Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Meya wa jiji la Arusha Ndg. Lyimo, anamiliki kampuni ya Ujenzi ya GAIMO Contractors. Anajipa Tenda za kujenga majengo na barabara mbalimbali za Arusha. Mfano: Barabara ya Kutoka Round about ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
RAIS Jakaya Kikwete amesema hakumteua Edward Lowassa kuwa Waziri Mkuu kwa sababu ya urafiki wao bali kwa sababu ya ufanisi wake. Kikwete ameyasema hayo kupitia kitabu chake cha JK: A Political...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Habari Zenu, Hii ni video ya mashambulizi kule Kivu-DRC. Huyu Kanali wa Special Forces wa FARDC(Jeshi la DRC), Col. Mamadu Ndala, anasema kama MONUSCO ( tukumbuke kama ni JWTZ na SANDF, na Malawi...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
DR Congo army which has been accused of bombing western part of Rwanda (file photo). Rwanda Ministry of Defence has issued a statement indicating that Rwanda was...
0 Reactions
2 Replies
926 Views
SUALA la nafasi ya meya wa jiji la Arusha limechukua sura mpya, baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kudai kuwa sio ajenda yao ya sasa. Kauli hiyo ilitolewa na Katibu wa Kanda ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Msajili wa vyama vya siasa John Tendwa aking'arisha chama cha CHADEMA kwa kushindwa kukiadhibu chama cha CCM kwa kuunda kundi la Green Guard na kutaka kukiadhibu chama cha CHADEMA kwa kuunda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TAIFA LA WADOKOZI, WEZI, WASALITI, WAZUSHI, WAONGO KAMWE HALIWEZI KUSONGA MBELE KWA KAULI ZA BIG RESULT NOW! Taifa letu sasa linatimiza miaka 52, ni miaka mingi na michache kulingana na mitazamo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wana JF,leo nimemsikiliza Mtela Mwampamba kwenye kipindi cha HOT MIX EATV moja ya maelezo yake alisema shughuli zinazomuingizia kipato kwa sasa nazo ni: 1.Ameajiriwa na CCM hivyo anapata...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ufisadi ujio wa marais *Hazina yatumia Shilingi bilioni 8 *‘Wajanja’ watafuna mamilioni *Vifaa vya Obama vyaokoa jahazi *Vinyago vyagharimu Sh milioni 30 *Sare, mikoba, vyagharimu mil. 400/-...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Kamwe dharau,kejeli na matusi yanayoendelea kutolewa kuhusu kauli za Lipumba hazitosaidia lolote zaidi ya kuzidisha ufa katika taifa lililogawika siku nyingi ingawa hali hiyo imefichwa sasa mambo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna habari mpya ambayo nimeinasa hivi punde kwenye wavuti wa Tanzania Daima, ambayo imechapishwa kwenye toleo la Ijumaa, 19 Julai 2013, yenye kichwa cha habari Bilal kuwaweka kitimoto watendaji...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Mabomba ya kusafirisha gesi yatua Mtwara Meli kubwa kutoka China tayari imetua katika Bandari ya Mtwara kwa ajili ya kushusha mizigo ya mabomba ya gesi ili kuanza kwa kazi ya ujenzi wa bomba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna tetesi kwamba mishahara haina mabadiliko makubwa, ama marekebisho ya maana kwa watu wanaoendelea kuteseka na hali ngumu ya maisha. wakati mafuta yakiwa juu, gharama za simu juu, chakula na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukifuatilia kwa makini mwenendo wa maisha ya hapa TZ kuanzia kiuchumi, kijamii, kisiasa na kifamilia zaidi utashindwa kulocate wapi tulipo exactly. taifa la marekani lina malengo yake ya muda...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Imeandikwa na Na Charles Mullinda|Alhamisi, Januari 17, 2013 06:16 - *Serikali yadaiwa kuchakachua bei halisi ya ujenzi *Gharama za mradi huo zimeongezwa maradufu *Zitto Kabwe adai kuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe amesema haoni msingi wa wasafiri kulipa kiingilio cha sh 200 kwenye Stendi kuu ya Mabasi yaendayo mkoani cha Ubungo (UBT)
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo,Rais wa TFFNdugu Leodgar 'Chilla' Tenga ametangaza Kamati mbalimbali zitakazotawala ndani ya TFF. Katika Kamati zote,Wanasheria wameteka kuanzia Uenyekiti hadi ujumbe wa kamati husika...
0 Reactions
1 Replies
807 Views
HONGERA CCM ARUSHA HONGERA WANA WA ARUSHA
16 Reactions
134 Replies
11K Views
Uganda Judicial Stacking: President Museveni
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Back
Top Bottom