'Mashujaa' hawa ndio walioipa CCM 'Ushindi wa kishindo' Arusha...

'Mashujaa' hawa ndio walioipa CCM 'Ushindi wa kishindo' Arusha...

Rose Mayemba

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2012
Posts
721
Reaction score
1,017
HONGERA CCM ARUSHA

HONGERA WANA WA ARUSHA

992814_508888975850421_972006896_n.jpg
261860_508889015850417_1432131954_n.jpg
 
Nawapenda sana Juliana na Mwampamba. Si tumeamrishwa tuwapende majirani zetu kama nafsi yetu kwa ajili ya Mungu wetu?

Nawaombea wapate mwanga wa uzima ili wapate funguka akili na kutubu dhambi zao za kuwasaliti Watanzania, wana wa Mungu. Amin Amin nawaambia!
 
Wanamereta kweli kweli. Hiyo inakuthibitishia kuwa ni washika pembe waadilifu.

Mwigulu kiboko.
 
Hivi Arusha mmeshinda nini? viti vyenu wenyewe?

mmenunua shahada mpaka mkanunua za ccm zetu poleni sana ukiiba sana mwishowe unajiibia,cdm ni sera ccm ni kununua shahada sasa red brigade inawasumbua na bado 2015 jino kwa jino mkiua tunaua,mkijeruhi tunajeruhi sasa basi tu(tutawapiga na tutawaambia red brigade wawapige na wawapige sanaPINDA THEORY)MTAJIJU
 
Tulisema lakini....waendelee hivyo hivyo kuimalizia CCM.....
 
mmenunua shahada mpaka mkanunua za ccm zetu poleni sana ukiiba sana mwishowe unajiibia,cdm ni sera ccm ni kununua shahada sasa red brigade inawasumbua na bado 2015 jino kwa jino mkiua tunaua,mkijeruhi tunajeruhi sasa basi tu(tutawapiga na tutawaambia red brigade wawapige na wawapige sanaPINDA THEORY)MTAJIJU

bavichaa utawajuwa tu.
 
Back
Top Bottom