Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa, hana mamlaka yoyote ya kukifuta chama hicho.
Mbowe amesema...
Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania ,
Rasimu ya Katiba Ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. 2013.
Sura ya Kwanza
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sehemu ya Kwanza . Mipaka,Alama,Lugha,Utamaduni...
Utamaduni wa taasisi nyingi hapa nchini wa kukataa kuwajibika pale makosa yanapofanyika, badala yake lawama zikaelekezwa mahali pengine pasipohusika, sasa unaonekana kama jambo la kawaida. Ni...
Wadau.
Tunajifunza kulingana na makosa.
kuna vyama vingi viliyofanya ukombozi wa nchi zao kutoka kwa wakoloni katika bara la afrika kama ZANU PF,KANU,FLELIMO,ANC,CCM nk. lakini baadhi ya hivi...
Wana JF,
Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema) kimetumia zaidi ya milioni 950 katika uchaguzi wa kata nne Arusha.
Chadema wanasema Arusha ndiyo ngome yao kulikuwa na haja gani kutumia...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAREHE 18/07/2013
Mhariri
CUF TUNASHANGAZWA NA JINSI SERIKALI INAVYOSHINDWA KULICHUKULIA HATUA GAZETI LA TANZANIA DAIMA KWA KUENDELEZA UCHOCHEZI WA KIDINI...
Leo magazeti mengi yamebeba vichwa vya habari kuwa CCM inapinga tozo la simu la shilingi 100 kila mwezi kwa kila simu iliyosajiliwa. Kwangu mimi huu ni usanii, unafiki na hadaa kubwa kwa...
Wadau mie sio siri nimekwazika kwa sababu naamini Nyerere kaifanyia makubwa Africa kuliko hata Mandela, nimeshangaa hawa UN Nyerere wetu hata hapati merit yoyote eti kapewa Mandela, Nyerere...
Kwa jinsi hali ya uchafu ilivyokithiri ktk miji yetu, ni muda sasa umefika kwa serikali kuona umuhimu wa kuanzisha wizara ya usafi na mazingira. japokuwa kuna city cancel lakini inaonekana dhahiri...
Ndugu zangu, kama wengi wenu mnavyojua MADA iliyoshika kasi hvi sasa na ambayo imezua mjadala mkubwa sana miongoni mwa wananchi na hata wabunge ni kuhusu kodi ya laini ya simu ya Tsh 1000/-...
Mizengo Kayanza Peter Pinda msafara wake umepata ajali huko mkoani Ruvuma na kusababisha magari 6 kuharibika vibaya likiwemo gari lake yeye mwenyewe.
Msafara wa Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda...
Nimelazimika kuamka na thread hii japokuwa labda kuna wengine ambao wameshaandika sana juu ya hili lakini haitufungi kuendelea kulitolea ufafanuzi ili kuonesha uzito wake.
Suala la Rasimu ya...
Wamenona kweli kweli, siha zao c haba, mutukari zao ni fii x fii 8, visim vyao ni kuanzia dolari mia 5, focha zao ni elfu kumi kumi, misosi yao ni uma na kisu na karatasi inaitwa tishu, usiniulize...
Serikali ilipiga marufuku uchochez wowote kwa maswala ya kidini. kinachonishangaza bado kuna kikundi hakitaki kukubaliana na maamuzi yaliyofikiwa. Uunzaji wa CD na DVD za uchochezi umeanza tena...
Ukimya wa vyombo nilivyovitaja hapo juu kuhusu uchochezi wa kidini uliofanya waziwazi na Mwenyekiti na Mgombea mzoefu wa urais wa CUF na baadae kiongozi mwingine mwandamizi wa CUF, ni homework...
Baada ya kumaliza kadigrii kangu Mtwara sasa niko kijijin Itumbiko wilaya mpya Kakonko-Kigoma na ninafanya kazi ya kuongeza wanachama wa CHADEMA kama ifuatatavyo;
1. Kutembelea nyumba hadi...
Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kimshukuru mungu kwa kunijaalia afya nzuri. Pili niwapongeze na kuwapa pole ndugu zangu waislaamu kwa mfungo wa Ramadhan.
Nije kwenye mada kuu, unajua...
Na Gideon Mwakanosya,Songea
WAANDISHI wa habari wawili wawakilishi wa vyombo vya habari tofauti mkoani Ruvuma wamefukuzwa kawenye ziara ya waziri mkuu wa Jamhuri wa Jamhuri ya Muungano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.