The great flood of tears that we've cried
For our brothers and sisters who've died
Over fifty years
Has washed away our fears
And strengthened our pride
Now we turn back the tide
We will no...
Wakazi wa Kawe wamejikuta katika wakati mgumu na kujuta kwa maamuzi waliyo yafanya mwaka 2010 katika uchaguzi mkuu. Kwa kilio chao kilianza hapo kwa kuwa walimuweka mmoja wa wamiliki wa saccoss...
Ni Muda Mrefu sasa umepita Tangu lile saga la Richmond lifukute Bungeni ambalo lilipelekea kujihudhulu kwa aliyekuwa waziri mkuu wa Kipindi hicho ndugu Edward Lowassa.
Ujio wa Rais Obama nchini...
Bofya link ifuatayohapo chini kudondosha sahihi yako
:msela:Wito kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Petition:msela:
Pinda azidi kubanwa kwa kauli yake
Wanaharakati wameandaa...
Ni lowasa 2015
hali iliyotokea jijini mwanza kwa wamachinga kuimba rais rais kila lowasa alpokuwa akiwahutubia inaonyesha pcha kuwa kwa sasa chaguo sahihi la watanzania ni lowasa ndan na nje ya...
Wana Jf,
Muda huu tunavyozungumza, kikao cha mkuu wa mkoa Mulongo madereva wa Noah imeisha hapa Ngaramtoni Arusha. Kikao hiki kimeratibiwa na Rama wA ccm, lengo lao ni hawa madereva wa Noah...
Ktk kikao cha siri kilichofanyika leo ngaramtoni wamekubaliana kufanya maandamano ya kuupinga uongozi wa chadema arusha yaani mbunge wa arsha g lema kwa kile wanachodai kuwa mji umepoteza watalii...
A Question from Ms Christine from NBC News to President Kikwete during the Obama's press conference at Ikulu in Dar es Salaam yesterday
"President Kikwete, Did you discuss with president Obama...
MBINU zinazosukwa na vigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa na Naibu Katibu Mkuu (Bara), Mwigulu Nchemba ili kukidhohofisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jijini Mwanza...
NJANO5 NA SIASA.
Akili ya mtu nywele zake, siasa ni mchezo wa KUSHINDA hata kama hukiamini kile unachokisimamia na kukitangaza hadharani. Kwa kuzingatia "IMANI" mahala pake MOYONI na kwa...
Mm nikiwa kijana mdogo mwenye elimu ya chuokikuu cha daresaalam nikiwa nimejipanga kuwa mgombea urais mwaka 2015 nitawashinda wagombea wa chadema hata kama akiwa dr na ccm kwani mm ni muadilifu...
Ndugu zanguni,
Sidhani kama kuna mtanzania anayekichukia CHADEMA, mimi naamini wengi wanaipenda sana CHADEMA lakini tatizo ni sera mbovu na mbinu chafu zinazotumiwa na viongozi wake ili...
Na Miza Kona-Maelezo Zanzibar
Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imeendelea na msimamo wake wa kuwahahakikishia Wazanzibari kuwa itasimamia na kuyatekeleza matakwa yao watayokubaliana katika...
Huyu bwana mh. anapenda sana kujionyesha tena si ktk kujenga anajionyesha ktk kujamiiana, ktk maeneo yote ya kijaamii yumo analolifanya ni kueneza maneno si kazi na maendeleo: sina cha...
I really liked this when I read and thought this should come from our Mouth: Not sure of the Author but the Web is Authentic: 10 Fun Facts about Tanzania
Tanzania is just a little bit more than...
Haya ni baadhi tu ya mafaniko ya CHADEMA ambayo watanzania wengi watajuvunia tokea kipindi cha Kuanzishwa kwa Vyama Vingi vya Siasa.
Ni mafanikio ambayo hayawezi kupingwa na Mtanzania yeyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.