Mabomu Manzese

Mabomu Manzese

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,254
Reaction score
10,252
Wakuu JF.

Kuna jamaa yangu ananiambia kuwa Polisi wanatekeleza Maagizo ya Pinda kwa Kuwapiga Wa Machinga Manzese kwa Mabomu Mchana huu.
Naendelea kufuatilia kwa Ukaribu.
Kwa wenye Info zaid Karibuni.
 
Duh!

Yaani huo ndio mwisho wa kufikiri wa serikali ya CCM. Na mpangaji wa lile jumba yupo kwao week end anangoja kesho kuwa refa uwanja wa Taifa!!

Nashawishika kuamini kwamba, jamaa katuzira kiasi kwamba hataki kujishughulisha na kazi aliyoiomba. Ndio maana Dr. alisema nchi haita tawalika kumbe maana yake ndio hii.

Jamaa yangu wa karibu na mjengoni anasema Mwiguli ndie anaeongoza KIJIWE.
 
Naona tunakoelekea polisi wakiua jambazi mrasema wameua raia mwema manake nadhani mnataka polisi wawe kama masista wa kanisani, FULL HURUMA
 
Chilisosi...ujinga peleka lumumba..watu wanajadili maisha unaleta upuuzi wako mshenzi sana wewe.
 
Last edited by a moderator:
Chilisosi...ujinga peleka lumumba..watu wanajadili maisha unaleta upuuzi wako mshenzi sana wewe.
Siku vijana wa kazi wakikuvamia kwako usiwaite polisi kwa sababu wanaweza kuwapiga virungu jambo ambalo wewe hulipendi
 
Chilisosi...ujinga peleka lumumba..watu wanajadili maisha unaleta upuuzi wako mshenzi sana wewe.
Mkuu ferre.g huyo jamaa mi nilishaacha siku nyingi kusoma nyuzi zake kwani nasikiaga kinyaa. Nikiona tu jina lake napitishaga cuser shaaa.
 
Last edited by a moderator:
Naona tunakoelekea polisi wakiua jambazi mrasema wameua raia mwema manake nadhani mnataka polisi wawe kama masista wa kanisani, FULL HURUMA
chilisosi weeeeee! watu wanapenda sana kukulamba na chps,amakweri chilisosi unaliwa sana.
 
Moja ya bomu la machozi lililotua jirani na nyumbani kwangu ...na kusababisha mtafaruku...manzese chama.....police waliikua wanayapiga tuuu...no mipango.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1373126905464.jpg
    uploadfromtaptalk1373126905464.jpg
    122 KB · Views: 137
  • uploadfromtaptalk1373126926078.jpg
    uploadfromtaptalk1373126926078.jpg
    68 KB · Views: 121
  • uploadfromtaptalk1373126940434.jpg
    uploadfromtaptalk1373126940434.jpg
    76.9 KB · Views: 102
  • uploadfromtaptalk1373126954617.jpg
    uploadfromtaptalk1373126954617.jpg
    89.7 KB · Views: 84
  • uploadfromtaptalk1373126969869.jpg
    uploadfromtaptalk1373126969869.jpg
    98 KB · Views: 102
  • uploadfromtaptalk1373126982915.jpg
    uploadfromtaptalk1373126982915.jpg
    68.1 KB · Views: 104
Back
Top Bottom