Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ulituaidi punguzo la umeme lkn matokeo yake imekua ni kisima cha rushwa. Mimi ni mkazi wa arusha nimelipia nguzo pamoja na service line kuanzia mwezi wa kwanza lkn matokeo yake nimeambiwa hili...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Kamati ya bunge ya mali asili na mazingira chini ya mwenyekiti wake mbunge wa shinyanga mjini Mh. Lembeli imebaini kuwa serikali imechukua zaidi ya 600m ambazo hazikuizinishwa na bunge na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwenye mikutano ya Kampeni iliyokuwa inafanyika Arusha mjini kwaajili ya uchaguzi mdogo wa madiwani wa kata nne za Kimandolu,Erelai,Kaloleni na Themi. Mh.Mwigulu Nchemba(Naibu katibu mkuu wa CCM...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Ndugu wana jf wenzangu na wakazi wa arusha mjini,nimeshangazwa na kitendo cha tume ya taifa ya uchaguzi [nec] na ofisi ya mkurugenzi wa jiji la arusha mjini kwa kitendo chao cha kutokupitisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo nimesoma jibu la Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Pereila Ame Silima kwa swali la Mbunge wa Mheza Helbert Mtangi, kuhusu suala la uraia wa nchi mbili, nikaishia kuisikitikia sana...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wandugu naomba mnisaidie kitu kimoja tunasikia meno ya tembo yana bei juu sana, Sasa nauliza haya meno yanayokamatwa yamefikia tani ngapi? hadi leo, Kama kuna soko basi naishauri serekali iyauze...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za majukumu wanajamvi! Mimi mkazi wa Morogoro. Nimemaliza chuo mwaka huu na nimekuako mstari wa mbele katika kusimamia maslahi ya wenzangu niwapo katika msafara wangu wa elimu mpaka...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Pole na majukumu ya kitaifa,mh rais kijiji cha Mtera kina matatizo mengi sana lakini kubwa ni la utafunaji wa fedha za miradi mfano tulikuwa na saccoc ina mtaji wa zaidi ya sh. Milion mia...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
“Tanzania iliingia katika mfumo wa vyama vingi baada ya kuanguka kwa ukuta wa Berlin na kusambaratika kwa ukomunisti Ulaya Mashariki na Urusi. Nchi za magharibi zinazotoa misaada ziliweka...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Mbunge wa Gando,HALIFA S. Halifa,pamoja na mwakilishi wa Gando,wamepokea misaada kwa ajili ya yatima na wajane wa jimbo hilo ikiwa ni maandalizi ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kutoka...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Akizungumza na gazeti la Tanzania Daima juzi kwenye viwanja vya maonesho ya kimataifa ya biashara, jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Fedha, Abdul Dollah, alisema mabadiliko hayo...
0 Reactions
61 Replies
11K Views
WARIOBA AMEJIBU HOJA ZA KUPINGA MAONI YA SERIKALI TATU…AMBAPO CCM NA PROFESA SHIVJI WAMEKUWA WAKIPINGA HOJA HIYO WAKIDAI ITAVUNJA MUUNGANO.. MWENYEKITI wa Tume ya mabadiliko ya Katiba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwigulu anatafuta faida ya kisiasa dhidi ya CHADEMA, kupitia tindikali aliyomwagiwa Tesha ilihali kuna ushahidi wa wazi wa ushiriki wa wanaCCM katika tukio la tindikali? Kama polisi kweli...
4 Reactions
147 Replies
12K Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akiwasili katika mkutano huo kwa helkopta. Wataalamu wa Mabomu kutoka China wamewasili nchini na kuendelea na uchunguzi wa mlipuko wa bomu kwenye Mkutano wa...
7 Reactions
129 Replies
10K Views
Ndugu zanguni, Imepita miaka mitatu sasa toka uchaguzi mkuu uliopita na nadhani sasa ni wakati muafaka kuanza kuwauliza wabunge wa chadema walioutuahidi maziwa na asali kuwa wametuletea nini...
1 Reactions
57 Replies
4K Views
Toka jikoni, TEO wa halmashauri ya mji wa Tunduma AIDANI MWANSHIGA akubali kuweka rehani kazi yake baada ya mhasibu wake ARTHUR KAFANABO kuchukua rushwa toka kampuni ya VIDOBA ya mkazi wa dsm...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
By January Makamba Dear President Obama, Welcome back to Africa – where all humanity began. We have been expecting you for some time. You are visiting the continent at its most...
3 Reactions
77 Replies
8K Views
Ndiyo wakuu ! Kwa taarifa zilizo nifikia muda huu toka kwa Katibu wa cdm wilayani geita, ambaye ni mbunge kivuli jimbo la geita , kamanda Rogers Mwana wa Ruhega ni kuwa yuko polisi geita...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
WANACHAMA wa chama cha wananchi (Cuf ) tawi la Matapwa Jimbo la Mchinga wamekiama chama hicho na kuamia chama cha mapinduzi huku wakiliacha tawi ili likibaki na wanachama wawili akiwemo...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Tanzanite miner at the Mererani mine in northern Tanzania. The mineral audit agency said between 60 and 75 per cent of all tanzanite production is undocumented. Photo/FILE AFP By ADAM IHUCHA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom