Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,748
- 290,600
Kama kuwekewa nguzo inachukuwa nusu mwaka , je huo umeme unaotaka kuuza nje ya nchi utaupeleka kwa Digitec ? This is toomuch bhana ! Hivi hakuna namna ya kuishindanisha TANESCO na wengine ili kuharakisha huduma? Mambo KAMA haya yalikuwepo sana TTCL , unasubiri kufungiwa simu muda mrefu sana , lakini kilichowakuta si umekiona ?