Wanachama na viongozi wa ccm............

Wanachama na viongozi wa ccm............

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,458
Viongozi wa ccm na wanachama wao hawaelewi nini tofauti kati ya matkio ya kisiasa na matukio ya kitamaduni tabia hii imewafanya watanzania walio wengi kutokufahamu nini tofauti ya matukio hayo mawili na.

Tabia hii ya wana ccm wakiongozwa na viongozi wao ya kuvamia sherehe za kitamaduni au kijamii na kitaifa huku wakiwa na sar e za chama chao imewafaya watanzania walio wengi na ambao hawakipendi chama hicho kutohudhuria matukia mengi ya kitaifa pamoja na kitamaduni wakidhani ni ya kisiasa .

Mpaka sasa wanaccm wamejimilikisha matukio yote ya kitamaduni (kitaifa) na kuyafanya yaonekane ni matukio ya kichama na tena chamachao tu .

Tabia hii mbaya imepelekea watanzania wengi wasiokipenda chama hiki cha ccm kupoteza mwamko wa kuhudhuria matukio ya kitamaduni na kitaifa kwa kudhani au kufikiri ni matukio ya kichama.

Hii ni kutokana na mambo mengi yanayo zungumzwa na viongozi wao wasio kuwa na mwamko mpana wa kurikiri kushindwa kuelewa nini kinatakiwa kuongelewa wapi na kwa wakati gani.

Kwa mfano moja ya sherehe ambazo zimevamiwa na wanachama waccm pamoja na viongozi wao bila kufahamu madhara yake ni sherehe za uhuru matulio ya misiba, mapinduzi mashujaa na ……………….., sherehe hizi kwa sasa zimegeuka kuwa mali ya ccm na kuzifanya ni sehemu ya kurushia vijembe kwa wapinzani wao.

Kitu ambacho kimezifanya sherehe hizi kukosa mwanko wa kitaifa ma umoja kwa watanzania.

TABIA HII NI MBAYA NA HAIFAI KATIKA JAMII NAWASHAURI MUIACHE MARA MOJA.
 
Back
Top Bottom