Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana Ukumbi,Kila mtanganyika anasikika akisema wazanzibari tunalalamika sana. Sijui ndio tunalalamika kweli au tunasema ukweli tu tu. Tanganyika ni ndugu zetu, tena ndugu wa kidamu, hili...
1 Reactions
152 Replies
14K Views
I have watched various video recordings, read various newspaper reports, studied various pictures taken and listened to various witnesses' accounts of what took place before, during and after a...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
At least 31 people have died on in a blaze that engulfed an oil tanker after it was hit by another vehicle in a suburb of the Ugandan capital, police said Sunday. "We can confirm 31 dead and over...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Inaelekea draft ya katiba imetupotosha na kusahau jambo la msingi kuliko yote. Moja ya mambo ambayo yalifanya vyama vya upinzani kutaka kugomea process ya katiba mpya ni kubadilishwa kwa sheria...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
....hapa ndipo palikua nyumbani kwetu, hiki ndicho kilikua chumba cha wazazi wangu, nakukumbuka na hiki ndicho kilikua chumba cha dada zangu, hapa ndipo mahali alipopapenda sana baba kupunga upepo...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
nchi yetu inapitia katika kipindi kigumu sana sasa hivi. CHADEMA ni chama kikubwa sana sasa hivi pengine kuliko CCM. CCM wanaujua lakini hawataki kuukubali ukweli huu.wanawaona viongozi na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bungeni Dodoma kupitia maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Mh Ally mohamed ameuliza kuwa hivi karibuni viongozi wa kitaifa wameonekana wakilalamika kuwa Ufisadi ni tatizo kubwa,huku waziri mkuu...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na waandishi wa habari mara tu baada ya kumaliza ziara yake na ugeni aliouongoza kutembelea mabanda mbalimbali ya maonesho tarehe 30.6.2013. Mke wa Rais...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Kwa mara nyingine tena vyama hasimu CCM na CHADEMA vinataraji kutoana jasho katika chaguzi ndogo za serikali za mitaa mitano[5] zitakazofanyika ndani ya jimbo la Iron Lady Halima Mdee almaarufu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kutokana na ukubwa wa wilaya ya Iringa ambayo haina tofauti na ukubwa wa mkoa kama mtwara na hata kilimanjaro,sisi wenyeji wa wilaya hii tunaomba wanaojijua kuwa ni wadau wa hili waanzishe...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Ndugu zangu, tukiwa tunajiandaa na serikali tatu, nashauri watanganyika tuanze kujianda na yafuatayo:- 1. Tuwaambie kabisa wapenzi wa muungano huu, waanze kuanda ikulu yao atakayeishi rais...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Moja kati ya haya linaweza kuwa sahihi kabisa kabisa... Kabla ya yote tukumbushane kwamba leo ndio ilikuwa marejeo ya Uchaguzi wa Madiwani Arusha baada ya 'kuvurugika' kufuatia Mkutano wa Chadema...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Now live TBC 1,mkuu wa mkoa Dsm na kamanda kanda maalum wa polisi wanatoa utaratibu wa safari nzima ya Obama.more updates to follow
1 Reactions
43 Replies
6K Views
Aliyekuwa Rais wa kwanza nchini Kenya Mh Kenyatta na Msomi wa Kijaluo wakati huo Bw Barack Obama senior walikuwa hawaivi chungu kimoja kutokana na kuwa na mitazamo inayokinzana kuhusu namna ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Kwa mara nyingine tena police wamenaswa na meno ya Tembo. Huu ni umaskini unaowasumbua ndio maana tuhuma kama hizi kwao haziishi. Alafu wanaendelea kuwa vibaraka wa CCM wakati hali yao ni ngumu sana
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika gazeti la Sema Usikike la leo tarehe 10/2/2009 kuna habari kwamba Waziri Mkuu wa zamani amemuweka kimada mbunge moja shoga kutoka Magharibi. Kwa waheshimiwa wabunge habari hii siyo ngeni...
0 Reactions
82 Replies
17K Views
President Obama's trip to Africa is little more than a public relations stunt to a continent desperate for his help, Lawrence K. Freeman,editor of Executive Intelligence Review magazine,told RT...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Dodoma. Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, amekutana na wakati mgumu bungeni baada ya kubanwa na Waziri wa zamani wa wizara hiyo, Omary Nundu, aliyetaka kujua sababu za Shirika la Ndege...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimejiuliza sana kabla yakuja hapa jf. Hawa ccm ni kina nani? Hadi wanataka kutuharibia katiba. Tume imezunguka nchi nzima imetumia pesa yetu nyingi. Imekusanya maoni ya wananchi wa tanzania...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom