is very poor, no teachers, no desks etc), and a new 40,000-student science university is being built in Dodoma, central Tanzania, there is still a lot that needs to be done. But these successes have led the United States government to grant Tanzania US $698 million under the Millennium Challenge Account assistance program, the UK government US $500 million for education, and the New York based Africa-America Institute (AAI) to award Tanzania the Africa National Achievement Award in September 2007 in New York.

  President Kikwete launched a national campaign for voluntary HIV/AIDS testing in Dar es Salaam. He and his wife Mama Salma Kikwete were the first to be tested.[1]

  He was elected as Chairman of the African Union on January 31, 2008 at an AU summit in Addis Ababa.[2] His first notable success as AU Chairman was to help bring a two month political crisis in Kenya to an end by brokering a power-sharing deal between Mwai Kibaki and Raila Odinga. He was also one of the first to criticise Robert Mugabe's regime at the most recent summit.
   
 20. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hapo mtoa mada kazungumzia elimu na nafasi alizowahi kushika, Je kuna jambo ambalo alishawahi kulisimamia kwa maslahi ya wananchi au kitu alichowahi kufanya cha kukumbukwa? Mfano Dr. Slaa, Mrema, na wengine wengi kuna vitu ambavyo vitadumu milelel na milele bila kusahaulika. vituo vya polisi vingi vingi unavyoviona leo ni Mrema huyo.

  Mwingine ni Mkulo ukisikia Mkulo unakumbuka NSSF alifanya vizuri sana japo kwenye fedha kachemsha. Sasa kaka yetu kwa elimu na positions amefanya nini au alishawahi kufanya nini cha kukumbukwa? Mkapa hakuwa amefanyua cha kukumbukwa alkini baada ya kuingia madarakani alifanya mengi saaana japo kulikuwa na dosari dnogo ndogo.
   
Loading...