Obama atafika Zanzibar?

Obama atafika Zanzibar?

MAULA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,056
Reaction score
171
Nelewavyo Tanzania ni pamoja na Zanzibar.Sasa je Obama atafka Zanzibar/atakutana na viongozi wa Zbar espcl Rais .?!!!
Au muungano ndo usha vunjika so ataishia Tanganyika tuuuuu?!!!!
 
Kwann inside Lindi. Kigoma au kagera.Zenj kuna nn special?
 
Kumbe anakoenda kunauspecial eeeeeeh!!
 
Nelewavyo Tanzania ni pamoja na Zanzibar.Sasa je Obama atafka Zanzibar/atakutana na viongozi wa Zbar espcl Rais .?!!!
Au muungano ndo usha vunjika so ataishia Tanganyika tuuuuu?!!!!

Ataweza kweli kutembelea mikoa yote ya Tanzania, maana nachojua Zanzibar ni mkoa wa Tanzania,mimi nashangaa eti hata Bush alivokuja mwaka 2008 eti mlitaka afike na Zanzibar.Kama vipi vunjeni muungano then muunde nchi yenu iitwe Zanzibar.Kwa kifupi kama kweli Shein anataka kuwawakilisha waZanzibar inatakiwa aje kumsalimia Obama huku Dar
 
Nelewavyo Tanzania ni pamoja na Zanzibar.Sasa je Obama atafka Zanzibar/atakutana na viongozi wa Zbar espcl Rais .?!!!
Au muungano ndo usha vunjika so ataishia Tanganyika tuuuuu?!!!!

Kweli wanaadam tunapenda malumbano hata kwa vitu visivyo na msingi.
 
Back
Top Bottom