CHADEMA yatangaza kutomtambua John Tendwa

Adrian Stepp

R I P
Joined
Jul 1, 2011
Posts
2,764
Reaction score
2,608
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimetangaza kutomtambua msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa na kusema wao walishamfuta kabla ya yeye hajakifuta chama hicho.

Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr. Willbroad Slaa amesema wao hawatishwi na kauli ya msajili John Tendwa ya kukifuta chama hicho maana wao wanaitambua ofisi ya msajili wa vyama vya siasa tu na si John Tendwa.

Amezungumza hayo hii leo jijini Dsm wakati wa uzinduzi wa kongamano la kimataifa la vijana kuhusu demokrasia.

Source: Mimi mwenyewe!

For more info: Tazama HotMix ya EATV!
 
Dr Yuko sawa.
Tendwa anatumika vibaya.
Alipata aibu sn kule Arumeru alipotumiwa na Lowassa na ccm, pale walipojaribu kuitumia ofisi yake kupandikiza chuki kati ya Wameru na Lema.
Inasikitisha sana kwa umri ule kukosa uamuzi na kupewa maagizo na wanaume wengine.
 
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!
 
Endelea kuweweseka sie twasonga mbele!
 
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!

Umechemka mkuu ofisi ya msajiri ni taasisi is not a one man show.
 
Hayo ndio majembe ya serikali dhaifu ya magamba.Wewe nenda kacheze na wajukuu wako kazi huwezi hii.Chadema sio karatasi hata siku moja.Maana halisi ya chadema ni mabadiliko katika nchi hii.ndio maana vijana,wazee ,wakulima na wafanyakazi wanataka mabadiliko.Nani viongozi wa mabadiliko ya kweli hapa Tanzania?.Halafu kumbuka kuwa kwenye rasimu ya katiba kuna wagombea binafsi.Kwani nakuona kuwa hutazami mbele kabisa.Sasa safu nzima ya chadema ikija kama wagombea binafsi utasemaje????.utafuta tena.Hahahahahahahaha.Makamanda tuongeze nguvu mara nne kuanzia leo hii,twendeni vijijini kwa kasi ya ajabu.tuma text msg kwa ndugu zako .Magamba lazima waondoke 2015.
 
safi sana dr. John Tendwa amelewa ukada wa kimagamba!
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimetangaza kutomtambua msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa na kusema wao walishamfuta kabla ya yeye hajakifuta chama hicho.

Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr. Willbroad Slaa amesema wao hawatishwi na kauli ya msajili John Tendwa ya kukifuta chama hicho maana wao wanaitambua ofisi ya msajili wa vyama vya siasa tu na si John Tendwa.

Amezungumza hayo hii leo jijini Dsm wakati wa uzinduzi wa kongamano la kimataifa la vijana kuhusu demokrasia.

Source: Mimi mwenyewe!

For more info: Tazama HotMix ya EATV!
 
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!

mtu akipafahamu nyumbani kwenu ni lazima amfahamu na baba yako?
Kwa hyo baba yako akitoweka na kwenu panatoweka?
Ile ni ofisi, na yule ni tendwa
 
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimetangaza kutomtambua msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa na kusema wao walishamfuta kabla ya yeye hajakifuta chama hicho.

Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr. Willbroad Slaa amesema wao hawatishwi na kauli ya msajili John Tendwa ya kukifuta chama hicho maana wao wanaitambua ofisi ya msajili wa vyama vya siasa tu na si John Tendwa.

Amezungumza hayo hii leo jijini Dsm wakati wa uzinduzi wa kongamano la kimataifa la vijana kuhusu demokrasia.

Source: Mimi mwenyewe!

For more info: Tazama HotMix ya EATV!

Tendwa ni mpinga Demokrasia
 
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!

Hapo kwenye red,huyu Mzee ametunukiwa lini Ujaji?Just curious bro!
 
Unajua wakati mwingine huku kuropoka hovyo kwa uongozi wa CDM bila mantiki kutaipeleka CDM sipo

Hivi bado CDM hawamtambui rais wanaekwenda kunywa nae juisi ikulu? Na kutwa wakipita mikuyanoni kumuomba rais afanye hiki na kile

Hadithi ni ilele ya kutomtambua rais kwa mdomo lakini...................
Wakati mwingine huyu Padri mstaafu anakuwaga na hulka za ajabu sana maana kwa mwendo huu kila asiyekubaliana ama kuionea CDm hatatambuliwa na CDM
 
Hata unaposema rais ni taasisi, ila wewe unamuitaje Kikwete?

Kwa upeo wako hufai hata kuwa mwanafunzi wangu.

kwa kuwa alishapita chekechea ni kweli hafai kuwa mwanafunzi wako...silly
 
Back
Top Bottom