Biashara ya kahawa mbivu (Red cherry)

Jan 3, 2010
16
3
Mnyukano mkubwa wa biashara ya kahawa mbivu kati ya mabepari wachache na wakulima umetokea na kuiyumbisha serikali. Tatizo ni aliyekuwa waziri wa kilimo Prof. Jumanne Magembe aliyeteua Bodi ya Kahawa bila kuzingatia kanuni za uteuzi matokeo yake ni kurundika wajumbe kutoka kanda moja na wengine wasioijua kahawa. Bei ni sh 600 kwa kilo (kilo 3 za cherry zinatoa kilo 1 ya kahawa kavu ambayo inauzwa sh 3000) hivyo mnunuzi wa cheri anatumia sh 1800 kupata kahawa kavu anampunja mkulima sh 1200 kwa kilo.

Nani atamtetea mkulima? Ukombozi unapatikanaje kwa mkulima? Atayafikiaje maisha bora kwa kila mtanzania?
 
Back
Top Bottom