Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Maandiko Matakatifu yanasema kwamba HAKI HUINUA TAIFA,BALI DHAMBI NI AIBU!! Nimeamua kutumia maneno haya kutoka ktk Biblia kama kielelezo cha jinsi ambavyo Serikali yetu imeshindwa ktk mambo ya...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Itakumbukwa tulitembelewa na ugeni mzito wa rais wa dunia(Marekani) Obama. Watanzania wanaokaa vijijini walipata tabu sana kupata angalau kumwona kwa njia ya luninga lakini walishindwa, na hata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani tusaidiane, ni mara nyingi sana CDM wakitaka kuundwa kwa tume ya Kimahakama inapotokea mauaji ya raia. Binafsi sielewi tume hii tofauti yake na tume zingine, Je rais hawezi kuingilia...
1 Reactions
1 Replies
834 Views
Dogo Mnyika uso kwa uso na Balille+Rostam Aziz Katika hali inayoashiria kwamba sasa mambo yaliyonyuma ya pazia yanaanza kujitokeza hadharani. Dogo Mnyika ameanza kugongana vichwa na...
2 Reactions
122 Replies
17K Views
Waziri mkuu mstaafu amewataka vijana kutokubali kuwa maadui kwa sababu ya itikadi ya vyama. Aliwaambia vijana kuwa kuna watu ambao sasa wanatumia tofauti ya itikadi tofauti ya vyama kama uadui na...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Hivi huu unaoitwa "utaifa" kwanini hatusemi na CCM wauoneshe? CHADEMA imekuwa ikipigania Bungeni na nje ya Bunge kwa Rais Kikwete kuunda Tume ya Kimahakama (Judicial Inquiry Commission) ili...
28 Reactions
74 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa CCM kwa kinywa cha Nape wanataka katiba isitaje UWAZI kama tunu ya Taifa.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
huyu mzee shivji ameichambua rasimu ya katiba leo kuhusu muundo wa serikali tatu na mengine mengi...huyu mzee angekuwa kwenye tume ya katiba angetoa ushauri mzuri na kwa upande mwingine uwenda...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
wana JF Jana nilikuwa mkoani Tabora nilikoenda kumsalimia kamanda Kileo na watuhumiwa wenzake wanaoshtakiwa kwa makosa ya ugaidi ya kummwagia tindikali Musa Tesha kipindi cha uchaguzi mdogo wa...
3 Reactions
106 Replies
9K Views
  • Closed
KANISA KUELEKEA RASIMU YA KATIBA MPYA 2013 KANISA KUELEKEA RASIMU YA KATIBA MPYA 2013 Imetolewa na Jopo la Biblia ni JIbu BIBLIA NI JIBU P.O.Box 25535 DAR ES SALAAM...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana JF na wabunge ; Wakati wa bajeti bunge lilipitisha shilingi 50/= IONGEZWE KATIKA GHARAMA ZA SIMU ILI HIZO FEDHA ZISAIDIE RURAL ENERGY (REA) ; KUTOKANA NA OBAMA KUSIKILIZA KILIO...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MADAI ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Gairo, Omar Awadhi kwamba amemwagiwa tindikali, yameibua utata baada ya kubainika kuwa hakukuwa na tukio la aina hiyo. Taarifa za...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Sina uhakikika kama viongozi wangu wakuu wa nchi wameitumia vema fursa hii ya kutembelewa na wageni mashuhuri kama Obama, Bush, Michelle Obama, Laura Bush, na Rais wa China. Nilichosikia mimi cha...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ziara ya obama hapa nchini pamoja na mambo mengine imewapa wanasiasa wetu fundisho kubwa sana na la msingi.kwamba linapokuja suala linalogusa maslahi mapana ya taifa letu basi tuweke kando maslahi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
WAKUU NDANI HABARI...... Nimekaa nikawaza sana siasa za Arusha kiujumla, ikaniuma na nikapata hoja hii hapa TANGU Mulongo kuingia Arusha kwa kazi maalumu aliyotumwa na wakubwa zake ya kuua...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
  • Closed
Jumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar ZIARA YA OBAMA NI MAANGAMIZI KWA AFRIKA NA UBINADAMU Rais Barack Obama wa Marekani, mtumwa wa mabepari na matajiri wakubwa, mtumishi duni...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Niliwahi kuleta thread hapa jamvini kuhusu milipuko iliyotokea Gongo la Mboto kusababishwa na kikundi cha Alshabaab. Nimeitafuta thread hii sijaiona kabisa. Leo hii taarifa za vyombo vya usalama...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
DIWANI WA KATA YA NDULI,ALIYEJIMILIKISHA KATA YOTE YA NDULI NA WANANCHI WOTE NA KUWA NA HATI MILIKI YA ENEO HILO,NA HATA KUWATUMA WATOTO WAKE WA KUZAA MWENYEWE WAVAMIE MKUTANO WA CHADEMA NA...
13 Reactions
191 Replies
15K Views
Kwa wenye Mamla ya kuondo uzi hapa JF naomba msiichanganye uzii huu na mwingine Tafadhali. Moja ya sifa ya kiongozi ni kufuata na kutii sheria. Kutii sheria ni pamoja na kuitikia wito wa...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Tanzania kuna wana siasa wengi nadhani kuliko nchi yoyote ile duniani, kila mtu either ni mwana siasa au anatamani kua kiongozi. Namna hii hatutafika kwakweli, tupeane nafasi wenye vipaji vya...
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Back
Top Bottom