John Tendwa Aing'arisha CHADEMA

John Tendwa Aing'arisha CHADEMA

kabhakulu.com

Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
70
Reaction score
8
Msajili wa vyama vya siasa John Tendwa aking'arisha chama cha CHADEMA kwa kushindwa kukiadhibu chama cha CCM kwa kuunda kundi la Green Guard na kutaka kukiadhibu chama cha CHADEMA kwa kuunda kikundi cha Red Brigade.



Bila msajili huyu kufahamu kuwa anakidhoofisha Chama cha CCM kwa uonevu huu anaoufanya juu ya chama cha CHADEMA unawapa mwangaza raia wema kuzidi kukipenda chama hicho.
 
Back
Top Bottom