Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Nzega mkoani Tabora wamesema wanakusudia kumpeleka mahakamani Mbunge wa Nzega kupitia CCM mh Kigwangala kwa kuwaita wala Rushwa.
Akizungumza na waandishi wa...
Ndio Zanzibar imeamua kubanjua kwa wageni ili iweke sawa bajeti yake. Ministry of State, Finance, Economy and Development of Zanzibar has decided to charge 48 Dollars to all International...
HALI ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na jumuiya zake inazidi kudorora siku hadi siku, ambapo juzi usiku kulitokea vurugu kubwa katika kikao cha Kamati ya Utekelezaji ya Taifa ya Jumuiya ya...
Kwa mlioko Zanzibar nimeambiwa kuwa mzee huyu anahutubia sasa naomba tusaidienei kupata full info maana ni siku nhyingi mzee huyu amekuwa kimya. Sijui nini kimemfanya leo aamue kupanda jukwaani
Ijumaa, Julai 05, 2013 05:07 Na Mwandishi wetu, Zanzibar
*Ni baada ya viongozi wa Serikali kumsusa
*Balozi Seif naye akashifiwa
ZIPO kila dalili zinazoonyesha Serikali ya Umoja wa Kitaifa...
KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana katika kikao cha dharura kwa siku mbili mfululizo, kuanzia tarehe 6-7 Julai, 2013, jijini Dar es Salaam.
Katika muda huo wa...
Tumeona katika sehemu ya kwanzakwamba hofu walizo nazo wenzetu kuhusu uwepo wa Serikali tatu ni zakibinafsi na kimaslahi zaidi na hazina mashiko wala ithibati kwa kuwa jambo lenyewe halijaanza na...
Wazanzibari wanapendekeza ili muungano wa serikali mbili uendelee basi mambo ya muungano yaunganishwe na yale ya SMZ. Tanganyika ibaki na yake. Wanadai bara imefaidi kwa miaka 50 kwa kuwa vile...
Kikao cha kamati kuu ya CCM chini ya mwenyekiti wake rais Jakaya Kikwete kimekaa kwa siri kwa siku mbili mjini Dodoma na kumaliza kikao chake jana na kutoa maadhimio yafuatayo kuhusu rasimu ya...
Minister of State for External Affairs Preneet Kaur will arrive in Tanzania on an official visit July 7-10, during which she will co-chair the India-Tanzania Joint Commission, the Indian High...
Kwamuda mrefu kumekuwepo na kampeni mbali mbali za kupambana na rushwa. Vita hii nakumbuka kuwa imeanza tangu awamu ya kwanza lkn chanzo kikubwa ni wananchi wenyewe pamoja na kuwa serikali...
The outgoing head of the World Trade Organisation Mr. PASCAL LARRY has advised Tanzanians to go for an efficient regulations system if it is to benefit from it's newly - discovered offshore...
Work towards constructing the 600MW gas fired power plant and a 650 km transmission line in Mtwara has started with the major partners starting ground study and selection of equipment for the...
ni baada ya aliyekuwa m/ kiti wa kijiji hicho Mzee Mwaisubi kuelewa maana ya M4C na kuhamia Chadema , ambao bila ajizi wakampa tena nafasi ya kutetea kiti chake dhidi ya mgombea wa magamba aitwaye...
Wadau, hii ni article iliyoandikwa na gazeti la Nwey York Times wiki iliyopita wakati Obama akijiandaa kutua Tanzania.
Ilikuwa na kichwa cha habari kisemacho, VIOLENT EPISODES GROW IN TANZANIA...
Katika hali ya kusikitisha watu saba mkoani Mbeya, jimbo la Rungwe Mashariki, kata ya Kiwira, vijana saba wamejikuta wakisota rumande baada ya kupinga bajeti ya kijiji iliyopendekezwa. Vijana hao...
Katika kuhakikisha kila mtoto mjini Mbeya anapata elimu sawa na wengine wenye uwezo, mbunge kupitia mfuko maalum wa elimu Mbeya amesaidia zaidi ya wanafunzi 200.Na sasa mfuko huo unafanya kazi...
Prof Ibrahim Lipumba amenukuliwa na vyombo vya habari (Mwananchi) akilalamikia rasimu ya katiba kwamba inaiminya Zanzibar kwa kuwapatia nafasi 20 za wabunge wa bunge la muungano huku Tanganyika...
Katika kile kinachoashiria anguko la kisiasa mkoani DSM, CHADEMA kimejikuta kikipoteza wafuasi, wanachama na wafadhili ndani ya kata ya Mianzini ambako waliambulia kura chache katika uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.