Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,416
HEBU TUANGALIE MTIRIRIKO WA MATUKIO HAYA AMBAYO YALIFUATIWA NA MATAMKO TATKA YA CHADEMA
1.Tukio: Matukio la Gazeti la MWANAHALISI la kuchapisha taarifa iliyodaiwa kuwa ni mazungumozo kati ya ZITTO kabwe na aliyedaiwa kuwa ni kiongozi wa chombo mojawapo cha ulinzi nchini na lile la Mabere marando kutaka kwenda mahakamani kuomba namba za simu za watu aliodai kuwa walihusika na kutengenezwa kwa video ya BUKOBA BOY, namba amazo hata hivyo zingine zilikuwa siyo za watu ambao aliwataja kuwa ndiyo wanaozimiliki.
Tamko tata la CHADEMA: Kupitia kwa MABERE MARANDO CHADEMA wakasema wamenasa taarifa za CCM kununua nchini ISRAEL mitambo ya kuingilia mawasiliano ya simu.
Swali: Hizi taarifa za mazungumzo ya ZITTO na waliyedai kuwa ni kiongozi wa chombo cha ulinzi walizipataje kama siyo kuwa walikuwa na mItambo wa kuingilia mawasiliano ya watu? Hizi namba za simu alizodai kwenda kupata ufafanuzi wake kuhusiana na video ya LWAKATARE alizipataje kama siyo kuwa wana hii mitambo ya kuzinasa?
2. Tukio: Kutekwa na kuteswa kwa Ulimboka Stephen na gazeti la Tanzania Daima kuchapisha watoto wakiwa wamevalia sare za CCM na kubebeshwa silaha. Gazeti la MWANAHALISI likanukuliwa limechapisha habari kuwa miongoni mwa watu waliomteka ULIMBOKA walikuwa wamevalia sare za polisi na walisikika wakiitana afande.
Tamko tata la CHADEMA: "TUMEGUNDUA KUWA CCM WANATAKA KUINGIZA SHEHENA YA SARE ZA CHADEMA ILI WAZITUMIE KUFANYA UHALIFU"
mtazamo wangu: CHADEMA wanazo sare za polisi na hata namba za magari ya polisi na pengine tayari walishaingiza sare za CCM nchini na kuwavalisha wafuasi wao katika matukio ambayo wanadai yametekelezwa na greenguard.
3. USHOGA: CHADEMA ndiyo walikuwa wa kwanza na ndivyo inafahamika kuwa wana-ushirika na vyama vingine vya siasa kutoka nchi za magaribi ambavyo vinaunga mkono ushoga lakini ni jambo la kushangaza kuwa CHADEMA wameamua kuhamishia hiyo sera yao kwenda kwa CUF na kubebea njuga jambo hilo tena kupitia chombo cha kutunga sheria na hata vyombo vya habari ili mradi tu ionekane wamejivua.
Yapo matukio mengi sana ambayo CHADEMA wametekeleza ambayo yanahatarisha amani ya nchi lakini, kwa vile wameshagundua kuwa propaganda zao zinakubaliwa na watanzania wachache ambayo hawataki kuona amani ya nchi yetu inadumu pengine kutokana na kuwa na matarajio ya kupata kitu endapo CHAMA hiki chenye hila na propaganda chafu kitaingia madarakani wanaamua kupanda majukwaani na kukimbilia kwenye vyombo vya habari na kudai kuwa ni CCM au serikali.
Binafsi nitabaki kuamni kuwa CHADEMA ni chama chenye hila, propaganda chafu, ni chama ambacho viongozi wake wana historia chafu katika jamii wanazotoka na wanatumia chama kuficha madhambi yao, ni chama ambacho kinajaribu kuwapotosha vijana na kuondoa kabisa ule utamaduni wa mtanzania uliokuwepo wa kuheshimiana wakubwa na wadogo.
Hakika hata kama chama hiki kitapata ridhaa ya kushika dola binafsi nitakuwa wa kwanza kutoitii serikali hiyo siyo kwa sababu nimeishiwa uzalendo, la hasha, ni kwa sababu nimetafakari sana mbinu zinazotumiwa na viongozi wake kuusaka huo uongozi na kuziona kama si za kiungwana na kwa maana hiyo hata wakiingia madarakani itakuwa ni serikali yenye hila, majungu , serikali itakayotaka kuwafurahisha wananchi wake kwa kuwaonea wangine kumbe ni mafisi makubwa.