Ofisa mmoja wa Usalama wa Marekani (FBI), akiwa na mbwa juzi aliingia Makao Makuu ya Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam na kufanya ukaguzi. Tukio hilo lilitokea muda mfupi kabla ya msafara wa...
Nahisi kuna haja ya majadiliano kwa hivi vyama viwili kwani chuki na uhasama unakua kama moto wa kifuu naogopa mmjawapo akiamua kulipa kisasi kwa jinsi mambo yamekua yakienda kisiasa ndipo...
Akiwa kwenye kampeni za uchaguzi mwaka 2010 mh.rais wa jamhuri ya muungani wa tanzania ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mh.jakaya mrisho kikwete aliwaahidi wananchi wa kigoma kuwa...
Ni vema sasa baadhi ya watanzania wenye mitazamo hasi wakaacha kukashifu safari za nje za raisi kikwete nakumuona JK kama anapenda sana safari ambazo kwa mitazamo yao zinaligharimu Taifa.Lazma...
Ndugu zanguni,
Bado najiuliza jinsi Mbowe alivyojivua gwanda na kuibukia kwenye dhifa ya taifa kinyume na matamko ya Dr Slaa ya kususia ujio wa Obama.
Swali gumu ambalo nimekosa jibu ni kama...
Interview ya mwandishi mkongwe nchini Kenya na gazeti la Nation:
Q: Dar es Salaam, where you once worked, was the melting pot of intellectual expression during which you were debating with the...
Wakuu JF.
Kuna jamaa yangu ananiambia kuwa Polisi wanatekeleza Maagizo ya Pinda kwa Kuwapiga Wa Machinga Manzese kwa Mabomu Mchana huu.
Naendelea kufuatilia kwa Ukaribu.
Kwa wenye Info zaid Karibuni.
Hii ni sehemu ya Interview na mwandishi mkongwe wa Kenya na gazeti la Nation:
Q: Dar es Salaam, where you once worked, was the melting pot of intellectual expression during which you were...
Leo naomba tujikumbushe baadhi ya kauli za viongozi wa CHADEMA ambazo ni ''contradictory'' na "controversial":
1. Katiba ya sasa sio ya wananchi kwa sababu wananchi hawakutoa maoni wakati wa...
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ameeleza sababu za Tume hiyo kupendekeza Serikali tatu, huku akisisitiza kuwa suala hilo lilikuwepo tangu siku nyingi. Kauli hiyo...
Mwenyekiti wa UVCC Boniface Laizer wilaya ya Arumeru amehukumiwa kifungo cha miezi sita au kulipa faini ya laki tatu baada ya kupatikana na hatia ya utapeli wa shamba. Laizer ambaye alichagua...
Rais wa Marekani, Barack Obama juzi alikutana na kundi la wafanyabiashara 20 wakubwa barani Afrika wakiwemo Watanzania watatu ambao utajiri wao ulitajwa katika jarida la Ventures Africa...
Lowassa avionya vyombo vya dola
• Ainyooshea kidole Serikali ya CCM
na Sitta Tumma, Mwanza
http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=51158
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward...
Amani iwe kwenu,
Wana jf leo nikiwa kanisa katoliki lilipo huku njiro katika misa ya kwanza tumetangaziwa kwamba wasomi wa kanisa katoliki wameipitia na kuichambua kwa umakini rasimu ya kwanza ya...
Wana JF,
Mimi si mtaalamu sana wa mambo ya protokali lakini jambo hili limeniumiza kichwa sana.
Obama aliposhuka, nilitazamia mtu wa kwanza kabisa kusalimiana naye awe mwenyeji wake Rais wa JMT...
Nimekuwa na dhamira ya kugombea ubunge tangu nikiwa kidato cha tano,NI takribani miaka Saba(7), Nilibweteka na kufikiri kuwa ninaweza jiandaa na maisha,LA HA SHA,maisha NI haya...
Na kwa hili serikali mtueleze,kama ndio maisha bora haya au maisha magumu kwa kila Mtanzania,hii sasa imepitiliza haiwezekan kupandisha umeme tena kwa kiwango hiki,hata kama nikuilipa dowans this...
June 25, 2013
His Excellency Barack Obama
President of the United States of America
White House
Via facsimile: +1 202-456-2461
Dear President Obama:
Ahead of your first trip to East...
Mwenyekiti wa CCM Wilaya mpya ya Gairo Bwana Omary Awadhi, amemwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Gairo. Kwa mujibu wa mwenyekiti huyo tukio hilo lilitokea usiku wa manane baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.