Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi ni mkazi wa Ubungo na nipo ndani ya kata hii kwa zaidi ya miaka mitano sasa.Jambo la kusikitisha kuna mtu anaitwa Boniface ambaye ndiye diwani wetu lakini wananchi wa huku wameshasahau sura...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Waziri wa Miundo mbinu na Mawasiliano Rashid Seif Suleiman Na Ali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Moses Machali na Felix Mkosamali walikuwa wanachama na viongozi waandamizi wa CHADEMA hadi uchaguzi mkuu wa 2010 unakaribia kufanyika. Wote wawili waliondoka CDM na kujiunga NCCR walikogombea...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Katika hali ya kushangaza diwani wa katata peramiho amemtaka afisa elimu sekondary wa wilaya ya songea vijijini kumuhamisha mada moja mwalimu mmoja wa sile ya sekondary Namihoro iliyopo katika...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Nassari alinusurika kutekwa siku ya ijumaa usiku tarehe 14 Juni 2013, siku 2 kabla ya tarehe ya uchaguzi wa madiwani uliofanyika tarehe 16 Juni siku ambayo alipigwa na kuumizwa vibaya na kupelekea...
15 Reactions
106 Replies
11K Views
*Ni wa CCM na Chadema Kanda ya Ziwa WABUNGE wawili wa Kanda ya Ziwa, wameingia katika mzozo wa kugombea shilingi milioni moja. Wabunge hao ni Lameck Airo wa Jimbo la Rorya mkoani Mara (CCM) na...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Benard Membe ndiye South African Countries Chief Observer (Mwangalizi Mkuu wa Uchaguzi) kwenye uchaguzi mkuu wa leo nchini Zimbabwe ambapo MDC cha Morgan na ZANU PF cha Mugabe vinamenyana vikali...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mkuu wa kikosi cha kulinda amani katika mji wa Goma nchini Congo Brigedia Mwakibolwa amewathibitishia watanzania kuwa hakuna mwanajeshi wa JWTZ anayeshikiliwa na kikundi cha M 23. Kumekuwa na...
1 Reactions
46 Replies
7K Views
WATU tisa wakiwamo askari polisi wawili wa Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam wametiwa mbaroni wakiwa na meno 70 ya tembo (sawa na tembo 35). Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Ndugu wanaJF, huu ni mtazamo wangu lakini unaangalia kwa kina zaidi swala la katiba mpya ya serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania. Muungano maana yake ni kitu zaidi ya kimoja vinaungana kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mjadala wa Katiba mpya. Yupo Kibamba, Mama Akilimali na mwongozaji Mwaipaya. Karibu. Radio One
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mjadala wa Katiba - live. Yumo Kibamba na Mama Akiliamali, wakiongozwa na Mwaipaya. Source. RADIO ONE
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JUMANNE, JULAI 30, 2013 05:48 NA DEBORA SANJA, DODOMA *Awataka polisi wasitumie nguvu kubwa kudhibiti raia MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, amelitaka Jeshi la Polisi...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
MAONI JUU YA RASIMU YA KATIBA MPYA. 1. Kwa vile maoni yaliyokusanywa na tume ya katiba kutoka kwa wananchi yalikuwa mengi na yote yasingeweza kuingizwa kwenye rasimu, naomba kupendekeza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naibu spika Job Ndugai tambua malengo na wajibu wa ofisi yenu. Kama Bunge limeshindwa kusimamia serikali ni muda wa kuwajibika. Kuwa MP haimaanishi ukiuke haki za wengine! UAMUZI wa Kituo cha...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wa jf wa kongwa, Napenda kuchukua nafasi hii kama mwanakongwa niishio Dsm kuwajulisha ndugu wote wapendana maendeleo. Naamini Kongwa itakuwa na maendeleo chanja endapo tukiungana na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Dhumuni hasa la mwenge wa Uhuru ilikuwa ni kulinda Amani ndani na nje ya mipaka yetu, Kuleta matumaini kwa watu walio kata tamaa, Upatanishi penye mfarakano, heshima pale palipojaa dharau. Pia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa ajili ya kuboresha utendaji wa bunge na kuifanya Serikali iwajibike ipasavyo kwa wananchi wake Bunge liliamua liwe na kamati mbali mbali ambazo zitakuwa zikifuatilia mambo mbalimbali ya msingi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimefurahishwa na kitendo chao cha kumpinga rais Kikwete katika kutetea ufisadi wa mji wa Bukoba. Madiwani wa CCM, CHADEMA na CUF wameungana katika kuondoa ufisadi. Wabunge wa CCM nao wangeiga...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Generali Mwamunyange, binafsi ninakuamini na kukuheshimu kutokana na busara yako kubwa katika maamuzi mengi niliyosikia umekwisha kuyafanya. Kutokana na yale yanayotokea Mtwara,na yale...
9 Reactions
47 Replies
5K Views
Back
Top Bottom