Ushauri : CCM na CHADEMA wakae meza moja wayamalize diplomatically

Ushauri : CCM na CHADEMA wakae meza moja wayamalize diplomatically

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Nahisi kuna haja ya majadiliano kwa hivi vyama viwili kwani chuki na uhasama unakua kama moto wa kifuu naogopa mmjawapo akiamua kulipa kisasi kwa jinsi mambo yamekua yakienda kisiasa ndipo ushauri wangu ni muhimu
 
Kimsingi watu wanahasira sana ck wakiamua kulipizana kisasi hatabaki mtu
 
Wala hawana haja ya kukaa meza moja,bali kwa CCM kukubali upinzani kwa moyo mmoja na kuona upinzani siyo uadui.Pili kuacha kutumia vyombo vya dola ili kupunguza makali ya upinzani,kamawalivyokubali kuwa na siasa ya vyama vingi basi wakubali pia kushindwa kwenye maeneao waliyokuwa wanatawala wao(CCM).
Tatu kufanya siasa kama mpira wa mguu kama vile Simba na Yanga na kuweka mazingira huru ya kila mwananchi kuamua kuwa mwanachama wa chamachochote cha siasa.
Na ya mwisho kuwaelimisha viongozi wake kuhusu siasa za vyama vingi.Na mengine yote yatakuwa historia.
 
Naunga Mkono hoja. Zile busara za kumshauri Kagame akutane na wapinzani wake zionekane zikifanyiwa kazi hapa nyumbani Tanzania.
 
wala hawana haja ya kukaa meza moja,bali kwa ccm kukubali upinzani kwa moyo mmoja na kuona upinzani siyo uadui.pili kuacha kutumia vyombo vya dola ili kupunguza makali ya upinzani,kamawalivyokubali kuwa na siasa ya vyama vingi basi wakubali pia kushindwa kwenye maeneao waliyokuwa wanatawala wao(ccm).
Tatu kufanya siasa kama mpira wa mguu kama vile simba na yanga na kuweka mazingira huru ya kila mwananchi kuamua kuwa mwanachama wa chamachochote cha siasa.
Na ya mwisho kuwaelimisha viongozi wake kuhusu siasa za vyama vingi.na mengine yote yatakuwa historia.
nakuunga mkono mkuu
 
toa upuuzi wako wewe

Nahisi kuna haja ya majadiliano kwa hivi vyama viwili kwani chuki na uhasama unakua kama moto wa kifuu naogopa mmjawapo akiamua kulipa kisasi kwa jinsi mambo yamekua yakienda kisiasa ndipo ushauri wangu ni muhimu
 
Huwezi kukaa meza moja na muuaji.Hata KAGAME kamkatalia Kiwete.CCM WAUAJI TUNATAKA WATUUE WOTE WASHENZI WALE kama kwelio wao ni wauaji watumalize watanzania wote
 
Nahisi kuna haja ya majadiliano kwa hivi vyama viwili kwani chuki na uhasama unakua kama moto wa kifuu naogopa mmjawapo akiamua kulipa kisasi kwa jinsi mambo yamekua yakienda kisiasa ndipo ushauri wangu ni muhimu

Chadema wakakae Meza moja na magaidi...?
 
Nahisi kuna haja ya majadiliano kwa hivi vyama viwili kwani chuki na uhasama unakua kama moto wa kifuu naogopa mmjawapo akiamua kulipa kisasi kwa jinsi mambo yamekua yakienda kisiasa ndipo ushauri wangu ni muhimu
kaka kumbuka mambo ya nccr mageuz 1995 yalikua zaid ya sasa akna mrema hawakuwa oportnst wa busnes kama kna mbowe anayepewa tenda na lowasa
 
Nahisi kuna haja ya majadiliano kwa hivi vyama viwili kwani chuki na uhasama unakua kama moto wa kifuu naogopa mmjawapo akiamua kulipa kisasi kwa jinsi mambo yamekua yakienda kisiasa ndipo ushauri wangu ni muhimu

hakuna cha meza moja wa kiti kimoja hapo suala ni kuwavumilia wamalize muda wao 15 walite baba ya lifisadi tunawe mikono ,, hawa tayari wa kwetu hakuna haja ya mahati..kwenye daftari wa kujiandikisha vijana wahimizwe wajiandikishe kwisha habari yao ... Then kila mmoja kadri ya matendo yao ahukumiwe na nashaur ziundwe mahakama maalum mbili kwa hawa wauaji after freedom moja mtwara na nyingine arusha
 
Mtoa mada, hakuna cha kukaa meza moja wala nini.
CCM tumewachoka.
Waondoke tu.
 
Nahisi kuna haja ya majadiliano kwa hivi vyama viwili kwani chuki na uhasama unakua kama moto wa kifuu naogopa mmjawapo akiamua kulipa kisasi kwa jinsi mambo yamekua yakienda kisiasa ndipo ushauri wangu ni muhimu

Kakpjoe ukalale usiku umeingia kijana
 
Wala hakuna haja ya kukaa meza moja na ccm, wasije kununua chadema kikaja kuwa ccm "D" bure.chadema ni wapinzani halisi so hawatakiwi wakae meza moja na ccm hata siku moja.m4c iendelee kutwanga kotekote.mleta uzi utakuwa umetumwa na magamba wenzako.pole yako wewe kachukuwe buku 7 yako ukafie mbele.
 
Hakuna haja ya majadiriano,CHADEMA wakithubutu kucompromise na ccm katika namna yoyote ile wasirudi kwa wananchi tutawafanya kama mishikikaki.

Sisi wananchi wenyewe tunatambua kwamba baada ya kuilea ccm,na kuipa nguvu,na mamlaka kwenye akiri zetu tumeifanya imekuwa kipofu,kwanza haiwezi kuyaona hata haya mnayojifurahisha nayo hapa.

Mtu yeyote anayeyatafakari mambo yanavyokwenda katika Taifa letu toka enzi za mrema na wenzake pamoja na wakina lipumba anaelewa vizuri kwamba ccm haitaondoka madarakani kama ambavyo tanu ilikabidhiwa dora hii na wakoroni weupe,haiwezi kukubari hasirani.unaongea nao nini watu wa namna hii.

Kwanza wakajadiriane nini?
 
Sidhani iwapo mauaji yaliyotokea Arusha ni suala la kuongea na kupatana bali hili ni suala la kisheria ili wale wote walioua wafikishwe mahakamani! Kukaa meza moja maana yake nini?
 
Waakuu chuki ikizid huzaa mauti unadhani mahakama ni huru think twice
 
Nuru na Giza havina ushirika, Haki na Uovu hazina mapatano, Mungu na Shetani hawawezi kukaa meza moja na kupatana.
CHADEMA na CCCM haviwezi kukaa meza moja.

CCM ni chama cha kishetani kipo kwa ajili ya kuiba, kutesa na kuua watu.
 
Back
Top Bottom